S.l.p 610 Njombe. 20/1/2023 Mkurugenzi Mtendaji UPLANDS RADIO S.L.P 610 YAH: MAOMBI YA TSH:70,000/= Kichwa cha Habari Chaeleza, Mimi BINASI LUGONO Mfanyakazi wako katika idara ya vipindi na msimamizi wa kipindi cha safari ya malezi, naomba fedha tajwa hapo juu kwaajili ya maandalizi ya kipindi cha safari ya malezi kama ilivyo utaratibu wetu wa kila wiki. Natumaini ombi langu litafanikiwa. Wako katika ujenzi wa uplands fm ……………………………………………….. BINASI LUGONO