You are on page 1of 2

TANZANIA YOUTH MINISTRIES (TAYOMI)

THE CHRISTIS AMBASSADORS STUDENT FELLOWSHP change


the life of the youth to change the world
TANZANIA (CASFETA)

BETTER CHILDREN FOUNDATION (BCF),


MKOA WA MTWARA NA LINDI,
S.L.P 656,
MTWARA.
27/03/2024.
MKURUGENZI,
KITUO CHA HUDUMA YA MTOTO
NA MAENDELEO YA KIJANA,
S.L.P 656,
MTWARA.

YAH:OMBI LA KIBALI KUPEWA WATOTO KWA AJILI YA KAMBI LA PASAKA.


Husika na mada tajwa hapo juu TAYOMI ni Taasisi ya kidini inayohusika katika Malezi na usimamizi wa
Mikakati ya The Christ’s Ambassadors Students Fellowiship Tanzania {CASFETA} ,Ethics and Education
Motivation Clubs { EEMC} pamoja na The Better Children Foundation {BCF} inayohusisha wanafunzi wa
shule za msingi,Sekondari,Vyuo na vyuo vikuu wenye Imani ya kipentekoste na imesajiliwa Serikalini kwa
Usajili namba S08924 chini ya wizara ya mambo ya ndani.

Lengo la barua hii ni kuomba kupewa watoto kwa ajili ya kambi la pasaka kwa kusudi la kwenda
kujifunza maswala mbalimbali kuhusiana na maisha ya kimwili na kiroho. Makambi hayo
yatakayofanyikia katika shule ya sekondari ya Mustafa Sabodo kuanzia tarehe 27-31/03/2024. Gharama
kwa kila mtoto kwa siku zote kambini itakuwa shilingi elfu sita tu {10,000/=}.tunakuomba kwa
unyenyekevu mkubwa uweze kutuchangia kiwango chochote ambacho Mungu atakuwezesha ,

Hivyo kwa kutambua moyo wako wa upendo juu ya watoto wetu tunajua tutawasaidia katika kutimiliza
kusudi la maisha bora kwao. Natumai ombi langu litajibiwa.

Wako katika kujenga mwili wa kristo

………………………………………… ……………………………………….
Suriana Gerard Himson Cleophas Mgisha
(Katibu mkoa) (M/kiti Mkoa)
0621504480 0696584309

You might also like