You are on page 1of 1

CHATO AFRICAN GOLD LTD

P.O.BOX.71995 DAR ES SALAAM, Email;chatoafricangoldltd@gmail.com


Tell; +255682751226, +255786268040

22/09/2023

KWA,
AFISA MADINI MKAAZI
MKOA WA KIMADINI CHUNYA
P.O.BOX.81 CHUNYA

YAH: SABABU YA KUCHELEWA KUFUNGUA OFISI YA DEALER

Ndugu

Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni yetu ilichelewa kufungua ofisi yake ya Dealer Chunya kwa sababu
Kampuni haikuwa imefikia makubaliano ya bei yanayoendana na mabadiliko ya bei ya soko la dhahabu Duniani baina ya
ubia kati ya kampuni ya DIMEX METALS & MINERALS DMCC ya Dubai na CHATO AFRICAN GOLD LTD hivyo hivyo
kupelekea kuchelewa kuanza shughuli za ununuzi hivyo basi kwa sasa tumeshafikia makubaliano mazuri ambayo
yanaturuhusu kuendelea na Shughuli zetu za ununuzi wa dhahabu hivyo tunaomba ushirikiano wa dhati kwa viongozi wa
Tume ya Madini na viongozi wengine katika Wilaya ya Chunya.

Wako katika Ujenzi wa Taifa

PIUS.M.CHARLES
(MKURUGENZI)

NAKALA KWA MKURUGENZI WILAYA.

Web; www.chatoafricangold.com.

You might also like