Professional Documents
Culture Documents
Financial Report
Financial Report
(GKB MINISTRY)
Majeshi! Majeshi!
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza Kwa jina
la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote
niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu
wa dahari. Amina (Mathayo 28:19-20)
BWANA YESU ASIFIWE!
Napenda kumshukuru MUNGU Kwa nafasi aliyonipa ya kumtumikia katika huduma yake Kama
mhazini (mama jiko) Kwa mwaka 2020/2021. Hakika heshima Na utukufu narudisha kwake
Kwa yote aliyonitendea kwani sikustahili Ila Ni Kwa neema yake Tu.
Pia napenda kumshukuru Mungu kwaajili ya wanaGKB Kwa jinsi ambavyo tulishirikiana
pamoja katika kumtumikia Mungu katika eneo la fedha. Mungu awabariki Sana Na
akazikumbuke sadaka zenu daima.
“May He remember all your sacrifices and accept your burnt offerings. May He give you
the desire of your heart and make all your plans succeed.” (NIV)
MAPATO NA MATUMIZI
MAPATO:
MAKANISA: 797700
HARAMBEE: 262300
MINADA: 143600
TOTAL: 12,396,800
MATUMIZI:
KAMBI YA MAOMBI
USAFIRI: 200000
CHAKULA: 224400
MAJI: 26000
TOTAL: 450400
NAULI: 3244000/=
CHAKULA: 2739500/=
KUNI: 110000/=
GICT: 263400/=
UJASIRIAMALI: 93000/=
USAMALIA: 306500/=
MATURUBAI: 75000/=
MIKEKA: 60000/=
CD: 70000/=
UMEME: 20000/=
MATANGAZO: 40000/=
TOTAL: 11182800/=
Pesa tasilimu:
Jumla:
AHADI
Jumla:
CHANGAMOTO:
Baadhi ya wanaGKB kutofikia kiwango cha kuchangia sadaka ambazo tunakuwa
tumekubaliana.
Watu kutokukamilisha madeni yao kwa wakati kwenye minada na harambee
WanaGKB kutokushiriki kikamilifu kwenye kutembelea makanisa Na ofisi kwaajili ya
kuomba sadaka.
MAPENDEKEZO:
Napenda kuwakumbusha wanaGKB wenzangu kuwa kila mmoja anawajibu wa kufanya
kila shughuli ndani ya huduma kikamilifu. Hivyo kila mmoja ashiriki ratiba zote za
huduma kikamilifu ikiwemo ibada, kutembelea makanisani, kutembelea ofisi kwaajili ya
kuomba sadaka Na ratiba nyinginezo.
Kila mmoja anawajibu wa kulipa madeni yake kwa wakati pia kutimiliza ahadi ambazo
anakuwa ameziahidi.
Kila mwanaGKB anajukumu la kushiriki kikamilifu katika utoaji wa sadaka kwani kila
mmoja anatambua kama huduma hatuna wafadhili hivyo ni muhimu kutoa sadaka
kikamilifu sawa sawa na Mungu anavyotujalia kwani sadaka hizi hatupotezi bali
tunawekeza kwaajili ya maisha yetu ya sasa na baadaye, pia sadaka ni sehemu ya kila
mtu kukutana na Mungu na kuteka Baraka zetu lakini pia sadaka zetu zimebeba majibu
ya maombi yetu.
MWISHO:
Ripoti hii imeandaliwa kwenu Na viongozi wa GKB Na kusomwa kwenu Na Mimi mratibu wa
fedha wa GKB (Feelibetter S. Mlamata)
Psalms 46:10
He says, “Be still and know that I am God; I will be exalted among the nations, I will be
exalted in the earth.” (NIV), AMEN.