You are on page 1of 1

UFUKONI GENERAL SUPPLY,

S.L.P 93,
MTWARA.
SIMU: 0769 180 652, 0652 266 349
06-11-2023
MENEJA,
VODACOM TANZANIA LIMITED,
TAWI LA MTWARA,
S.L.P …………………..
MTWARA.
Ndugu;
YAH: MAOMBI YA LAINI ZA SIMU SABA (07) KWAAJILI YA
MATUMIZI
YA MTANDAO KATIKA TAASISI YANGU
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Mimi Nassoro Mohamedi Juma mkazi wa Mbae Mashariki, Kata ya Ufukoni, Manispaa ya Mtwara
Mikindani.Mmmiliki wa Taasisi binafsi yenye ofisi zake Mtwara Mjini inayojihusisha na shughuli za
kuajiri watu katika shughuli mbalimbali zikiwemo za ujasiriamali, ufundi, usafi, na udereva.
Hivyo kupitia barua hii napenda kuchukua nafasi ya kuomba huduma ya kupatiwa laini za simu zenye
idadi ya saba (07) za mtandao wa Vodacom ili ziweze kunirahishia utendaji kazi katika shughuli zetu za
kiofisi.
Naomba laini hizo zisajiliwe kwa majina yangu ambayo ni NASSORO MOHAMEDI JUMA.
Natumaini ombi langu litapokelewa na kufanyiwa kazi.

…………………………………………….
NASSORO MOHAMEDI JUMA
MKURUGENZI

You might also like