You are on page 1of 3

Posta House (TEHE] cell: +255 766 898 722 Cell:

Ohio/Ghana Avenue +255 762 042 483 Email:


REG.
llala NO.
District REG. NO. 000535
tehetrusttz@gmail.com
P.O. BOX 8525
Ref.No.TEHE/corr/003/2024
Dar es Salaam
Date: 13th February, 2024

ALI SALEHE KIBA MENEJA


MKUU, DAR ES
SALAM

“ASSALAAM ALEYKUM”

YAH : UPIMAJI WA AFYA KATKA MWAZI MTUKUFU WA RAMADHANI.

Katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Swadaka ni bora kulikoni sadaka


katika miezi ya kawaida. Na ndio maana Mtume "Swalla
llahu Alayhi Wsallama" akauita mwezi wa kuliwazana. Kwa
kujua hili TEHE, tunapenda kukushirikisha tuweze kusaidiana kupima afya za wananchi
wakawaida angalau 3,000 tu, BURE bila ya kuwatoza gharama yeyote kama swadaka yetu
katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani.

Bajeti yetu ni:-

KIASI
S/No SHUGHULI WAHUSIKA KIASI SIKU KIASI(TZS) (USD)
@
Usafiri gari 1
1. Maandalizi Petrol 20 Lts 2,400 3 144,000 57.6
toka mwanzo hadi Simu; Email,
kutoa ripoti Watu 2 3,000 3 18,000 7.2
Kujikimu 48
waandaaji 2 20,000 3 120,000
2 Pesa ya kujikimu: Daktari 3 30,000 3 270,000 108
Madaktari na
Wasaidizi Msaidizi 3 20,000 3 180,000 72

Kupima walengwa Walengwa 20,000 60,000,000 240,000


3 (EternalI 3,000
International)

JUMLA 60,732,000 240,292.8

Ili lengo hili liweze kutimia tunaleta barua hii tukikuomba kwa kadri utakavyo jaliwa na
Mwenyezi Mungu, uwasilishe swadaka yako kupitia kwenye akaunti ya Asasi yetu.

Maelezo ya benki yetu ni kama ifuatavyo:-


Jina la benki: CRDB BANK PLC
Tawi la benki: AZIKIWE BRANCH
Jina la akaunti: TEHE TRUST
Namba ya akaunti TZS: 0150266295700
Namba ya akaunti USD 025026629570
Swift code: CORRUTZTZ

Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na kukutakia Mfungo Mwema wa Mwezi Mtukufu wa


Ramadhani .

Tumeambatanisha hati ya Asasi yetu na hati na leseni ya Eternal International kwa uhakiki
wako.

”RAMADHAN KAREEM”
Wako,

BASIL M. BINTAMANYIRE
0766 898 722
KATIBU MKUU.

You might also like