You are on page 1of 8

MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI

FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI Appendix 1


KATIKA VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA MWAKA 2024
Bandika
FOMU NAMBA: VETA/AF/LC/….. /…../…….. picha yako
/ hapa
A. MAELEZO YA MWOMBAJI (Jaza kwa herufi kubwa)
1. Jina la Mwombaji……………………………………………………………………. Jinsi: Me/ Ke ………………………………………………………

(Majina kama yalivyo kwenye vyeti vyako)


2. Tarehe ya kuzaliwa..……/………./……….. Uraia: ………………… Namba ya pasi ya kusafiria …..………………………………..
3. Kiwango cha Juu cha Elimu yako ……………………… Mwaka uliohitimu …………… Jina la Shule/Chuo
…………………………………………………….
4. Anuani ya Mwombaji: S.L.P ……………. Mahali unapoishi: Kijiji/Kata …………………… Wilaya ………………………………
Mkoa ………………………… Namba ya simu …………………… Barua pepe ……………………………………………………………………..
5. Jina la Mzazi/Mlezi/Mfadhili …………………………………………………………………………………………………………………………………..
6. Anuani ya Mzazi /Mlezi/Mfadhili S L. P ……………… Namba ya simu ………………… Barua pepe …………………………..

7. Andika fani tatu unazopenda kujifunza na uandike kufuatana na kipaumbele chako (Angalia orodha ya fani na
vyuo vinavyomilikiwa na VETA iliyoambatishwa).
(i) ………………………………………… (ii) ………………………………………………. (iii) .…………………………………………………………
8. Ukichaguliwa ungependa kusoma: (Weka alama ya vema () katika kisanduku husika)
(i) Bweni (ii) Kutwa
9. Andika majina ya Vyuo vitatu(3) unavyopenda kwenda kusoma kuendana na machaguo ya fani ulizochagua
(i) ……………………………………………………………………
(ii) ……………………………………………………………………
(iii) ……………………………………………………………………
10. Je upo tayari kupangiwa chuo kingine cha VETA nje ya hicho Chuo ulichojaza hapo juu Na. 9 ambacho ni cha
Bweni ……………………………………………………………………………..

B. MAELEZO YA YA FOMU NA MTIHANI


(i) Fomu zitaanza kutolewa kuanzia tarehe 10/7/2023 na mwisho wa kuchukua na kurudisha Fomu ni tarehe
15/9/2023
(ii) Mtihani wa kujiunga na chuo utafanyika tarehe 02 Oktoba, 2023 saa 02:30 Asubuhi, Unapaswa kuripoti nusu saa
kabla. Pamoja na fomu hii fika na risiti uliyolipia, vyeti halisi vya kuhitimu shule/chuo, kalamu ya wino, penseli
na picha moja (passport size). Kutofuata maagizo tajwa hapa juu itapelekea kutoruhusiwa kufanya mtihani.
(iii) Matokeo ya Mtihani yatatolewa tarehe 29 Novemba, 2023 na yatabandikwa katika mbao za matangazo chuoni na
katika vituo vya mitihani pia yatawekwa kwenye tovuti ya VETA www.veta.go.tz
(iv) Taja Chuo utakachofanyia mtihani……………………………………………………………….

C. MAELEZO MUHIMU
(i) Fomu zinapatikana kwenye chuo cha VETA kilicho karibu, na kwenye tovuti ifuatayo: www.veta.go.tz
(ii) Mwombaji atalipia kiasi cha Tshs 5,000 (Elfu Tano tu) siku ya kurudisha fomu.
(iii) Weka alama ya vema (√) kwenye aina yeyote ya ulemavu kama unao:- Usikivu Hafifu ( ) Uoni Hafifu ( )
Ulemavu wa Ngozi ( ) Ulemavu wa Viungo ( )
Taja Ulemavu Mwingine kwa kuorodhesha …………………………………………………………………………………………………………

D. UTHIBITISHO
Nathibitisha kuwa nimesoma na kuelewa yote yaliyo katika fomu hii, na taarifa nilizotoa ni sahihi.
Saini ya Mwombaji: ……………………………………………………………… Tarehe: …………………………………………………………
Saini ya Mzazi/Mlezi/Mfadhili: ………………………………………………… Tarehe: ……………………………………………………………

Muhimu: Toa nakala fomu hii baada ya kuijaza kikamilifu, na uwasilishe nakala ya fomu chuoni; fomu halisi utakuja nayo
siku ya kufanya mtihani wa kujiunga.
KOZI ZITAKAZOTOLEWA KWENYE VYUO VYA VETA MWAKA 2024
NA. JINA LA CHUO FANI ZITAKAZOFUNDISHWA BWENI/KUTWA

1. Arusha VTC Electrical Installation (EL), Welding & Fabrication (WF), Plumbing and Pipe fitting (PPF), Bweni na Kutwa
Eneo la Oljoro Design Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Auto Electric
S.L.P 509, (AE), Information and Communication Technology (ICT), Motor Vehicle Mechanics (MVM),
ARUSHA. Carpentry and Joinery (CJ).

2. Busokelo DVTC Carpentry and Joinery (CJ), Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Kutwa
S.L.P 630, Technology
TUKUYU
3. Chato DVTC Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation (EL), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Bweni na kutwa
S.L.P 168 Masonry and Bricklaying (MB), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Food
CHATO Beverage Service and Sales (FBSS), Food Production (FP), Aquaculture and Fish Processing
(FFP)

4. Dakawa VTC Electrical Installation (EL), Leather Goods (LG), Masonry and Bricklaying (MB), Designing, Bweni na Kutwa
S.L.P 1696, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Plumbing and Pipefitting (PPF)
MOROGORO
5. Dar es Salaam RVTSC Truck Mechanics (TM), Laboratory Assistant (LA), Electrical Installation (EL), Fitter Kutwa
Barabara Chang’ombe Mechanics (FM). Electronics (ELEC), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Offset
S.L.P 40274, Machine Printing (OMP), Pre press and Digital Printing (PDP), Binding and Print Finishing
DAR ES SALAAM (BPF), Office Machine Maintenance (OMM), Welding and Metal Fabrication (WF), Civil
Drafting (CD), Information and Communication Technology (ICT), Refrigeration and Air
Condition (RAC), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Auto Body Repair (ABR), Carpentry and
Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Painting and Sign Writing (PS)

6. Dodoma RVTSC Carpentry and Joinery (CJ), Painting and Sign Writing (PS), Road Construction (RC), Masonry Bweni na Kutwa
S.L.P 2197, and Bricklaying (MB), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Electrical Installation (EL), Fitter
DODOMA Mechanics (FM), Welding and Metal Fabrication (WF), Meat Processing (MP), Electronics
(ELEC), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Civil Drifting (CD), House Keeping (HK), Beverage
Service and Sales (FBSS), Front Office Operation.

2
NA. JINA LA CHUO FANI ZITAKAZOFUNDISHWA BWENI/KUTWA

7. Gorowa DVTC Plumbing and Pipe fitting (PPF), Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Kutwa
S.L.P 638 Technology (DSCT)
BABATI
8. Ileje DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Installation (EL), Bweni na Kutwa
S.L.P 125,
ILEJE
9. Iringa RVTSC Motor Vehicle Mechanical (MVM), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Installation (EL), Bweni na Kutwa
S.L.P 778, Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Carpentry and Joinery (CJ), Welding and
IRINGA Metal Fabrication (WF), Painting and Sign Writing (PS), Fitter Mechanics (FM), Plumbing and
Pipe fitting (PPF), Secretarial and Computer (SCA), Food Production (FP), Food, Beverage
Service and Sales (FBSS).

10. Kagera VTC Masonry and Bricklaying (MB), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation (EL), Kutwa
S.L.P. 906, Carpentry and Joinery (CJ), Welding and Metal Fabrication (WF), Designing, Sewing and
BUKOBA Cloth Technology (DSCT)

11. Kagera RVTSC Fitter Mechanics(FM) ,Welding and Metal Fabrication (WF),Plumbing and Pipe Fittings Bweni na Kutwa
S.L.P 188, (PPF),Electrical Installation (EL),Electronics(ELEC),Masonry and Bricklaying (MB) , Painting
BUKOBA and sign writer (PS)

12. Kanadi VTC Electrical Installation (EL), Signing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Secretarial and Kutwa
S.L.P 118, Computer (SCA),
SIMIYU
13. Karagwe VTC Welding and metal Fabrication (WF), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation Bweni na Kutwa
S.L.P 62, (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Secretarial and Computer (SCA), Designing, Sewing and
KARAGWE Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electronics (ELEC)

14. Karatu DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Installation (EL), Plumbing and Bweni
S.L.P 352 Pipe Fitting (PPF) (Wasichana) na
KARATU Kutwa

3
NA. JINA LA CHUO FANI ZITAKAZOFUNDISHWA BWENI/KUTWA

15. Kasulu DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Kutwa
S.L.P Installation (EL), Secretarial and Computer (SCA), Motor Vehicle Mechanics (MVM).
KASULU
16. Kigoma RVTSC Masonry and Bricklaying (MB), Carpentry and Joinery (CJ), Auto Electric (AE), Auto Body Bweni na Kutwa
S.L.P 1068, Repair (ABR), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electronics (ELEC), Painting and sign writer
KIGOMA (PS), Food Production (FP), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Information and
Communication Technology (ICT), Electrical Installation (EL), Welding & Metal Fabrication
(WF), Refrigeration and Air Condition (RAC), Plumbing and Pipe Fittings (PPF).

17. Kihonda RVTSC Motor Vehicle Mechanics (MVM), Masonry and Bricklaying (MB), Design Sewing and Clothing Bweni na Kutwa
S.L.P. 2208, Technology (DSCT), Carpentry and Joinery (CJ), Fitter Mechanics (FM), Refrigeration and Air
MOROGORO. Conditioning (RAC), Electrical Installation (EL), Auto Electric (AE), Plumbing and Pipe fitting
(PPF)

18. Kipawa ICT Centre Electronics (ELEC), Information and Communication Technology (ICT) Kutwa
P.O.BOX 40040,
DAR ES SALAAM
19. Kishapu DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Installation (EL) Bweni na Kutwa
S.L.P 470
SHINYANGA
20. Kitangali DVTC Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Secretarial Kutwa
S.L.P 495, Courses (SC)
NEWALA
21. Kongwa DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Bweni na Kutwa
S.L.P 51 Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Secretarial and Computer (SCA), Motor Vehicle
KONGWA Mechanics (MVM).

22. Lindi RVTSC Electrical Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Bweni na Kutwa
S.L.P. 1001, Welding & Fabrication (WF), Refrigeration and Air Condition (RAC), Business Operation
LINDI Assistant (BOA), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Design Sewing and Cloth Technology
(DSCT), Food Production (FP), Food, Beverage Service and Sales (FBSS), Secretarial and

4
NA. JINA LA CHUO FANI ZITAKAZOFUNDISHWA BWENI/KUTWA

Computer (SCA).

23. Mabalanga VTC Carpentry and Joinery (CJ), Design, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Information and Kutwa
S.L.P 18 Communication Technology (ICT), Masonry and Bricklaying (MB).
HANDENI
24. Makete DVTC Masonry and Bricklaying (MB), Carpentry and Joinery (CJ), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Bweni (Wasichana)
S.L.P 138, Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT)
MAKETE
25. Manyara RVTSC Secretarial and Computer (SCA), Laboratory Assistant (LA), Welding and Metal Fabrication Bweni na Kutwa
S.L.P 485, (WF), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Installation (EL), Electronics (ELEC), Motor
BABATI Vehicle Mechanics (MVM), Carpentry and Joinery (CJ).

26. Mara VTC Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation (EL), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Kutwa
S.L.P. 188, Welding and Metal Fabrication (WF), Auto Electric (AE), Carpentry and Joinery (CJ),
MUSOMA. Masonry and Bricklaying (MB), Painting and Sign Writing (PS).

27. Mbarali DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Electrical Kutwa
S.L.P 62, Installation (EL)
MBARALI

28. Mbeya RVTSC Electrical Installation (EL), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Masonry and Bricklaying (MB), Bweni na Kutwa
S.L.P 1020, Design Sewing and Clothing Technology (DSCT), Welding & Metal Fabrication (WF), Fitter
MBEYA Mechanics (FM), Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Auto Electric (AE), Carpentry and Joinery
(CJ), Auto Body Repair (ABR), Food Production (FP), Secretarial and Computer (SCA).

29. Mikumi VTC Electrical Installation (EL), Fitter Mechanics (FM), Motor Vehicle Mechanics (MV), Carpentry Bweni na kutwa
S.L.P 110, and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Secretarial and Computer (SCA),
MIKUMI Information and Communication Technology (ICT), House Keeping (HK), Front Office
Operation (FO), Food and Beverage Service and Sales (FBSS), Food Production (FP), Tour
Guide (TG), Eco Tourism (EG), Welding and metal fabrication (WF)

5
NA. JINA LA CHUO FANI ZITAKAZOFUNDISHWA BWENI/KUTWA

30. Monduli DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB) Bweni na Kutwa
S.L.P
MONDULI
31. Moshi RVTSC Tools and Die Making (TDM), Electronics (ELEC), Instrumentation (IM), Refrigeration and Air Bweni na Kutwa
Market street Condition (RAC), Foundry and Pattern Making (FPM), Fitter Mechanics (FM), Welding and
S.L.P 1738, Metal Fabrication (WF), Secretarial and Computer (SCA), Food Production (FP), Pipefitting
MOSHI. and Boiler Mechanics (PFBM), Machine Tool Maintenance (MTM), Civil Drafting.
32. Mpanda VTC Electrical Installation (EL), Masonry and Bricklaying (MB), Welding and Metal Fabrication Bweni na Kutwa
Barabara ya Shanwe (WF), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Carpentry and Joinery (CJ), Designing, Sewing and
S.L.P 190, Cloth Technology (DSCT), Secretarial and Computer (SCA)
MPANDA.
33. Mtwara RVTSC Motor Vehicle Mechanics (MVM), Welding & Fabrication (WF), Masonry and Bricklaying (MB), Bweni na Kutwa
Shangani Auto Electric (AE), Electrical Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Painting and Sign
S.L.P 58, Writing (PS), Laboratory Assistant (LA), Secretarial and Computer (SCA), Plumbing and Pipe
MTWARA. fitting (PPF), Business Operation Assistant (BOA), Food Production (FP), Food Beverage
Service and Sales, Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT).

34. Mwanza RVTSC Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Fitter Bweni na Kutwa
S.L.P 1983, Mechanics (FM), Masonry and Bricklaying (MB), Welding and Metal Fabrication (WF),
MWANZA Carpentry and Joinery (CJ), Painting and Sign Writing (PS), Motor Vehicle Mechanics,
Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Secretarial and Computer (SCA), Food Production (FP).

35. Namtumbo DVTC Carpentry and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Heavy Duty Equipment Mechanics Kutwa
S.L.P 902 (HDEM), Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT),
NAMTUMBO Plumbing and Pipe Fitting (PPF)

36. Ndolage VTC Masonry and Bricklaying (MB), Welding and Metal Fabrication (WF), Secretarial and Kutwa
S.L.P 16 Computer (SCA), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT)
KAMACHUMU
37. Ngorongoro DVTC Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Installation (EL), Masonry and Bweni na Kutwa
S.L.P 79, Bricklaying (MB)
LOLIONDO

6
NA. JINA LA CHUO FANI ZITAKAZOFUNDISHWA BWENI/KUTWA

38. Nkasi DVTC Electrical Installation (EL), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Secretarial and Bweni na Kutwa
S.L.P 116, Computer (SCA)
NKASI
39. Nyamidaho VTC Electrical Installation (EL), Secretarial and Computer (SCA), Designing, Sewing and Cloth Bweni na Kutwa
S.L.P 276, Technology (DSCT)
KASULU
40. Nyasa DVTC Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Bweni na Kutwa
S.L.P.96, Secretarial and Computer (SCA), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry
NYASA and Bricklaying (MB)

41. Pwani RVTSC Auto Electric (AE), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Refrigeration and Air Conditioning (RAC) Bweni na Kutwa
S.L.P. 30345, Electrical Installation (EL), Laboratory Assistant (LA), Electronics (ELEC), Design, Sewing and
KONGOWE,KIBAHA Cloth Technology (DSCT), Carpentry and Joinery (CJ)

42. Ruangwa DVTC Masonry and Bricklaying (MB), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation (EL), Bweni na Kutwa
S.L.P 110 Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT).
RUANGWA
43. Shinyanga VTC Masonry and Bricklaying (MB), Design Sewing and Cloth Technology (DSCT), Electrical Bweni na Kutwa
S.L.P. 470, Installation (EL), Germ Stone Cutting, Polishing and Curving (GCPC), Plumbing and Pipe
SHINYANGA Fitting (PPF), Carpentry and Joinery (CJ), Welding and Metal Fabrication (WF), Heavy Duty
Equipment Mechanics (HDEM), Secretarial and Computer Application (SCA).

44. Simanjiro VTC Masonry and Bricklaying (MB), Welding and Metal Fabrication (WF), Carpentry and Joinery Bweni na Kutwa
S.L.P 376 , (CJ)
MANYARA
45. Singida VTC Animal Husbandry (AH), Plumbing and Pipe Fitting (PL), Designing, Sewing and Cloth Bweni na Kutwa
S.L.P. 733, Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB), Carpentry and Joinery, Welding and Metal
SINGIDA Fabrication (WF), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Solar Power Installation (SPI)

46. Songea VTC Welding & Fabrication (WF), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Electrical Installation (EL), Kutwa
Barabara ya Njombe Auto Electric (AE), Masonry and Bricklaying (MB), Plumbing and Pipe Fitting (PL), Designing,
S.L.P 902, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Carpentry and Joinery (CJ), Secretarial and Computer

7
NA. JINA LA CHUO FANI ZITAKAZOFUNDISHWA BWENI/KUTWA

SONGEA. (SCA)

47. Tabora RVTSC Auto Body Repair (ABR), Electrical Installation (EL), Welding & Fabrication (WF), Carpentry Bweni na Kutwa
S.L.P. 2060, and Joinery (CJ), Masonry and Bricklaying (MB), Motor Vehicle Mechanics, Auto Electric
TABORA (AE), Handloom and Weaving (HW), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT),
Secretarial and Computer Application (SCA)

48. Tanga RVTSC Plumbing and Pipe Fitting (PL), Welding and Metal Fabrication (WF), Electrical Installation Bweni na Kutwa
S.L.P 1204, (EL), Carpentry and Joinery (CJ), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Fitter
TANGA Mechanics (FM), Food and Beverage service and Sales (FBSS), Food Production (FP), Masonry
and Bricklaying (MB), Motor Vehicle Mechanics (MVM), Painting and Sign Writing (PS),
Secretarial and Computer (SCA), Auto Body Repair (ABR), Auto Electric (AE)

49. Ulyankulu VTC Plumbing and Pipe Fitting (PPF), Electrical Installation (EL), Welding and Metal Fabrication Bweni na kutwa
S.L.P 111 (WF), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Masonry and Bricklaying (MB)
Kaliua
TABORA
50. Urambo DVTC Masonry and Bricklaying (MB), Designing, Sewing and Cloth Technology (DSCT), Secretarial Bweni na Kutwa
S.L.P 133, and Computer (SCA), Electrical Installation (EL).
URAMBO
51. VETA Hotel and Tourism Food production (FP), Front Office Operation (FO), Food and Beverage Service and Bweni na Kutwa
Training Institute - Sales(FBSS), Tour Guiding(TG), Housekeeping and Laundry(HK)
VHTTI, NJIRO
S.L.P 1434
ARUSHA

You might also like