You are on page 1of 3

27/05/2023

MALANGA FULL GOSPEL CHURCHS OF KENYA


MPANGILIO YA IBAADA YA JUMAPILI YA TAREHE 4/6/2023 IBAADA
ITAANZA SAA 10:00A.M. NA ITAONGOZWA NA PASTOR ERNEST WITIRA
: MALANGA FULL GOSPEL

UTARATIBU WA MAKANISA :

1. KANISA LA MALANGA FULL GOSPEL


2. KANISA LA IBANDA FULL GOSPEL
3. KANISA LA EMUKHUYU FULL GOSPEL
4. KANISA LA ESIBINGA FULL GOSPEL
5. KANISA LA SIMBACHAI FULL GOSPEL
6. KANISA LA EBUSIADA FULL GOSPEL
7. KANISA LA NAMBALE FULL GOSPEL
8. KANISA LA VIJANA FULL GOSPEL
9. WAGENI WETU WASIKU YA LEO
10. KWAYA/SUNDAY SCHOOL
11. MATANGAZO
12. MATOLEO : SADAKA /FUNGU LA KUMI
13. MHUBIRI

UTARATIBU WA MCHANGO WA HARAMBEE

MUGENI WETU ATAKAE CHANGISHA.

NI MZEE GRICE MWALIMU WA KANISA LA EMUKHUYU FULL


GOSPEL

1. KANISA LA MALANGA FULLGOSPEL

2. KANISA LA IBANDA FULL GOSPEL

3. KANISA LA EMUKHUYU FULL GOSPEL

4. KANISA LA ESIBINGA FULL GOSPEL

5. KANISA LA SIMBACHAI FULL GOSPEL

6. KANISA LA EBUSIADA FULL GOSPEL

7. KANISA LA NAMBALE FULL GOSPEL

MCHANGO NA UWENDELEE

MIMI PASTOR WENU ERNEST WITIRA


WAEBRANIA 12:14-16
27/05/2023
MALANGA FULLGOSPEL CHURCHES OF KENYA
TAREHE YA 26/09/2019 SIKU YA JUMAPILI.
MIMI PASTOR ERNEST WIITIRA MHUBIRI WA PALE NIKIELEZEA
YALIYO TUKIA KWA SIKU HIYO NAKUENDELEA.
MAELEZO:
NILIMWONA R.V WANGU LAWRENCE AMAKE WAKIWA NA PASTOR
ISAAC MUKHOLI WA KANISA LETU LA EMUKHUYU NA MZEE JOEL
NAKWEYA. WAKANISA LETU LA NAMBALE NIKAWAKARIBISHA.
TUKAENDELEA NA IBAADA YETU YA SIKU HIYO IKAMALIZIKA.
SIKUELEWA NI LENGO GANI ALIYONAYO KWA MAANA HAKUWA
AMENIELEZA NENO LOLOTE KABLA YA KUKUJA.
NDIPO BAADAYE AKANIAMBIA NIMEKUJA NIKAE NA VIONGOZI
WAKO KWA MAZUNGUMZO. NIKAMUJIBU NI SAWA TUNAWEZA
TUKAKAA NA TULIKAA.
1. R.V LAWRENCE AMAKE
2. PASTOR ERNEST WIITIRA
3. PASTOR ISAAC MUKHOLI
4. MAMA KANISA ELIZABETH JUMA
5. MWINJILISTI JACKLINE AGUTU
6. MZEE JOEL NAKWEYA
7. KIONGOZI WA VIJANA FRANKLINE WESONGA
8. TREASURER EUNICE OCHIENG
9. CHAIRMAN WA UJENZI FENCIO MULANYA
 AJENDA YA KWANZA. MIMI R.V AMAKE NIMEKUJA
KUSULUHISHA MAKOSA YA VIJANA WAKO WALIKOSANA
NIKAMWEMBIA MAKOSA YA VIJANA. NILISULUHISHA.

 AJENDA YA PILI: INASEMEKANA YA KUWA WEWE PASTOR


WA HAPA ULIKULA PESA ZA KANISA KSHS. 36,000 ILIBIDI
VITABU VYOTE VIKAGULIWE KWA KUFANYA HESABU
HAIKUPATIKANA PESA NILIYOKULA. BALI NI SHILINGI
14,025 NILIZOKUWA NIMEWEKA ZA KUNUNUA VIOMBO
MBELENI.

 AJENDA YA TATU: NIMEKUJA KUPATANISHA WASHIRIKA


WAKO HAPA WALIKOSANA. NIKAMWAMBIA WASHIRIKA
WANGU HAWAKO WOTE MMOJA AKO NAIROBI NIMEMPA
HABARI. AKUJE NIKAE NA WAO NIWASIKILIZE. R.V WANGU
ALINIPINGA AKASEMA YEYE ATAPATANISHA WENYE
WAKO. MIMI PASTOR ERNEST NILINYENYEKEA
NIKAMUWACHA AFANYE JINSI APENDAVYO MWENYEWE.
 AJENDA YA NNE: JUMAPILI ILIOFUATA R.V LAWRENCE
AMAKE ALIRUDI WAKIWA NA MZEE JOEL NAKWEYA NDIPO
AKAWAPATANISHA WALIYEKUWEKO SIKU HIYO TENA
AKASEMA NINATAKA KUWEKA VIONGOZI KWA
MADHABAHU NA KULIKUWA NA WAZEE WAWILI
NILIYEKUWA NIMEWAWEKA KWA MADHABAHU.
PUNDE SI PUNDE WAKATOROKA KWA MADHABAHU NA NIKAMWELEZA
R.V WANGU ALIKATAA KUNIELEWA NA KUNIKATAZA. MIMI PASTOR
NILIKAA KANDO AKAPANGA VILE ALIPENDA KUFANYA AKAWAITA
KWA OFISI YAKE NAMBALE PEKE YAO MARA KWA MARA. AKAWAMBIA
AKUTANE NA HAO WAZEE PAMOJA NA WAKE WAO MALANGA F.G.C.K
WALIPOKUTANA SIKUJUA MPANGO WA R.V AMAKE NA HAWA WAZEE
WALIKUWA BADO HAWAJABATIZWA NA R.V WANGU ALIAMUA
AKASEMA NITAWAPEA KADI YA UBATIZO NIKAMWAMBIA TANGU
NIANZE KUFUNDISHA HABARI YA UBATIZO BADO HAWAJAAMUA
KUBATIZWA. NIKAMUKATAZA ASIWAPE KADI. NIKANYAMAZIA HAPO
KWA MAANA SIKUJUWA KINACHO ENDELEA.
JUMAPILI ILIYO FATA AKAKUJA TENA NA MZEE WAKE JOEL
NAKWEYA AKAPEANA KADI KWA HAWO WAZEE NA AKAWA PANDISHA
KWA MADHABAHU NA YEYE NDIYE ALIHUBIRI SIKU HIYO.
ALIPOMALIZA MAHUBIRI AKAONGEA NENO LA KUNISHANGAZA MNO.
AKASEMA AKAMBIA VIONGOZI WENYE MKO HAPA IDARA 9 MARIPOTI
YENU MLETE NAMBALE.
NA PASTOR WENU ASIJE AKASEMA NI UONGO. NILIPOWEKA
UCHUNGUZI NA KUFATILIA NIKAGUNDUWA YA KUWA R.V WANGU
ALIKUWA AMEWAPANGA HAWA WAZEE MMOJA AWE PASTOR NA
MWINGINE AWE SHAMASI. NILIKUWA NIMECHIMBA MAWE LORI 10
R.V WANGU ALICHOCHEA VIONGOZI WANGU WAMAENDELEO YA
UJENZI WAKANIPIGA VITA NI KWA AJILI YA MAWE HAYO
NIKAWAWACHIA YALE MAWE WAKAUZA BILA MIMI NILIKUWA
NIMEANZISHA KUWEKA MSINGI WA KANISA. SHUGHULI ZOTE
ZILIYUMBA YUMBA HATA VIONGOZI WALIYOKUWA WAMEWEKWA KWA
MADHABAHU WALITOROKA MADHABAHU WAKAENDA KABISA
VIONGOZI WENGI WALIHAMA KANISA.
MIMI PASTOR ERNEST WIITIRA NILIVUMILIA NIKANYENYEKEA
NIKATAFUA USO WA MUNGU NIKAMWOMBA NAKASHUKA AKANITIA
NGUVU MPYA TENA NIKAANZA KUJENGA MADHABAHU UPYA TENA.
NIKAPEWA MAANDIKO MATAKATIFU MATENDO YA MITUME 18:9-10,
1 WAKORINTHO 2:4-5
ASANTI KWA WASIKILIZAJI WANGU
MIMI PASTOR WENU ERNEST WIITIRA
YEREMIA 1:8-10

You might also like