Professional Documents
Culture Documents
Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni
Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni
S.L.P 60
MANYONI
29/09/2019
KAMATI YA ARDHI
Mtajwa hapo juu leo hii amekatiwa eneo la kujenga nyumba upande wa kitongoji cha MAKOPA
mashariki ya kanisa la NENO LA UZIMA eneo hilo kusini amepakana na ELIZABETH
GABRIELY mashariki ROSEMARY NOLO kaskazini kuna palio magharibi palio la ng’ombe.