You are on page 1of 1

ِ‫ٱلر ِح ِيم‬

ّ ‫ن‬ ِِ ‫ٱلر ْح ٰم‬ ِِّ ٰ ‫س ِِم‬


ّ ‫ٱَلل‬ ْ ‫ِب‬
‫سالمِ عل ْيك ِْم ور ْحمةِ للاِِ وبركات ِه‬
ّ ‫ال‬
JUMUIYA YA WANAFUNZI NA VIJANA WA KIISLAMU TANZANIA

(TAMSYA)

AMIRI MKUU TAMSYA WILAYA YA SIKONGE,

S.L.P 70,

SIKONGE-TABORA,

24/09/2023.

Sheikh/Mhe/Ndugu/bw/bi/…………………………………………………………

Jumuiya ya vijana na wanafunzi wa kiislamu Tanzania (tamsya), kwa


heshma na taadhima inakuomba mchango wako wa hali na mali ili kuweza
kufanikisha sherehe ya mahafali ya wanafunzi wa kiislamu wanao hitimu kidato
cha nne katika shule za sekondari Ngulu, New fashion na chuo cha maendeleo ya
jamii FDC. Sambamba na barua hii pia tunakualika katika Sherehe hiyo
iliopangwa kufanyika tarehe 30/9/2023 siku ya jumamosi inshallah katika ukumbi
wa mkutano chuo cha maendeleo ya jamii FDC.

Mchango wako ni muhimu katika kufanikisha shughuli hii

“mcheni mola wenu na nabii wake kwa mali zenu na nafsi zenu, kufanya hivyo
ni bora kwenu ikiwa mnatambua” {Quran::61:11}

……………………….

ABDULAUPH JUMA SAID

AMIRI MKUU TAMSYA SIKONGE

You might also like