You are on page 1of 2

HUBERT MAANGA,

T/UDOM/2019/09243,
NDAKI YA SAYANSI ZA KOMPYUTA NA ELIMU ANGAVU,
S.L.P 259,
DODOMA,
21/11/2022.

VC
CHUO KIKUU CHA DODOMA,
S. L.P 259,
DODOMA.

K.K
DVC_ARC
CHUO KIKUU CHA DODOMA,
S.L.P 259,
DODOMA.

K.K
MKUU WA NDAKI YA
SAYANSI ZA KOMPYUTA NA ELIMU ANGAVU,
CHUO KIKUU CHA DODOMA,
S. L.P 259,
DODOMA.

K.K
MKUU WA IDARA YA
KOMPYUTA SAYANSI NA UHANDISI,
CHUO KIKUU CHA DODOMA,
S.L.P 259,
DODOMA.

Ndugu;

YAH: OMBI LA KUSAMEHEWA DENI LA SHILINGI LAKI TATU NA KULIPA


DENI LILILOSALIA KWA AWAMU KWA MUDA WA MIEZI MITANO

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

Naomba kusamehewa kiasi tajwa kwa sababu ya maelezo niliyo pewa kwa muda huo nilitakiwa
kulipa grarama ya ada ya shilingi 1200,000/= tu (Admission letter, fee structure and Prospectus of
2019-2020).

Naomba ombi hili kwa sababu kwa sasa mimi na mzazi wangu hatuna uwezo wa kulipa kiasi tajwa
pia ukilinganisha natakiwa kulipa gharama za mwaka wa masomo wa 2022/2023 ambazo ni tsh
1,758,500/=

Pamoja na ombi hili naomba kufunguliwa matokeo yangu na kuruhusiwa kufanya usajili wa mwaka
wa masomo wa 2022/2023 na kupatiwa huduma zote kama mwanafunzi mwengine kwa mfano
kupatiwa kitambulisho, kuruhusiwa kuhudhuria darasani pamoja na kufanya mitihani yote (University
Examination’s) na kupatiwa chumba au makazi ya chuo.
Kwa heshima na taadhima, Ninaomba kuwasilisha.

………………………

HUBERT MAANGA
0753947717
Bachelor of Science in Cyber Security and Digital Forensics Engineering (DM 086)

Nakala
MKURUGENZI WA SHAHADA ZA AWALI
CHUO KIKUU CHA DODOMA
S.L.P 259
DODOMA

Nakala
MKURUGENZI WA FEDHA
CHUO KIKUU CHA DODOMA
S.L.P 259
DODOMA

You might also like