You are on page 1of 1

WAZIRI MUSHI MSAWIRA,

0752888637

KIGAMBONI,

DAR ES SALAAM.

09/12/2022.

MENEJA MWAJIRI

DISCOUNT CENTRE

S.L.P 75

DAR ES SALAAM.

YAH: MAOMBI YA KAZI KATIKA KAMPUNI YAKO.

Kichwa cha habari cha husika hapo juu.

Mimi Waziri Mushi mwenye umri wa miaka 23 ni Mtanzania ninaomba kazi katika
kampuni yako ya DISCOUNT CENTRE

Nina sifa zote zinazohitajika pia nimekua ninaitumikia ofisi yako kama fundi wa
umeme Nipo tayari kufanya kazi kulingana na sheria na kanuni za eneo la kazi, pamoja
na barua hii nimeambatanisha wasifu wangu na vyeti vyangu kwaajili ya ukaguzi zaidi.

Nitashukuru endapo maombi yangu yatafanyiwa kazi.

Ahsante

Wako katika ujenzi wa Taifa

…………………

WAZIRI MUSHI MSAWIRA

0752888637

You might also like