Professional Documents
Culture Documents
FOMU - A
JINA LA MWANAFUNZI: ( Herufi Kubwa) ----------------------------------------------------------------------
YAH: MTIHANI WA KUJIUNGA NA SHULE MWAKA 2018 (DARASA LA I, II, III, IV, V & VI)
Tafadhali soma kwa umakini maelezo yafuatayo yenye sehemu mbili zilizopewa majina ya fomu ‘A’ na
fomu ‘B’. Fomu-A ina maelezo yote ambayo mtahiniwa anatakiwa kuyafahamu wakati fomu-B ina
maelezo binafsi ya mtahiniwa yanayohitajiwa na shule.Fomu-B ijazwe kwa umakini na usahihi kisha
irejeshwe shuleni kabla ya tarehe 10 December, 2017.
Fomu-A itabaki kwa mtahiniwa na siku ya mtihani itatumika kama kitambulisho kabla ya kuingia katika
chumba cha mtihani ikiwa imebandikwa picha (passport size) ya mtahiniwa iliyopigwa siku za karibuni.
Picha hii lazima ifanane na ile PICHA iliyowekwa kwenye fomu-B. KAMA HUTAKUJA NA FOMU “A”
HUTARUHUSIWA KUFANYA MTIHANI. Siku ya mtihani mwanafunzi aje na peni, penseli ,rula na
awe UMEVAA SARE YA SHULE ULIPO SASA.
OMBI lako la kutaka kujiunga na shule hii litategemea Matokeo ya Mtihani utakaotolewa na shule yetu
16th DECEMBER 2017, 09:00 am, Saturday [16 DEC 2017 saa tatu (3:00) asubuhi ,Jumamosi]
MAHALI: Marian Pre & Primary School- Bagamoyo
Kila mwanafunzi aliyechukua fomu hii ya maombi ya kujiunga na shule asikose kufanya mtihani huu,
akikosa hatarudishiwa pesa na pia hatafikiriwa kwa mtihani mwingine. Siku ya mtihani ni moja tu.
S.Vedasto
MWL MKUU
MARIAN PRE & PRIMARY SCHOOL
P.O.BOX 230, BAGAMOYO, Tel: 0232440428 Picha
E-mail: marianprimary@gmail.com
Website: https://marianprimary.wordpress.com
FOMU - B
JINA LA MWANAFUNZI: ( Herufi Kubwa) ----------------------------------------------------------------------
4. Darasa alilopo sasa (2017) ------------------------- Darasa analoomba kuingia (2018) ----------------------
Kwa mwanafunzi
Ninaahidi kutii sheria na taratibu zote za shule iwapo nitachaguliwa kujiunga na shule hii