You are on page 1of 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA


SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA
CHUNYA

Unapojibu tafadhali taja:

Kumb.Na LSS/UJN/04

……………. Tarehe 10/10/2022

TANGAZO
ZABUNI YA UFUNDI UTENGENEZAJI WA DAWATI LOCAL FUNDI
(VITI NA MEZA) KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA LUPA
Kamti ya ujenzi ya shule ya sekondari LUPA inawatangazia wananchi wote wenye
sifa, uwezo na uzoefu wa kufanya kazi ya ufundi kutengeneza madawati (viti na
meza) kuomba kazi ya kutengeneza madawati katika shule ya sekondari LUPA
Sifa za fundi seremala wanaohitajika
 Awe raia wa Tanzania
 Awe na uzoefu wa kazi na uwezo wa kuonesha madawati aliyowahi
tengeneza katika shule mbalimbali
 Awe na uwezo kutengeneza dawati lenye miguu ya chuma na top
ngumu mbao
 Ajue vifaa vya fundi seremala
Mambo ya kuzingatia
 Mwombaji anatakiwa kuandika barua ya kuomba kazi ya kutengeneza
dawati ikiwa na gharama za jumla za utengenezaji
 Mwombaji anatakiwa kujaza na kuambatanisha fomu ya nukuu za bei (BOQ)
kwa kazi zinazotakiwa kufanyika. (fomu za BOQ zinapatikana ofisi ya Mkuu
wa shule ya sekondari Lupa.
 Mwisho wa kupokelewa maombi ni 20/10/2022 alasiri
 Maombi yote yatapokelewa na kufunguliwa siku ya tarehe 21/10/2022 saa
tatu asubuhi (3:00) katika ofisi ya mkuu wa shule
 Maombi yatumwe kwa
“MWENYEKITI WA KAMATI YA UJENZI,”
SHULE YA SEKONDARI LUPA
S.L.P 36.
CHUNYA.
……………………………..

ERASTO ANANIA KILASI


MWENYEKITI KAMATI YA UJENZI
0768351777

You might also like