You are on page 1of 1

ALESSIKA COLLEGE OF TECHNICAL TRAINING AND ACCOUNTANCY

(ACOTETA)

CHUO CHA ACOTETA,


E-mail: acoteta.info@gmail.com KAHAMA-SHINYANGA.
Simu: 0754222378/0786150985

Tarehe: 14/07/2023

JINA:

YAH: MAELEKEZO YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO KATIKA


CHUO CHA ALESSIKA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024.

Uongozi wa chuo unayo furaha kubwa sana kukufahamisha kuwa


umefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na chuo chetu katika kozi ya
…………………………………………………………, kwa mwaka wa masomo
2023/2024. Kwa gharama ya Tsh. 850,000/= kwa mwaka.
Masomo yataanza tarehe 02, Mwezi wa 08, Mwaka 2023 kwa muda wa
mwaka mmoja, hivo hadi tarehe 02, Mwezi wa 08, Mwaka 2024.
Kumbuka kuwa pindi utakaporipoti chuoni, unatakiwa kuja na barua hii ikiwa
imeambatana na vifuatavyo:
(i) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
(ii) Nakala ya silip ya matokeo ya kidato cha nne
(iii) Passport size 3
Uongozi wa chuo umethibitisha kupokea taarifa hizi baada ya kujiridhisha na taarifa za muombaji,
na pia unampa hongera sana kwake kwa kupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa
kuchaguliwa katika chuo hiki pendwa kwani nafasi zilikuwa chache kulingana na uhitaji mkubwa wa
chuo hiki.

NB: Chuo kinatoa nafasi ya kumsikiliza mwanachuo kama anahitaji kubadili kozi/ fani, maana
chuo kinazo kozi zaidi ya moja.
Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana ofisini kwa gharama ya Tsh. 10,000/=

KARIBU SANA NA PIA TUNAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA.

Wako katika ujenzi wa jamii bora,


…………………………….
ALFRED K. SITAYO.
Mkurugenzi wa chuo- ACOTETA.

You might also like