You are on page 1of 1

MTAA WA LULANZI,

S.L.P. 30070,
PWANI,KIBAHA.
23/03/2024
LAKE OIL GROUPS OF COMPANY,
P.O.BOX 55668,
MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA,
DAR ES SALAAM.

Ndugu,
YAH:- OMBI LA AJIRA YA UDEREVA
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Mimi ni kijana mwenye elimu ya kidato cha sita na nina Utaalamu wa
kuendesha mitambo pamoja na leseni ya Udereva daraja D,F.
Ninaomba ajira ya Udereva katika company yako.
Pamoja na barua hii, naambatanisha na Wasifu wangu(CV), vyeti vya
taaluma na elimu kwa ajili ya mapitio Zaidi na namba ya nida.
Natanguliza shukrani zangu,
Ahsante
Wako katika ujenzi wa Taifa

……………………..
LAMECK K. LWEZAULA
DEREVA
Namba ya simu:-0747-828570
Email:- lamecklwezaula@gmail.com

You might also like