You are on page 1of 2

ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH

ZASHESO

WAZIRI WA MICHEZO WA SANAA,


ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH (ZSH),
S.L.P1280,
14/12/2022,
ZANZIBAR.
KWA: MKUU WA IDARA YA FEDHA
ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH
S.L.P 1280
ZANZIBAR,

KUPITIA: MKUU WA IDARA YA MICHEZO


ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH
S.L.P 1280
ZANZIBAR,

KUPITIA: RAIS WA ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH


ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH
S.L.P 1280
ZANZIBAR

YAH: KUOMBA KIASI CHA FEDHA TASLIM TSH 160,000/= KWA AJILI YA
BONANZA

Tafadhali naomba husuika na mada hapo juu.

Ifikapo siku ya jumamosi tunategemea kwenda kwenye bonaza la afya la umoja wa vijana wa
ccm ambalo litachezwa siku mbili.ambazo ni jumamosi 17/12/2022 na jumapili 18/12/2022,chuo
cha Zanzibar school of health ni moja kati team zitazoenda kushiriki katika bonaza hilo. Hivyo
bajeti inayohitajika ili kufanikisha jambo hilo ni kama ifuatayo;-

Natumai ombi langu litakubaliwa

Nimeambatanisha na bajeti chini

MH.OTHMAN AHMADA OTHMAN

WAZIRI WA SANAA NA MICHEZO ZASHESO

………………………………

ZASHESO
Bajeti

Usafiri 30,000 x 2 60,0000/=


Maji Katoni 8 @ 5000 40,000/=
Kufua jezi 15,000 x 2 30,0000/=
Pesa ya dharura 15,000 x 2 30,000
Jumla Kuu TSH 160,000/=

You might also like