Professional Documents
Culture Documents
Bima
Bima
P 25680,
DAR ES SALAAM.
10 . 05. 2022.
MENEJA NHIF,
MKOA WA ILALA,
SLP 7195,
DAR ES SALAAM.
Mtajwa hapo juu ni mama yangu Mzazi ambaye anachangamoto za za figo, kutakiwa kupata
huduma ya Dialysis mara tatu (03) kwa wiki. Huduma hiyo anaipata katika Hospital ya Cardinal
Rugambwa – Ukonga DSM.
Kutokana na changamoto hiyo, Naomba Mgonjwa aendelee kupata huduma ya Dialysis kwa
muda wa wiki tatu kuanzia Tarehe 10 – 05 – 2022 Mpaka 30 – 05 -2022 ili kutoa muda wa
kuweza kufanya marekebisho ya majina katika kadi ya NHIF yenye namba 40340047748 bila
kuathiri matibabu ya mgonjwa.
Niambatanisha barua hii na ya kopi ya hati ya kiapo, kopi ya kadi ya NHIF na Kitambulisho cha
Uraia.
…………………….
Bur-han Juma Swalehe
Check Na: 10926633