You are on page 1of 1

TAARIFA YA UTEKELEZAJI MAAGIZO YA MKOA

MAFANIKIO

1. Kufanya ukaguzi ngazi ya kaya kupita katika baazi ya kata na vijiji kwa
kaya ili kubaini kaya zisizo kuwa na vyoo bora

2. Kuchukua hatua za kisheria kwa baadhi ya wamiliki wa kaya zisizokuwa


na vyoo bora na zisizokuwa na vyoo kabisa

3. Ikiwa ni pamoja na kuwaandikia barua za utekelezaji wa zoezi hili kwa


watendaji wa kata na vijiji

4. Tumefanikiwa kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya 54 kwa


kushirikiana na wadau wa afya juu ya namna ya kutambua sifa za vyoo
bora kukusanya takwimu kwa kutumia rejesta na kuzituma wilayani
kwa kila robo

5. Halmashauri tumefanikiwa kufanya sensa kwa kaya zote ili kubaini kaya
zenye vyoo bora,vyoo visivyo na ubora na wale wsio na vyoo kabisa

6. Halmashauri tumefanikiwa kupitia upya takwimu zilizopo kwnye mfumo


wa NSMIS na kuzirekebisha ili ziendane na uhalisia

7. Kutoa elimu ya umhimu wa ujenzi na matumizi ya vyoo bora katika kaya


zetu kupitia vikao vya WARD C pamoja na mikutano ya vijiji
8. Tumefanikiwa kupanga ratiba na kufanya ukaguzi katika vijiji ngazi
ya kaya kuibua kaya zisizo na vyoo

9. CHANGAMOTO

-kuwepo kwa baadhi ya kaya vyoo vyao kuangushwa na mvua


-
10. MIKAKATI

You might also like