You are on page 1of 1

DAYOSISI YA DAR ES SALAAM

KANISA ANGLIKANA TANZANIA


ACHIDIKONARI YA KIBAHA
S.L.P 30170
KIBAHA PWANI
Simu: 0712 537 246, 0716 320 903, 0752 527 497; Email:achkibaha@gmail.com

Kumb.ACHK/MR/01/19 03/05/2019

Ndugu; ……………………………………….

YAH: KUALIKWA KUWA MGENI MAALUMU KATIKA HARAMBEE YA


ACHIDIKONARI YA KIBAHA TAREHE 25/05/2019

Ndugu nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo

Achidikonari ya Kibaha inayoheshima kubwa mbele yako kuwa Mgeni Maalumu


katika Harambee itakayofanyika tarehe 25/05/2019, mahali katika Kanisa la
Anglikana Mt. Marko Sofu Picha ya Ndege, muda kuanzia saa 03:00 asubuhi.

Ni matumaini yetu utafika ili tufanikishe shughuli.

Tunatanguliza shukrani za dhati

Asante. Mungu akubariki sana.

………………………....
GERALD MAGULUKO
Katibu Kamati ya Maendeleo
Achidikonari ya Kibaha

You might also like