You are on page 1of 3

••

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Anuani ya Simu "TAMISEMI" DODOMA Mii wa Serikali - Mtumba
Simu Na: +255 26 2321607 Mtaa wa TAMISEMI,
Nukushi; +255 26 2322116 SLP 1923,
Barua pepe:ps@tamisemi.go.tz 41185 DODOMA.
Unapojbu tafadhali taja-
Kumb. Na DA.297/339/01 27 Oktoba, 2021

Makatibu Tawala Mikoa,


TANZANIA BARA.

Yah: RATIBA YA MIHULA KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA


2022

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

2. Ofsi ya Rais -- TAMISEMI imeandaa ratiba ya mihula kwa mwaka 2022. Lengo ni
kuwa na mihula aina moja kwa nchi nzima kwa shule zote za Msingi na Sekondari za
Serikali na zisizo za Serikali

3. Kwabarua hii, tafadhali waelekeze Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa


uzingatia ratiba hii kwa shule zote za Msingi na Sekondari za Serikali na zisizo za
Serikali Aidha, Watendaji wa Elimu katika Mikoa yenu wasimamie kikamilifu utekelezaji
wa ratiba hii. Ratiba mpya ya mihula kwa mwaka 2022 imeambatishwa pamoja na barua

......
hii kwa rejea.

Gerald G_ "
: ATIBU MKUU

Nakala: Katibu Mkuu,


Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Mji wa Serikal - Mtumba,
Mtaa wa Afya
SL.P 10
40479 DODOMA.
4

RATIBA YA MIHULA YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA - 2022

MIHULA KUFUNGUA LIKIZO FUPI KUFUNGA IDADI YA SIKU


ZA MASOMO
KUFUNGA KUFUNGUA
�hula

I 17/1/2022 14/412022 25/4/2022 24/6/2022 105

Mhula II 251712022 9/9/2022 26/912022 16/12/2022 92

Jumla ya Siku za Masomo 197



RATIBA YA MIHULA YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA - 2022

MIHULA KUFUNGUA LIKIZO FUPI KUFUNGA IDADI YA SIKU


ZA MASOMO
KUFUNGA KUFUNGUA

Mhula I 17/1/2022 14/4/2022 25/4/2022 24/6/2022 105

Mhula II 25/7/2022 9/9/2022 26/9/2022 16/12/2022 92

Jumla ya Siku za Masomo 197

You might also like