You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO


Chuo Kikuu cha Dodoma,
Simu Na.255-26- Kitivo cha Sanaa na
2963341/2963342/2963346 Sayansi ya Maendeleo ya
Nukushi: 255-26-2963348 Jamii,
Barua Pepe: Jengo Namba 11,
S.L.P 573,
ps@communitydevelopment.go.tz
40478 DODOMA.
Tovuti:www.mcdgc.go.tz

TAARIFA KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOs) KUHUSU


MFUMO MPYA WA MALIPO KWA NJIA YA MTANDAO

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) anapenda kuyajulisha Mashirika


Yasiyo ya Kiserikali na Umma kwa ujumla kuwa ulipaji wa ada mbalimbali za
NGOs umeanza kufanyika kupitia Mfumo wa Malipo ya Serikali wa Kimtandao
(Government Electronic Payment Gateway).

Utaratibu huu mpya wa malipo unapatikana kupitia Tovuti ya Wizara na Idara


ya Uratibu wa NGOs (www.mcdgc.go.tz na tnnc.go.tz). Katika tovuti husika,
ingia kwenye eneo lililoandikwa ‘ NGOs MIS’ ili upate taarifa na maelekezo kwa
ajili ya kupata Namba ya Malipo (Control Number).

Kwa maelezo zaidi piga simu namba + 225 737 569 584/ 255 737569583 au + 255
262963346

Imetolewa na:

Neema Mwanga
Kaimu Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
27/02/2019

You might also like