You are on page 1of 7

Na Eneo/Shughuli Hali ya sasa Tarajio

1 Mkakakati
Uzalishaji wa wa
-AinaUendelezaji
zipi za muhogo zipo?wa Zao la Muhogo
-Kuongeza aina mpya za
mbegu bora Mbegu za asili muhogo
i.Karingisi Hakuna
ii.Rwabukindu (Rwakitangaza) -Kuanzisha wazalishaji wangapi
iii.Mwanaidi wapya?
iv.Lumala Wazalishaji 178
v.Mwitamwita -Kuongeza acre/hecta ngapi za
vi.Rwanguhela mashamba ya mbegu za
vii.Mwanaminzi muhogo?
ekari 178
Mbegu bora
i.Mkombozi
ii.Mkuranga I
iii.TARICCASS 1-5
iv.Mkumba
v.Kiroba
vi.Kizimbani
-Hecta/acre ngapi za mbegu zipo ndani ya
wilaya?
Zipo ekari 130
-Wazalishaji wangapi wapo?
Wapo wazalishaji 66
-Bei ya mbegu ni kiasi gani kwa kila kipando?
Shilingi 50/= kwa kipando
2 Mashamba ya -Mashamba mangapi ya demo -Yaanzishwe mashamba mangapi
maonyesho yapo katika mkoa husika? ya demo za muhogo?
(Demo) Yapo mashamba 66 Yaanzishwe mashamba 178
-Elimu ipi imetolewa ili -Mpango ni kuendesha field days
kuongeza uzalishaji? ngapi kaika mkoa/Wilaya katika
kipindi husika)
-Kanuni ya kilimo bora cha -Kufanya field days 9 (Kila
muhogo Halmashauri ifanye field day 1)

-Field days ngapi zimefanyika)


Mbili (2) (Butiama na
Serengeti)
3 Uzalishaji wa -Hali ya sasa ya uzalishaji ikoje? -Juhudi gani zitafanyika ili
Muhogo (Tija, Mavuno, aneo n.k) kuongeza uzalishaji (Kiasi and
Tija). Mfano elimu, mbegu n.k
Tija ni 2.5 kwa ekari Matumizi ya mbegu bora na pia
wadau wa IITA wanafanya utafiti
wa kuongeza tija kwa matumizi
ya mbolea

-Kutoa ellimu kwa wakulima ya


matumizi ya mbolea ili kuongeza
tija
-Tunatarajia kuongeza tija, eneo
na mavuno kiasi gani katika
mkoa? Tunatarajia kuongeza tija
kufikia tani 6 kwa ekari
4 Utoaji wa -Mikutano ya mafunzo mingapi -Mipango mingapi ya mafunzo
elimu imeendeshwa itafanyika itafanyika
(Awareness Mikutano 63
creation) - Programs ngapi zimepelekwa -Mpango wa mafunzo shambani
radioni kwa ajili ya kutoa taarifa utafikia wakulima wangapi?
kwa wakulima ni program 1 Wakulima 17,8000
Na Eneo/Shughul Hali ya sasa Tarajio
i
5 Usindikaji -Kuna viwanda/mashine vingapi -Viwanda /mashine vingapi
unga safi katika wilaya/Mkoa? Zipo 7 vipya vinatarajiwa kupatikana?
-Juhudi nyingine usindikaji ni zipi? Tunatarajia 9
Kutumia mashine ndogo Pressors) -Kuunganisha wazalishaji na
-Mafunzo juu ya usindikaji wa viwanda vilivyoo mikoa jirani
muhogo utatolewaje? Mafunzo tutawaunganisha na Kipipa
yanafundishwa na SIDO kupitia
vikundi na msindikaji mmojammoja
-
Lengo ni kufikia wasindikaji
wangapi? Wasindikaji 9
-Juhudi hizi zitasindika muhogo
kiasi gani? Tani 77,000
6 Usindikaji wa -Kuna viwanda vingapi vya -Juhudi zipi zitafanyika ili
vyakula vya kusindika vyakula vya mifugo kuongeza matumizi ya vyakula
mifugo mkoani / Wilaya husika? Hakuna vya mifugo vinavyotumia
muhogo? Mafunzo yameanza
kutolewa kupitia watu TFNC
Eneo/Shughuli Hali ya sasa Tarajio

7 Masoko -Masoko makuu ya muhogo ni -Juhudi zipi zitafanyika ili


yapi? Masoko ya kila wiki na kuunganisha masoko yaliyopo na
minada wakulima wetu? Mikutano ya
-Juhudi gani zimefanyika ili Wadau,Kuwaunganisha wazalishaji
kuondoa tatizo la soko? na TACCAPA pamoja na
Kuwaunganisha wakulima, CHAWAZIWA
vikundi na wasindikaji -Wadau wangapi watapata
-Juhudi zipi zimefanyika ili mafunzo juu ya masoko ya muhogo
kuunganisha wazalishaji wetu na ni wadau 1800
masoko yaliyopo ndani na nje ya
mkoa wetu? Hazipo
8 Uratibu wa -Uratibu wa shughuli za muhogo -Utaratibu wa uratibu wa muhogo
shughuli za ukoje katika mkoa/wilaya husika? utakuwaje ili mawasilaino yawe
muhogo Upo kwa RAA,DAICO na Afisa mazuri baina ya wadau?RAA,DAICO
(Coordination) mazao na Afisa mazao

9 Sera -Kuna sera maalum/sheria ndogo -Sera au sheria ndogo ndogo zipi/ngapi
ndogo za kuendeleza zao la muhogo? zinapendekezwa ili kuendeleza kilimo
hazipo cha muhogo ndani ya Wilaya/Mkoa
sheria ya Phytosanitation
Na Eneo/Shughuli Hali ya sasa Tarajio
10 Upatikanaji wa -Ni vyanzo gani vya -Kiasi gani cha fedha kimetengwa
fedha kuendesha fedha vipo kwa sasa kwa ajili ya kuendeleza zao la
shughuli za kilimo vinatoa fedha kwa ajili ya muhogo? Bajeti bado inafanyiwa
maendeleo ya shughuli kazi
za muhogo? Mapato ya -Miradi mingapi, na ni ipi ipo mkoani
ndani ya inaweza kuchangia shughuli za
Halmashauri,wadau uendelejaji wa zao la muhogo 4
ambao ni MEDA na - Mpango wa kuwaunganisha wadau
TYEGD na taasisi za kifedha kama CRDB,
-Kiasi gani cha fedha NMB e.t.c Bado
toka vyanzo vya wilaya
zimetoklewa ili
kuendeleza zao la
muhogo? Tsh.24,386,000

You might also like