You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO


WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)

Telegramu: TEMESA DSM S. L. P. 70704


Simu: +255-22-28662796/97 DAR ES SALAAM
Nukushi: +255-22-2865835 TANZANIA TANZANIA
Barua pepe: info@temesa.go.tz
Tovuti: www.temesa.go.tz 22/02/2019

TAARIFA KWA UMMA

Huduma za kivuko katika Mto Ruvuma zinazotolewa na kivuko


cha MV. Kilambo kati ya Kilambo Mtwara na Namoto upande wa
Msumbiji zilizokuwa zimesitishwa kwa muda kwa sababu za
kiusalama kutokana na kufurika kwa mto huo zimeanza
kutolewa leo Tarehe 22/02/2019.

Kivuko kimerejea kutoa huduma baada ya hali ya Mto kurejea


kuwa ya kawaida.

Imetolewa na Mtendaji Mkuu

TEMESA
22/02/2019

You might also like