DISPENSARY WAUGUZI WOTE MNAKUMBUSHWA KUZINGATIA MAADILI YA UUGUZI KWA KUZINGATIA YAFUATAYO:-
1. KUHAKIKISHA ANAFATA TARATIBU ZA
KUKINGA, KUZUIA/ KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI KWA HAKIKISHA USAFI UMEFANYIKA KATIKA ENEO LAKE LA KAZI NA MAZINGIRA KWA UJUMLA NI SAFI WAKATI WOTE. 2. KUVAA SARE ZA KAZI MUDA WOTE UWE OUTREACH AU UNAPOTOA HUDUMA KITUONI. 3. KULINDA WATEJA WAKO WASIPATE MADHARA AINA YEYOTE KWA MFANO (KUWAWEKA KWENYE UWEZEKANO MKUBWA WA KUVUNJIKA AU KUPATA MAAMBUKIZI). 4. KUHAKIKISHA HUDUMA INATOLEWA KWENYE MAZINGIRA RAFIKI YANAYOZINGATIA UTU, NA HESHIMA, USIRI WA TAARIFA ZA MGONJWA ( DIGINITY, PRIVACY AND CONFIDENTIALITY). MUHIMU ZAIDI WAUGUZI LAZIMA MJUE MIPAKA YENU(ROLES AND RESPONSIBILITIES)