You are on page 1of 2

Uwezeshaji & Uhamasishaji wa wakulima wadogo wa mboga mboga Tanzania

«Anzia Sokoni Malizia Shambani Kwa Kipato Zaidi»

Muda: Mradi wa Kuimarisha Mipango ya Maendeleo ya


5 years
(Jan. 2019 – Dec. 2023) Kilimo ya Wilaya na Uwezo wa Utekelezaji kwa
Maeneo makuu kutumia mbinu ya SHEP (TANSHEP)
lengwa:
Site I: Halmashauri 12 kwenye
mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,
na Tanga
Wanufaika:
~Makadilio. Kaya 4,000
Watekelezaji:
Wizara ya Kilimo na TAMISEMI*
Watendaji Kazi ni Kikosi kazi
cha DADP**
Dhumuni:
Kufanya DADPs zifanye kazi ili
kufanikisha mapato makubwa
kwa wakulima wa mbogamboga (Picha: Kikundi cha Wakulima Lushoto, Tanga kikifanya Utafiti wa soko)
kupitia mbinu za SHEP.
Serikali ya Tanzania na Washirika wa Maendeleo (DPs) wamekuwa wakitekeleza
Mawasiliano:
Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo (ASDP) tangu mwaka 2003/04. Katika
JICA TANSHEP
Killimanjaro , Ofisi ya Mkuu wa
ASDP, kila Mamlaka ya Serikali za Mitaa (LGA) inaunda na kutekeleza Mpango wa
Mkoa Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADP), kuendana eneo.
Moshi, Kilimanjaro
Ms. Stella Andrea Mradi unakusudia kuimarisha uwezo wa Halmashauri kwa kuunda na kutekeleza
Mpango wa Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADP) kwa kuanzisha mbinu ya SHEP.
0752-224-763, Barua pepe
Hivi sasa, wakulima wengi wa mazao ya mbogamboga wanalima bila kujua mahitaji
ya soko. Mara nyingi husababisha kuuza mazao kwa bei ya chini au hata mazao
mengi Kutouzika. Kupitia SHEP, vikundi vya wakulima vitabadilishwa kufuata "Kilimo
* Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali
kinacholenga Soko" na kuonyeshwa fursa nyingi (k.m. kutambulishwa kwa wanunuzi,
za Mitaa wasambazaji, taasisi za kifedha n.k. tofautitofauti) kwa kuboresha mpango wa
uzalishaji ili kupata faida kubwa.
**Inausisha Idara ya sera na Mipango (DPP),
Idara ya Uratibu wa Sekta (DSC), Idara ya
Maendeleo ya Mazao (DCD), Tume ya
Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC),
1. Utafiti wa
Horti. Tengeru, na Tanzania Horticulture
Soko
Association (TAHA) 2. 0. Utafiti wa
Kuunganishwa awali,
na Wadau Kumbukumbu
za Mapato ya
“Kulima na Kuuza” Shambani
SHEP huanza na "Utafiti wa
Soko" hufanywa na wakulima. Kuwa “Kulima kwa ajali ya
Baada ya kugundua mahitaji
ya soko, wakulima watakuwa Kuuza”
wako kimkakati kupanga
mpango wao wa uzalishaji ili
kuongeza faida. Hii ni pamoja 3. Mpango Kazi 5. Tathmini
na kuchagua mazao / aina, 4. Mafunzo
ubora wa mazao / muda wa Shambani
kuvuna nk.
SHEP ilitokana na mradi wa JICA nchini Kenya na imetekelezwa katika nchi zaidi ya 20.
«Anzia Sokoni Malizia Shambani Kwa Kipato Zaidi»
Hatua Shughuli
Utafiti wa Awali Wawezeshaji wa Wilaya (DFT) kwa kila Halmashauri wanawafundisha Vikundi vya
0 Kumbukumbu za mapata wakulima & Maafisa Ugani kufanya utafiti wa awali
ya Shambani
Utafiti wa Soko Wawezeshaji wa Wilaya wanawasaidia vikundi vya wakulima kuandaa mpango
1 (Inajumuisha. Kuchagua wa utafiti wa soko , Vikundi vya Wakulima & Maafisa Ugani watafanya utafiti wa
Mazao) Soko, Vikundi vya wakulima watachagua zao la kuzalisha.
Vikundi vya Wakulima wataandaa maelezo mafupi ili kujitangaza wenyewe,
Kuuganishwa na Wadau
2 watakutana na wadau (k.m kampuni za usambazaji, mabenki n.k.) kujadili njia za
(Mtandao)
kushirikiana.
Vikundi vya Wakulima watafanya uchambuzi wa faida (uchambuzi wa gharama /
3 Mpango Kazi faida), watatengeneza mpango wa uzalishaji (kalenda ya mazao) pamoja na
programu za mafunzo,
Vikundi vya Wakulima vitabainisha mahitaji ya kiufundi juu ya kilimo ambacho
4 Mafunzo shambani
maafisa ugani na wawezeshaji wa wilaya huandaa kwa ajili ya mafunzo shambani
Tathmini Vikundi vya wakulima watatengeneza upya rekodi ya mapato ya shambani,
5 Kumbukumbu za mapato kufanya tathmini ya uzalishaji wa majaribio ili kuendana na msimu ujao
ya shambani
Hafla ya Kuunganishwa na Wadau
✔ Hafla ya kuungishwa na Wadau (lnaweza kuwa
Oct hadi Nov) inalenga
1. Kuonyesha fulsa za biashara
2. Kuanzisha uhusiano wa Kibiashara

Kikundi cha wakulima Wanunuzi ✔


Stakeholders includes,:
SHEP Handbook for Extension Staff (Picha : Ethiopia)
 Wasambazaji wa pembejeo za kilimo
 Wanunuzi
Ratiba  Wauzaji mazao nje ya nchi / wasafirishaji
7 Warsha ya Utambulisho  Taasisi za fedha
(kwa 2019)  NGO/Wadau wa maendeleo
Utafiti wa Awali
8
(Kumbukumbu za mapato ya shambani)
2020 (Batch 2)
2019 (Bechi 1)

Utafiti wa Soko
9
10 Uchaguzi wa zao/ Kuunganishwa na wadau
11 Mpango kazi (Hafla ya uunganishwaji)
12
1
Mafunzo shambani na vitendo
2
(k.m. Shamba la mfano, jinsia / Mafunzo ya Lishe, Masoko)
2020 (Bechi 1)
2021 (Bechi 2)

3
4
5
Tathmini ya Mwisho
6 Kumbukumbu za mapato ya shambani
Mradi unatekelezwa kupitia ushirikiano wa ufundi kutoka Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA)

You might also like