You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Shule ya awali na msingi Isaiah Samaritan
“Mchepuo wa kiingereza”
S.L.P: 2919 MBEYA
isaiahsamaritanschools@gmail.com
SIMU: 0756 994 562, 0713 604 889
TAWI LA MBEYA
MTIHANI WA MWISHO WA MWEZI WA PILI; 2020
DaARASA: I SOMO: KISWAHILI KUSOMA
JINA: ______________________________________________________TAREHE: ________ Februari, 2020
Soma maneno yafuatayo kwa usahihi
1. Bawaba
2. Chekelea
3. Wavu
4. Bendera
5. Shangwe
6. Dhambi
7. Njegere
8. Mwanamume
9. Ghadhabu
10. Mchungwa
Soma kwa makini sentensi zifuatazo:
11.Kichwani kuna nywele.
12.Asha na Baraka wanakaa Tabora.
13.Shule ya Tumaini iko wapi?
14.Hamisi alifunga goli.
15.Michezo hujenga afya zetu.
16.Kesho ni siku ya mapumziko
17.Chakula changu ni kitamu
18.Safari ni ndefu
19.Huu ni uyoga.
20.Asha amevuka mto mwenyewe.

You might also like