You are on page 1of 2

Henry Rwejuna

S.L.P 830
Chemba
Simu: 0787999989
29/11/2021
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
S.L.P 830
CHEMBA

YAH: MAOMBI YA FEDHA YA UHAMISHO SH...........


Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu.
Rejea barua ya tarehe 05/11/2021 yenye kumb.Na.CCA.271/431/01/”M”/1... na kichwa cha
habari “UHAMISHO”.
Kulingana na taratibu za uhamisho wa kikazi katika utumishi wa umma naomba kuwasilisha
maombi yangu ili niweze kulipwa kiasi hicho cha fedha kwa ajili kuhama kulingana na
mchanganuo ufuatao:-

Na MAELEZO KIWANGO (Sh) IDADI SIKU JUMLA (Sh)


.
1 Mume, Mke 2@80,000/= 160,000 14 2,800,000
2 Watoto wawili 2@40,000/= 80,000 14 1,400,000
3 Msaidizi 1@80,000 x25% 20,000 14 350,000
4 Nauli ya basi Dar- Chemba 20,000 5 125,000
5 Usafirishaji mizigo kmTani 3 x 1,671,000
Km... x Sh.1,000
JUMLA KUU

Naomba malipo hayo yafanyike kupitia akaunti yangu katika Benki NMB, akaunti namba
23310019836 jina Henry Rwejuna Mutungi.

Nawasilisha

Katika utumishi wa Umma

…………………………………….
Henry Rwejuna

You might also like