You are on page 1of 3

PICHA

ST.MICHAELS CATHOLIC VOCATION TRAINING CENTER

KAWE- PARISH

P.O.BOX 60251 DAR ES SALAAM

FOMU YA KUOMBA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA USHONAJI KWA MIAKA MIWILI ( 2)

Fomu ijazwe kikamilifu kisha irejeshwe kwenye Ofisi ya Parokia

1: TAARIFA BINAFSI KUHUSU MWOMBAJI

1. Majina kamili (matatu) ya mwombaji


2. Jinsia..
3. Umri..
4. Kiwango cha elimu..
5. Anuani
6. Namba ya simu
7. Mahali anapoishi.
Ninathibitisha kwamba taarifa zote nilizotoa hapo juu ni sahihi.

Sahihitarehe

2: TAARIFA BINAFISI KUHUSU MZAZI/MLEZI


MDHAMINI/MFADHILI WA MWOMBAJI
(Ijazwe na Mzazi/Mlezi/Mdhamini/Mfadhili wa Mwombaji)

1. Mjina kamili (matatu)


2. Jinsia.
3. Umri.
4. Namba ya simu
5. Mahali anapoishi
6. Uhusiano uliopo baina yako na mwombaji
Ninathibitisha kwamba taarifa zote zilizotolewa na mwombaji pamoja na nilizozitaja
mimi mwenyewe hapo juu ni sahihi.

SahihiTarehe
1. SIKU ZA MASOMO
Jumatatu Ijumaa

Darasa la Asubuhi: saa 02:00 06:30 Mchana

Darasa la Mchana saa 07: 30 11:00 Jioni

5.TAARIFA KUHUSU CHUO


A. JINA LA CHUO: ST.MICHAELS CATHOLIC VOCATIONAL TRAINING CENTRE KAWE
B. MAHALI CHUO KILIPO: KANISA KATOLIKI LA MT. MIKAEL KAWE
C. MMILIKI WA CHUO : KANISA KATOLIKI LA MT. MIKAEL KAWE
D. ANUANI YA CHUO : S. L. P 60251 DAR - ES SALAAM.
E. NAMBA YA SIMU : 0732 995489 vetastmichael @yahoo.com

6.UTARATIBU WA KUTOA MAFUNZO

1. Kozi hufundishwa kwa lugha ya Kiswahili na Kingereza.


2. Masomo yote hufundishwa kwa nadharia na vitendo. Mwanafunzi anapaswa
kuelewa masomo vizuri katika Nyanja zote mbili ( nadharia na vitendo)
7.GHARAMA ZA MAFUNZO

1. Fomu ya Kujiunga TSh 5,000

2. Ada ya masomo : Tshs 630,000= kwa kozi ya ushonaji.

Mwanafunzi anapaswa kulipa kwa awamu Nne kama ifuatavyo;

Awamu ya I : Tsh 180,000/= ( mwanafunzi anapoanza masomo)

Awamu ya II: Tshs 150,000/= ( ndani ya kipindi cha miezi mitatu)

Awamu ya III. Tshs 150,000/=

Awamu ya IV: Tshs 150,000/=

JUMLA TSHS 630,000/=

Gharama hizi hazijumuishi ( materials) ya kujifunzia. Pia hazijumuishi gharama za vifaa vya
kufanyia mazoezi ya kujifunzia ushonaji kama vile vitambaa, futi, mkasi, bobi case, Daftar n.k

3. Sare ( kwa kozi ya ushonaji tu). Malipo yote yafanyike kabla mwanafunzi hajaanza
masomo)
a. Sketi 1 ( kwa wanawake) Tshs 15,000/=
b. Suruali 1 ( kwa wanaume) Tshs 10,000/=
c. Fulana 1( kwa wanawake na wanaume) Tshs 10,000/=
4. Kitambulisho ( kwa kozi ya ushonaji tu); Tshs 5,000/=
5. Cheti Tsh 6,000/

Kwa kozi zote ( ilipwe muda wowote ndani ya kipindi cha kozi)
JUMLA Tshs 36,000/=
NB: malipo yote yafanyike ofisi ya Parokia

6. MENGINEYO
1. Chuo kinapokea waombaji wa aina yoyote wenye sifa pasipo kujali dhehebu, dini, Jinsia,
itikadi au kabila.
2. Mwombaji aliyekubaliwa kujiunga na chuo shart azingatie sharia, kanuni na taratibu za
chuo ambazo huelezwa kabla ya kuanza masomo.
3. Malipo yaliyokwishalipwa hayatarejeshwa kwa mwombaji kwa sababu yoyote ile.

4. UPENDO, AMANI, UMOJA, UNYENYEKEVU, UADILIFU, MATUMAINI NA TAALUMA


BORA, NDIZO NGUZO KUU ZA CHUO.
KWA AJILI YA MATUMIZI YA OFISI TU

Mwombaji amelipa : Tshkwa ajili ya.

Tshkwa ajili ya ..

Tsh: kwa ajili .

Tshkwa ajili ya

Saini ya mpokeaji..wadhifa

You might also like