You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

OFISI YA UHAMIAJI (M)


S.L.P+255
369
SIMU:
282622426
MUSOMA

BUNDA
Wednesday, 28 March 2012

KUMB .NA.BND/IMM/KATA/36/560

AFISA USALAMA (W)


S.L.P 163
BUNDA.

YAH: MWALIKO WA KUHUDHURIA SEMINA YA URAIA.


Tafadahali husika na mada tajwa hapo juu.
Kwa barua hii napenda kukualika katika semina tajwa itakayohusisha viongozi wa Tarafa za
Chamrihyo na Kenkombyo pamoja na kata zake na vijiji vyake, semina hiyo itafanyika siku ya
Ijumaa tarehe 30/03/2012 katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kuanzia
saa 3:00 asubuhi.
Natanguliza shukurani za dhati kwa mahudhurio yako.

Moses J. Mutash
K.n.y:AFISA UHAMIAJI(W)
BUNDA.
Nakala:
Afisa Uhamiaji mkoa
S.L.P 369
MUSOMA

You might also like