You are on page 1of 4

SMZ

(AR) TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA


NA IDARA MAALUM ZA SMZ.
MAKAO MAKUU YA VYUO VYA MAFUNZO
ZANZIBAR-TANZANIA

CABLES: MAFUNZO OFISI YA KAMISHNA WA


VYUO VYA MAFUNZO
SIMU : 2230261/2232686/2232424 S.L.P 397
Email : vyuovyamafunzo@hotmail.com ZANZIBAR.

Kumbu:MF/B.18/VOL.11I/32/2022 Tarehe 29.12.2022.

MKURUGENZI MTENDAJI,
MAMLAKA YA UNUNUZI NA
UONDOAJI WA MALI ZA UMMA,
ZANZIBAR.

KUH: KUSAJILIWA NA KINGIZWA KATIKA MFUMO WA UNUNUZI KWA


NJIA YA KIELEKTRONIKI (E-PROQUREMENT).

Tafadhali husika na mada kama inavyosomeka hapo juu.

Kufuatia juhudi za Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika utekelezaji wake


wa masuala mbalimbali ndani ya nchi pamoja na dhamira ya serekali yetu
kwa kuanzisha mfumo wa ununuzi ndani ya taasisi za serekali (E-
proqurement) kuanzia mwaka wa fedha 2022-2023.

kwa kuzingatia uwajibikaji na kuyafanyia kazi maagizo ya Serekali ya


Mapinduzi ya Zanazibar, Idara ya chuo cha mafunzo inaleta kwako ombi la
kusajiliwa pamoja na kuingizwa katika mfumo wa ununuzi wa kieletroniki
(e-proqurement) ikiwa ni mtoa huduma ya ujenzi na msambazaji ili niweze
kutoa huduma kwa mujibu wa matakwa ya kisheria.

Pamoja na barua hii naambatanisha na nakala ya cheti cha ZRB chenye


namba ya utambulisho wa mlipa kodi (Tin number)

Naomba kuwasilisha.

Ahsante.

……………………….
KHAMIS B. KHAMIS – CP
KAMISHNA
CHUO CHA MAFUNZO
ZANZIBAR
SMZ
(AR) TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA
NA IDARA MAALUM ZA SMZ.
MAKAO MAKUU YA VYUO VYA MAFUNZO
ZANZIBAR-TANZANIA

CABLES: MAFUNZO OFISI YA KAMISHNA WA


VYUO VYA MAFUNZO
SIMU 2230261/2232686/2232424 S.L.P 397
Email : vyuovyamafunzo@hotmail.com ZANZIBAR.

Kumbu:MF/B.18/VOL.11/100/2022 Tarehe 14.07.2022.

MKURUGENZI MTENDAJI,
MAMLAKA YA UNUNUZI NA
UONDOAJI WA MALI ZA UMMA,
ZANZIBAR.

KUH: UWASILISHAJI WA TARIFA ZA UTEKELEZAJI WA KAZI ZA


UNUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2021-2022.

Tafadhali rejea barua yako ya tarehe 8/7/2022 iliyopokelewa tarehe


11/7/2022 yenye kumbukumbu Nam:MUUMU.BA.227/370/04/02.

Nawaslisha kwako taarifa za utekelezaji wa kazi za ununuzi uliofanywa na


idara ya Chuo cha Mafunzo kwa mwaka wa fedha 2021-2022. Pamoja na
baruwa hii naambatanisha na mpango wa ununuzi kwa mwaka wa fedha
2021-2022.

Naomba kuwasilisha.

Ahsante.

……………………….

KHAMIS B. KHAMIS – CP
KAMISHNA
CHUO CHA MAFUNZO
ZANZIBAR.
SMZ
(AR) TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA
NA IDARA MAALUM ZA SMZ.
MAKAO MAKUU YA VYUO VYA MAFUNZO
ZANZIBAR-TANZANIA

CABLES: MAFUNZO OFISI YA KAMISHNA WA


VYUO VYA MAFUNZO
SIMU: 2230261/2232686/2232424 S.L.P 397
Email : vyuovyamafunzo@hotmail.com ZANZIBAR.

Kumbu:MF/B.18/VOL.11I/32/2022 Tarehe 29.12.2022.

MKURUGENZI MTENDAJI,
MAMLAKA YA UNUNUZI NA
UONDOAJI WA MALI ZA UMMA,
ZANZIBAR.

KUH: OMBI LA RUHUSA YA KUFANYA MANUNUZI KWA NJIA YA


KAWAIDA NJE YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI (E-PROZ) NA KUMPATA
MZABUNI KWA KUTUTMIA NJIA YA MOJA KWA MOJA (DIRECT)

Tafadhali husika na mada kama inavyosomeka hapo juu.

Kutokana na serekali ya mapinduzi Zanzibar kutaka kutekeleza miradi mbali


mbali ikiwemo ya covid 19 ambapo imekusudia kufanya ujenzi wa majengo
tofauti ya serekali, kufuatia utekelezaji wa miradi hiyo Idara ya Chuo cha
Mafunzo imeingiziwa fedha ikiwa ni wajenzi (contractor) kwa ajili ya kazi ya
ujenzi katika Chuo cha Kiislamu, ujenzi wa mradi wa soko la Jumbi na mradi
wa ujenzi wa skuli ya Munduli.

kwa kuzingatia uwajibikaji na utekelezaji wa miradi hiyo kwa haraka kama


serekali inavyohitaji, Idara ya Chuo cha Mafunzo inaleta kwako ombi la
kufanya Manunuzi ya njia ya moja kwa moja sambamba na kutumia njia ya
kawaida nje ya mfumo wa (e-proz).

Naomba kuwasilisha.

Ahsante.

……………………….
KHAMIS B. KHAMIS – CP
KAMISHNA
CHUO CHA MAFUNZO
ZANZIBAR

You might also like