You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb.Na.JA.9/259/01/A/21 05 Januari, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha
Ufundi Arusha (ATC), anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi
kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 09 - 10 Januari, 2022 na
hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

i. Usaili utafanyika tarehe 09 - 10 Januari, 2022 kama ilivyooneshwa kwenye


tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa
kila Kada;
ii. Usaili wa Vitendo kwa kada zote utafanyika tarehe 09 Januari, 2022, na usaili
wa Mahojiano ya ana kwa ana utafanyika tarehe 10 Januari, 2022.
iii. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa
Barakoa, kunawa na sabuni kwa maji tiririka.
iv. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
v. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi,
Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia
au Hati ya kusafiria;
vi. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha
kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na
kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;
vii. Wasailiwa watakaowasilisha“Testimonials”, “Provisional Results”,
“Statement of results”, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V
and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA
KUENDELEA NA USAILI;
viii. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi;
ix. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;
x. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au
NECTA);
xi. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi
nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
xii. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye
akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo
hazitatolewa siku ya usaili.

RATIBA YA USAILI

NA. TAASISI KADA TAREHE YA TAREHE YA MAHALI TAREHE YA MAHALI


USAILI WA USAILI WA PA USAILI USAILI WA PA USAILI
MCHUJO VITENDO WA MAHOJIANO WA
VITENDO MAHOJIA
NO
1 CHUO ASSISTANT HAKUNA
CHA LECTURER-
UFUNDI MECHATRONIC
ARUSHA S/ROBOTICS/AU
(ATC) TOMATION/INST
RUMENTATION/
CONTROL 09 10 JANUARI,
ENGINEERING JANUARI, ATC 2022
2022 ATC

ASSISTANT HAKUNA
LECTURER -
CIVIL AND
HIGHWAY/TRAN
SPORTATION
ENGINEERING
KADA: ASSISTANT LECTURER – MECHATRONICS/ ROBOTICS/AUTOMATION/
INSTRUMENTATION/ CONTROL ENGINEERING
MWAJIRI: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
TAREHE YA USAILI WA VITENDO: 09 JANUARI, 2022
MUDA: SAA 1:00 ASUBUHI.
MAHALI: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 10 JANUARI, 2022
MUDA: SAA 1:00 KAMILI ASUBUHI.
MAHALI: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

NA. JINA LA MWOMBAJI ANUANI YA SASA

1 DICKSON JOSHUA NKONGO P.O BOX 4029, KINONDONI, DAR


ES SALAAM

KADA: ASSISTANT LECTURER – CIVIL AND HIGHWAY/TRANSPORTATION


ENGINEERING
MWAJIRI: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
TAREHE YA USAILI WA VITENDO: 09 JANUARI, 2022
MUDA: SAA 1:00 ASUBUHI.
MAHALI: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 10 JANUARI, 2022
MUDA: SAA 1:00 KAMILI ASUBUHI.
MAHALI: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

NA. JINA LA MWOMBAJI ANUANI YA SASA

1 AMANI ABDALLAH HEPAUTWA P.O BOX 6136, TANGA

Limetolewa na:

KATIBU
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA.

You might also like