Professional Documents
Culture Documents
1.0 UTANGULIZI
Ninayofuraha kukutaarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na Mafunzo katika chuo chetu
cha Tabora Polytechnic (TPC) kama mwanafunzi wa kujitegemea. Mafunzo ni ya miaka mitatu
kwa kiwango cha Stashahada (Diploma).
Chuo kinakupongeza kwa nafasi hii na tunategemea kuwa utaitumia vizuri na kusoma kwa
juhudi zako zote ili uweze kufanya vizuri katika mafunzo yako, kwa manufaa yako na ya
Taifa kwa ujumla.
Page 1 of 5
5.0 KUFUNGUA CHUO:
Unatakiwa kufika chuoni kuanzia tarehe 01/ 08 / 2023 ili kuanza mafunzo kulingana
na maelekezo ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTVET)
8.0 MITIHANI
Kutakuwepo na mitihani ya kufunga muhula (Semester exams.) kila tunapokaribia
kufunga chuo.Taarifa ya matokeo ya mitihani yako itawekwa kwenye mtandao ili
uweze kuona popote ulipo. Wanachuo wote watafanya mtihani wa Taifa (NACTVET)
kila mwisho wa mwaka wa masomo.
9.0 USAJILI:
Ufikapo chuoni unatakiwa kuripoti Ofisi ya Usajili uoneshe:-
Vivuli vya vyeti (Photocopies)vya kidato cha nne/Sita ( Results slip kwa
wale ambao vyeti havijatoka).
Picha (Passport size)- 3, na File 1
Rimu mbili (2) kwa mwaka ( Muhula wa kwanza Rim 1 na Muhula wa Pili
rimu 1)
Fomu ya kupimwa na daktari wa serikali (Medical Examination).
ADA YA CHUO
Ada ya Chuo ni 1,600,000/= kwa Mwaka na Hulipwa kwa Awamu Nne(4) Katika
kozi ya UFAMASIA
Amount
S/N Item Duration/Remarks
(Tshs)
I. Caution Money 50,000/= Kwa Mwaka
II. College T-shirt 16,000/= Kwa Mwaka
III. Students Identity Card 10,000/= Kwa Mwaka
IV. Nacte Quality Assurance fees 15,000/= Kwa Mwaka
V. Students Council 5,000/= Kwa Mwaka
Page 2 of 5
.
SEMISTA YA KWANZA
OCTOBA 2023 400,000/= 406,000/= 30,000/= 50,400/= 886,400/=
NB: Tafadhali ndugu mzazi/mlezi unaombwa kufuata utaratibu huo wa malipo Kwani
Hakutokua na mfumo tofauti na huo. Malipo yote yalipwe kupitia Bank Kwa Account Namba
zifuatazo:
NMB: Account Namba 51010064407
Jina: TABORA POLYTECHNIC COLLEGE
CRDB: Account Namba 0150616901100
Jina: TABORA E.A POLYTECHNIC COLLEGE
Nakutakia utekelezaji mwema.
Page 3 of 5
CHAKULA
Gharama utakazolipa kwa Ajili ya Ada Na Bweni hazihusishi chakula. Mwanachuo atajitegemea chakula
mwenyewe au kununua chakula katika kantini za chuo Kwa gharama elekezi ya shillingi 80,000/= Kwa
Kila Mwezi.
MUHIMU
Malipo yote yaliyoorodheshwa katika kipengele cha Michango, Ada Na Hostel yanatakiwa kulipwa
kupitia Benki Akaunti Namba;
13.0 MALI BINAFSI. Kila mwanachuo anatakiwa kutunza mali zake binafsi.
SARE YA CHUO
Suruali ya Kaki na shati jeupe la mikono mirefu kwa Wavulana na kwa Wasichana ni
Gauni Jeupe au Nusu kanzu (short kanzu) Ambazo Hulipiwa chuoni kwa Gharama ya
shilingi 40,000/= kwa Sare na Lab-coat ni 30,000/=
............................
MHINA L. G
MKUU WA CHUO
Page 4 of 5
TABORA (E.A) POLYTECHNIC COLLEGE
REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION
DATE……………………………………………………………….
Mr/Mrs/Miss……………………………………………………… (NAME IN FULL)
MEDICAL CRTIFICATE
I have examined the above named and consider that HE/SHE is physically
FIT/UNFIT and mentally FIT/UNFIT to full Training Course.
1. Eye sight……………………………………………………………………………..……………………
2. Hearing…………………………………………………….…………………………….………………..
3. Limbs…………………………………………………………………………………….…………………
4. Speech…………………………………………………………..……………………….…………………
5. Venereal diseases………………………………………..………………………….…………………
6. Leprosy……………………………………………………….………………………….………………..
7. Epilepsy…………………………………………………………………………………………………..
8. Neurosis……………………………………………….………………………………………………….
9. Other serious diseases………………………………………………………………………………
10. Pregnancy ……………………………………………………………………………………………….
Approved by:
Name……………..…………………Signature………………..…………. Date…………………….
Page 5 of 5