You are on page 1of 2

COST BENEFIT ANALYSIS - GARLIC PROJECT - Mchanganuo wa Gharama na Faida kwa kilimo cha Vitunguu swaumu

S/N Shughuli Kipimo Idadi Ghrama kwa Gharama kwa Ekari 1


kipimo
1 Land hiring- Kukodisha Shamba acre 1 100,000 100,000
Vifaa vya kufanyia kazi shambani lumpsum 1 350,000 350,000
Chakula na mahitaji mengine shambani Months 12 100,000 1,200,000
2 Maandalizi ya samadi pamoja na usafiri lumpsum 1 600,000 600,000
3 Kuandaa/kulima na kuseti shamba acre 1 280,000 280,000
Gharama za mbegu na kusafirisha Kg 250 4,400 1,100,000
4 Kuandaa vitalu/ matuta acre 1 200,000 200,000
5 Kupanda - (Planting) acre 1 250,000 250,000
6 Dawa ya palizi Lt 4 30,000 120,000
7 Gharama za Mbolea Bag (50 kg) 6 90,000 540,000
10 Madawa ya wadudu, Magonjwa na mbolea za majani acre 1 570,000 570,000
11 Malipo ya Vibarua wa Kudumu Months 12 100,000 1,200,000
12 Gharama za Uvunaji acre 1 150,000 150,000

13 Jumla ya Gharama za Uzalishaji acre 6,660,000


14 Mavuno Gunia 60
15 Bei ya Kuuzi shambani (Farm gate price) TSh/gunia 250,000
16 Mapato Ghafi (Gross Income) kwa Bei ya Shambani TShs 15,000,000

17 Mapato Halisi (Faida) kwa Bei ya shambani TSh 8,340,000

18 Gharama za Usafirishaji, Malipo ya dalali, Ushuru n.k TSh/gunia 5,000.0

19 Jumla ya Gharama za Kutafuta soko (Total Cost of TSh 300,000


Marketing)
20 Bei ya sokoni TSh/gunia 300,000
21 Mapato Ghafi (Gross Income) kwa Bei ya Sokoni TSh 18,000,000
22 Mapato Halisi (Faida) kwa Bei ya Sokoni TSh 11,040,000
Summary- Muhtasari Ekari 1
1 Jumla Kuu ya Gharama zote 6,960,000

2 Mapato ghafi kwa bei ya Sokoni 18,000,000

3 Faida 11,040,000.0

Ufafanuzi:
Mapato Ghafi (Gross Income)- Haya ni mapato au mauzo kabla hujatoa gharama za uzalishaji
Mapato Halisi Net Income)- Haya ni mapato au Faida inayopatikana baada ya kutoa gharama

You might also like