Professional Documents
Culture Documents
Kigogo
Kigogo
S.L.P 25,
KIBONDO.
2, JULAI, 2020.
S.L.P 43,
KIBONDO.
K.K
KATA YA ITABA,
S.L.P 25,
KIBONDO.
Ofisi ya mwalimu mkuu shule ya msingi Kigogo inamtambulisha ndugu mwenye jina
tajwa hapo juu alikuwa ni mwanafunzi wa shule hii na alihitimu darasa la saba (Elimu
ya Msingi) mnamo mwaka 2008.
Utambulisho huo umetolewa baada ya mtajwa hapo juu kutopata cheti chake mpaka sasa
baada ya kuhitimu.
Aidha namba yake ya usajili ni 2535, hivyo ninaomba apatiwe huduma anazostahili
kupitia utambulisho huu.
Philemon H. Mtango
M/MKUU
SHULE YA MSINGI KIGOGO
TAARIFA YA MRADI WA IGA
UTANGULIZI
Changamoto.
Kwa kuwa mradi wa shule ulikuwa ni ununuzi wa karanga za maganda ya
kulimbikiza zoezi hilo limeshindikana kwa sasa kutokana na bei ya karanga za
maganda kuwa Tsh 11,000/= badala ya Tsh 7000 au 6000 katika msimu wa
mavuno.
Mapendekezo
Kamati ya shule inaendelea kufikilia ifanye mradi gani kabla ya msimu
mwingine wa ununuzi wa karanga za maganda, baada ya hapo nitaitarifu ofisi ya
elimu msingi ili fedha isikae bila kuzalisha.
iii. Changamoto.
Kutokutabirika kwa soko la karanga kumepelekea kuuza kwa bei ya chini
tofauti na ilivyokuwa imepangwa na zisipo uzwa msimu huu wa kupanda
karanga zitaporomoka bei zaidi.
B.