You are on page 1of 3

SHULE YA SEKONDARI SHAMBALAI,

S.L.P 52,

LUSHOTO,

20/04/2023.

MKURUGENZI MTENDAJI,

HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO,

S.L.P 32,

LUSHOTO.

K.K

AFISA ELIMU SEKONDARI,

S.L.P 32.

LUSHOTO.

K.K

AFISA ELIMU KATA

S.L.P 16

LUSHOTO.

K.K

MKUU WA SHULE

SHULE YA SEKONDARI SHAMBALAI,

S.L.P 52.

LUSHOTO.

YAH: MAOMBI YA LIKIZO YENYE MALIPO

Tafadhali rejea kichwa cha habari, mimi MARIETHA EMMANUEL MASHALA kutoka shule sekondari
shambalai, ninaomba kupewa likizo ya kwenda Nyumbani Mwanza yenye malipo kama
ilivyochanganuliwa kwenye Jedwali hapo chini.
S/N JINA KWENDA KIASI (TSH) KURUDI KIASI (TSH) JUMLA
NDOGO
(TSH)

1 MARIETHA E. Lushoto - Dar 25,000/= Nkungulu-Mwanza 15,000/= 220,000.


MASHALA
Dar - Mwanza 70,000/= Mwanza - Dar 70,000/=

Mwanza - Nkungulu 15,000/= Dar - Lushoto 25,000/=

2 COSMAS Lushoto - Dar 25,000/= Nkungulu - Mwanza 15,000/= 220,000


M.KIBELA
Dar - Mwanza 70,000/= Mwanza - Dar 70,000/=

Mwanza - -Nkungulu 15,000/= Dar - Lushoto 25,000/=

3 LUCIA Lushoto - Dar 25,000/= Nkungulu - Mwanza 15,000/= 220,000


C.MASAI
Dar - Mwanza 70,000/= Mwanza - Dar 70,000/=

Mwanza- -Nkungulu 15,000/= Dar - Lushoto 25,000/=

4 ALBERT Lushoto - Dar 25,000/= Nkungulu - Mwanza 15,000/= 220,000


C.MASAI
Dar - Mwanza 70,000/= Mwanza - Dar 70,000/=

Mwanza - Nkungulu 15,000/= Dar - Lushoto 25,000/=

5 ELIZABETH Lushoto - Dar 25,000/= Nkungulu -Mwanza 15,000/= 220,000


C.MASAI
Dar. - Mwanza 70,000/= Mwanza - Dar 70,000/=

Mwanza -Nkungulu 15,00/= Dar - Lushoto 25,000/=

JUMLA KUU KWENDA 550,000/= KURUDI 550,000/= 1,100,000

Sambamba na mchanganuo huo katika Jedwali hapo juu, jumla kuu ya gharama za usafiri wa kwenda
na kurudi ni shilingi 1,100,000/=

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Wako katika ujenzi wa taifa.

,.....................................................

MARIETHA E.MASHALA
C/N.111944421

AC/NO NMB.41610016273

You might also like