Professional Documents
Culture Documents
Kikundi Cha True Shine 2
Kikundi Cha True Shine 2
S.L.P 70,
SIKONGE.
15/11/2023
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
S.L.P 70,
SIKONGE.
Naomba kulipwa kiasi cha fedha tajwa hapo juu ikiwa ni malipo ya huduma ya Usafi
iliyofanyika katika majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kwa mwezi Novemba
2023.
Fedha hizo zilipwe kupitia akaunti namba 51210023902 Benki ya NMB yenye jina la
KIKUNDI CHA TRUE SHINE.
Mchanganuo:-
_____________
SAMSON NDIKAMILA MUYU
MWENYEKITI
KIKUNDI CHA TRUE SHINE