You are on page 1of 26

TAARIFA YA

UTEKELEZAJI WA NSC -
MISUNGWI DC
KUANZIA OCTOBER 2020 HADI DECEMBER
2021
UTANGULIZI
• Halmashauri ya wilaya ya Misungwi imeundwa na kata 27, vijiji 114.
• Katika kata zote kampeni ya usafi wa mazingira (NSC) inatekelezwa na
halmashauri ya wilaya ya Misungwi.
• Pia katika kata 12 kati ya 27 kuna mradi wa FINISH MONDIAL, ambapo
wadau hawa wanashirikiana na halmashauri ya wilaya ya Misungwi
katika kampeni ya usafi wa mazingira
• Pia kuna mradi wa SRWSS unaotekelezwa ndani ya wilaya yetu tangu
mwaka 2019/2020.
HALI YA USAFI WA MAZINGIRA
KUANZIA OCTOBA 2020 HADI
DESEMBA
OCT –DEC 2020
2021
JAN-MARCH 2021 APR-JUNE 2021 JULY-SEPT 2021 OCT-DEC 2021

JUMLA YA KAYA 56362 52062 56222 56521 60191


ZILIZOINGIZWA
KWENYE MFUMO

KAYA ZENYE VYOO 95.9% 96.8% 99.2% 99.3% 99.3%


(AINA ZOTE)

KAYA ZENYE VYOO 56.4% 78% 78.8% 82.3% 83.1%


BORA
KAYA ZENYE VYOO 16.8% 19.6% 20.8% 23.58% 28.5%
VYA KUDUMU (C,D)

KAYA ZENYE VIFAA 44.73% 63.75 65.47% 74.12% 73%


VYA KUNAWIA
MIKONO

KAYA ZISIZO NA 4.11% 3.18% 0.8% 0.65% 0.68%


VYOO
HALI YA USAFI WA MAZINGIRA
KATIKA KATA ZA MRADI
HALI YA USAFI WA MAZINGIRA
KATIKA KATA ZA MRADI
TAARIFA KWA KILA KATA
ONGEZEKO LA VYOO KUANZIA DEC
2020-2021
VIJIJI AMBAVYO VINATARAJIWA
KUWA ODF BY MARCH, 2022
1. MISASI VIJIJI KATIKA ENEO LA MRADI
2. MISUNGWI 1. MISASI
3. MASAWE2. MISUNGWI
4. USAGARA 3. MASAWE
5. NYANGHOMANGO 4. BUGOMBA
6. NTENDE 5. MWASUBI
7. BUGOMBA 6. IBONGOYA A
8. MWASUBI
9. IBONGOYA A
10. NYAMULE
VIJIJI VYENYE MWAMKO WA UJENZI
WA VYOO BORA KATIKA KATA ZA
MRADI
1. MBELA
2. OLD MISUNGWI
3. BUHUNDA
4. MWASAGERA
5. NYANGHOLONGO
6. NGOMBE
7. KIJIMA
8. IKOMA
CHANGAMOTO KATIKA
UTEKELEZAJI WA NSC
• Kuwa na vyoo vingi visivyokidhi vigezo vya kiafya (safely managed toilet) mf: robo ya July – Sept,
2021 kati ya vyoo 56521 vyoo 42826 (75.8%) ambapo vinaharibika/kubomoka ndani ya muda
mfupi na kusababisha uenezaji wa magonjwa.
• Kutokuwa na takwimu sahihi na za uhakika kutoka katika vitongoji kutokana na mabadiliko ya
mara kwa mara ya wahudumu
• Kutokuwa na usafiri/mafuta wakati wote kwa ajili ya usimamizi shirikishi na uhamasishaji
endelevu kutoka ngazi ya halmashauri.
• Kutokuwa na wasimamizi wa moja kwa moja katika maswala ya usafi wa mazingira katika
baadhi ya maeneo yasiyo na maafisa afya. Mf: Nhundulu.
• Baadhi ya taasisi ikiwemo majengo ya serikali kutokuwa na vyoo.
• Baadhi ya maeneo yenye mikusanyiko kutokuwa na vyoo. Mf; maegesho ya bodaboda, mialoni.
• Kutokuwa na bajet ya kutosha katika utekelezaji wa kampeni ya usafi wa mazingira.
NAMNA TULIVYOKABILIANA NA
CHANGAMOTO
• Kuendelea kuwahamasisha wananchi juu ya umhimu wa ujenzi wa vyoo bora vinavyokidhi
vigezo vya kiafya kwani vyoo hivi hudumu pia kwa muda mrefu
• Tumekuwa tukiomba usaidizi kwa wadau ie FINISH MONDIAL juu ya usafiri/mafuta, na kwa
sehemu wamekuwa wakitusaidia japo haijaweza kukidhi mahitaji ya halmashauri yetu.
• Mahali pasipokuwa na wasimamizi wa afya, tumekuwa tukishirikiana na watendaji wa
maeneo husika japo bado haitoshelezi
• Tunawasisitiza WEOS,VEOS, HOS, na wadau wengine kuona umuhimu wa kusimamia swala
hili la usafi wa mazingira kwani kupitia kampeni hii wananchi watakuwa salama mbali na
maambukizi lakini pia halmashauri yetu itapata fedha kwa ajili ya kuboresha miundombinu
ya afya kwani mradi huu ni wa miaka minne tu.
• Tumejipanga kuwa na mafunzo ya CHWS angalau mara moja kwa mwaka
• Kuwaomba wadau wa NSC kujitolea pale inapobidi
OMBI
• Tunaomba wadau wetu kutuwezesha katika kuwafundisha wahudumu
(refresher training for project wards), katika ukusanyaji, utunzaji na
ujazaji wa takwimu sahihi katika fomu ya taarifa (A1). Kwani kuna
wahudumu wengi wapya wameongezeka.
• Tunaomba wadau wa NSC kupitia mradi wa FINIS MONDIAL kutoa
usaidizi mahali tutakapowahitaji kama ambavyo imekuwa ikifanyika
mara zote.
HITIMISHO
• Tunawashukru wadau wote wa usafi wa mazingira kwa namna zote
walizoshiriki hata kufikia hapa tulipo
• Tunawashukru wadau wetu wa FINISH MONDIAL kwa kuendelea
kushirikiana nasi katika kutokomeza uchafuzi wa mazingira kwa
kuhamasisha ujenzi wa vyoo bora.
• Kipekee tunashukru wadau kwa kutuwezesha usafiri katika jukumu la
ukaguzi ngazi ya kaya mwezi January, 2022.
• Tunaomba kila mmoja wetu awe sehemu ya kampeni hii ili tuweze
kufikia malengo yetu ya kila kaya kuwa na choo bora.
• ASANTE

You might also like