You are on page 1of 4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


JESHI LA POLISI TANZANIA

TANGAZO LA AJIRA
Jeshi la Polisi Tanzania linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka wa fedha 2015/2016
kwa vijana wenye elimu ya vyuo vya elimu ya juu, waliosomea ujuzi/fani mbalimbali
toka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wahitimu wa kidato cha sita wa mwaka
2014 waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria. Wahusika watajaza
fomu baada ya kujazwa kikamilifu wataambatanisha vivuli vya vyeti na kutuma
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa njia ya Posta kabla ya tarehe 31/06/2015. Kwa
anuani ifuatayo:
Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S.L.P. 9141,
DAR ES SALAAM.
SHAHADA
Maendeleo ya Jamii(Community development),Ushauri Nasihi [Counselling
Psychologist](2)
Uchumi(Economy)(10)Ualimu(Education)(2)Menejimenti
ya
Rasilimali
watu(HRM),
Utawala
katika
Utumishi
wa
Umma(Public
Administration)(3) Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria[BaLE](12) Sheria (LLB)(2)
Uandishi wa Habari(2) Uhandisi Mitambo[Mechanical Engineer](5) TV & Redio
Production(5)Ugavi[BA In Procurement & Supplies](2) Mazingira[BA in
Environmental Disaster Mgt](5) Uchoraji[BA in Fine Arts](5) Mkemia,
Bailojia[Molecular Biology] (10)Kada za Afya(10)Uhandisi Madini[Mining
Engineer](5) Land Surveyor(2) Madaktari wa Wanyama(5) Wataalamu wa Ujenzi
Mafundi AC(2) Architecture(2) Quantity Surveyor(2) Civil Engineer(2)
STASHAHADA
Utunzaji Kumbukumbu(30) Katibu Muhtasi[Personal Secretary](30) Matengenezo ya
kompyuta, Photocopy machines na Fax(10) Mafundi Mitambo wa meli(2) Kada za
Afya(5) Wataalamu Magari na Pikipiki Mafundi Umeme wa Magari(5) Mafundi
Magari(5)
Manahodha(5)
Ugavi(2)
Mawasiliano[Diploma
in
RadioCommunication](20) Madaktari wa wanyama(2) Land Surveyor Cathographer
(2) Mafundi AC(2) Wataalam ujenzi Hydro Geology Drilling Well(2) Architecture
Draftman(2) Civil Engineer(2)

ASTASHAHADA(NTA level 3 or 4
Wataalamu Magari na pikipiki Mafundi Pikipiki(4) Mafundi Umeme wa Magari(4)
Mafundi Magari(4) Mafundi Rangi za Magari (Spray Painting)(4) Madereva wa
magari(50) Mafundi Unyooshaji wa Body (Panel Beating)(5) Mafundi A/C(3)
Mafundi Ushonaji (10)Wataalamu wa GIS Cathographer(2) Land Surveyor(2)
Madaktari wa Wanyama (3) Refridgeration & Air Condition(2) Motor Rewinding(2)
Wataalamu wa Ujenzi Welding & Fabrication(2) Generator Maintenance(2)
Electrical(3) Masonry (2) Painting(3) Aluminium & Glass Work(2) Plumbing(2)
Wataalamu wa muziki Brass bandi (5) wood wind (5) String jazz (3) Percussive (2)
MASHARTI KWA MWOMBAJI
1. Mwombaji atajaza fomu ya maombi kikamilifu na atabandika
picha yake Ppt Size kwenye fomu.
2. Mwombaji aambatanishe katika fomu vivuli vya vyeti vyote
yaani cheti cha kuzaliwa, kuhitimu elimu ya sekondari[Leaving
& Academic], cheti/vyeti vya taaluma[Academic Transcript] na cheti cha
kumaliza Jeshi la kujenga taifa kwa wahitimu wa kidato cha sita.
3. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe Mtanzania kwa kuzaliwa.
2. Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 25 kwa wahitimu wa
astashahada, stashahada na kidato cha sita.
3. Kwa wahitimu wa shahada awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi
miaka 28.
4. Awe amehitimu chuo mwaka wa masomo 2014 tu.
5. Kwa wahitimu wa kidato cha sita awe amehitimu mwaka 2014 na kupitia
Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria
6. Awe na tabia njema.
7. Asiwe na kumbukumbu za kutenda uhalifu.
8. Awe na afya njema[kimwili na kiakili]
9. Awe hajaoa/hajaolewa au kuwa na mtoto.
10. Asiwe na alama za kuchora mwilini[tatuu].
11. Awe na urefu usiopungua sentimita 155 futi tano nchi mbili
12. Asiwe mtumiaji wa madawa ya kulevya.
13. Awe hajaajiriwa na idara nyingine Serikalini.
14. Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Polisi.
15. Awe tayari kufanya kazi popote ndani na nje ya Tanzania.
Imetolewa na
Makao Makuu ya Polisi(T)
DAR- ES- SALAAM.

TANZANIA POLICE FORCE


PASS PORT
SIZE

APPLICATION FORM FOR JOINING THE TANZANIA


POLICE FORCE YEAR 2015
PART (A): APPLICANTS PERSONAL PARTICULARS:
Applicants Full Name:
Sex:
Male
Female

(Date of
birth):

University/College Name:

Field of Specialization:

Height in centimeter

Registration number:

Home District and Region:

Description of health problem or any physical


disability:

Permanent Address:
Phone/Mobile No:
E-mail:
Date of Acquiring CSEE (Form Four)

Date of Acquiring ACSEE (Form Six)

PART (B): DECLARATION BY THE APPLICANT: I declare that the


information given above is true to my best of my knowledge and belief.
SignatureDate
PART (C): ATTACHMENTS: Copies of Academic Transcript(s) Certificate(s)
CSEE (Form Four), Leaving Certificate(Form Four), ACSEE (Form Six), Leaving
Certificate (Form six), Birth Certificate.
PART (D): FOR OFFICIAL USE ONLY:
1.Applicants
1st Class
2nd Class
Examination Results;
upper

2nd Class
Lower

Pass

Failed

Caution: (i).Please do not fill this form if you have any health or physical disability
that may prevent you from undertaking Police Course(s)/Work(s).
(ii).This form should be filled by only finalist candidates under the
Academic year 2014, not otherwise.

TANZANIA POLICE FORCE


PASS PORT
SIZE

POLICE SEL-FORM FOR FORM SIX CANDIDATES PREFERING TO JOIN


THE TANZANIA POLICE FORCE YEAR 2014
PART A:
PERSONAL PARTICULARS.
Students Full Name:
Male

Sex:
Female

(Date of
Birth).

Certificate No:
Candidates Examination No:

School Name:

Centre No:

Present Home District and Region:

Describe health problem or any physical disability


you have;

Present Address:
Phone/Mobile No:
PART B:
DECLARATION BY STUDENT: I declare that the information
given above is true and the choice made is of my own decision.
SignatureDate
PART (C): ATTACHMENTS: Certificate(s) CSEE (Form Four), Leaving
Certificate(Form Four), ACSEE (Form Six), Leaving Certificate (Form six), Birth
Certificate and National service Certificate.
PART D:
FOR OFFICIAL USE ONLY
1.Students Examination Results;

Division

Point

2. Decision made;

Accepted

Not accepted

Caution: (i) Please do not fill this form if you have any health or physical disability
that may prevent you from undertaking Police Course(s)/Work(s).
(ii)This form should be filled by only finalist candidates under the
Academic year 2014, not otherwise.

You might also like