You are on page 1of 1

JAMALDINI. B.

MANDOWA
S.L.P 1070
LINDI
01/11/2023

KUMB NA: 63

MENEJA WA MKOA WA MTWARA


NIC INSURANCE
S.L.P 584
MTWARA

YAH: UTAMBULISHO WA MAFUNZO YA BIMA KWA VIKUNDI VYA UVUVI


VILIVYONUFAIKA NA MIKOPO YA WIZARA YA UVUVI MIFUGO
MKOA LINDI MTWARA PWANI.

Naomba kukujulisha kuwa mara baada ya serikali kuimezesha sekta ya Uvuvi katika kuchochea
uchumi wa blue. Kwa kuwapatia boti za Uvuvi kwa vikundi na mtu mmoja kwa mmoja kwa
Campun .
Mimi jamaldini. Benedictor . Mandowa ( MAJI TRADERS ) kama (Agent) nilipitia Mkoa wa
kilwa Wilaya LINDI na Mkoa wa Mtwara (MC) Mtwara Disii kuvitembelea vikundi vyote na
wadau wote kwa utambulisho wa ofisi ya wakurugezi wa Halmashauri ya Wilaya na Miji kwa
barua toka ofisi za Mikoa za NIC insurance, Lindi na Mtwara kwa utambulisho nilipata nafasi
ya kutoa elimu ya bima na faida yake na asali ya kutokata bima mali na bidha .
Elimu iliyo wajengea uwelewa wanufaika wote na kulidhia kuwa wapo tayari kupata huduma
ya Bima wa shirika la bima la Taifa (NIC) kama Shirika lenye dhamana nakukinga majanga
wakati wowote kupatiwa bima kama sheria inavyo wataka ili waweze kufanya shughuli zao za
Uvuvi kwa kinga ya majanga ya mali zao ilikukinga mikopo yao .
Kwa taarifa hii nawasirisha orodha ya vikundi vyote vilivyo patiwa mkopo kwa ghalama
tofauti ili wapatiwe bima. Hivyo naomba ofisi yako ifatilie malipo ya bima kwa tasisi husika
yenye dhamana na Mikopo hiyo chini ya wizara husika na Benki (TADB ) Kanda ya Kusini
Wakati wa Mafuzo tuwasiliana na Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ofisi ya katibu Mkuu
Hivyo basi nawasilisha Addres na mawasiliano ya muhusika ofisi ya katibu Mkuu
Mr Katunzi
Mobile +255717369588
Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mji wa Serkali.
Mtumba S.L.P 2847 40487 Dodoma.

……………………………………………………
JAMALDINI BENEDICTOR MANDOWA
Wajibu wetu kwani ( NIC, SISI NDIYO BIMA )
0734990045

You might also like