1. Kabati la chips (aluminium) 200,000 2. Jiko la kukaanga chips 1 (la duara) 65,000 3. Jiko la kuchomea mishkaki na kuchanganyia mayai 1 30,000 (la mstatili) 4. Wavu wa kuchomea mishikaki na ndizi 5,000 5. Karai kubwa 1 25,000 6. Meza 2 (kubwa 65,000 na ndogo 35,000) 100,000 7. Viti 4 @16,000 8. Benchi 1 20,000 9. Koleo la kuchotea chips 1 (kijiko kikubwa) 5,000 10. Flying pan ya chips 2@20,000 40,000
11. Sahani 10 20,000
12. Beseni 5,000
13. Vijiko na uma 10,000
14. Visu 2 5,000
15. Ndoo 2 15,000
Gharama za uendeshaji siku ya kuanza (startup capital)
16. Kodi/ pango (miezi 6 itapendeza)@20,000 120,000 17. Mshahara wa msaidizi siku 3 @ 5000 15,000
18. Viazi ndoo (atleast 2) 40,000
19. Mafuta (atleast lt 5) 20,000
20. Nyama ya mishikaki (atleast kg 1) 8,000
21. Mkaa gunia moja 45,000
22. Mayai trei 2 18,000
23. Tomato na chill sorce 5,000
24. Chumvi, pilipili, nyanya na viungo vyote kwa ajili ya 10,000