You are on page 1of 5

"""""""""""""" TANGANYIKA POLYTECHNIC COLLEGE

Njiro Ghorofa mbili, Sombetini na Ngaramtoni Texas


P. O. Box 6220 Arusha -Tanzania
Tel. No: 0744 690 652 0737 008 000
Email: principal@tancollege.ac.tz Website: www.tancollege.ac.tz.
Reg No. VET/ARS/PR/2018/C/113

Fomu No______.

MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UDEREVA

1. MAELEZO:
Risiti"No:"""" " " " " ________________________________"
Tarehe"ya"kuomba:"""""""" " " ________________________________"
Tarehe"ya"kurudisha:""" " " ________________________________"
Tarehe"ya"malipo" " " " ________________________________"
Ada"ya"fomu:Tshs."3,000/=""" " ________________________________"
"
2. TAARIFA BINAFSI
Jina"kamili"la"mwombaji" " " ________________________________"
Aina"ya"kitambulisho" " " ________________________________"
Namba"za"kitambulisho" " " ________________________________"
Anwani"ya"makazi" " " " ________________________________"
Namba"ya"Simu" " " " ________________________________"
Jinsia" " " " " " ________________________________"
"
3. MDHAMINI WA MWANAFUNZI
Jina"la"mdhamini" """"""_____________________________________________"
Uhusiano" " """"""_____________________________________________"
Kazi"yake" " """"""_____________________________________________"
Namba"ya"simu" """"""_____________________________________________"
"
"""""Nathibitisha kuwa taarifa nilizoandika hapo juu ni sahihi na za kweli na nipo
tayari kusoma mafunzo ya Udereva.
………………………… ……………………..
Sahihi ya mwombaji Tarehe"""""""""""""""""""""""""""""""""""""
" "

Safety is our priority!"


"
1"|"P a g e "
Learn by Doing
4. MUDA WA MAFUNZO - WEKA TIKI (!)
• Wiki"mbili"(2)"kwa"wanaojua"kidogo" "
• Wiiki"nne"(4)"wasiojua"kabisa" "

• Muda"maalumu"""" "

5. AINA YA MAFUNZO "


• Nadharia""""""""""" "
• Vitendo"""""""""""" "
• Nadharia""na"Vitendo"""""""""" "
"
"
6. AINA YA MAGARI YA KUJIFUNZIA
" NISSAN%SUNY;%COROLA,%CALDINA;%MISTUBISHI%PAJERO%

Safety is our priority!"


"
2"|"P a g e "
Learn by Doing
7. TAARIFA MUHIMU KWA MWOMBAJI
a)" Mafunzo yataanza tarehe…………………………………………………………………………"
b)" Fomu hii irudishwe ikiwaimejazwa kabla ya tarehe ya kuanza mafunzo.
c)" Ada ya mafunzo haitarudishwa isipokuwa kwa sababu maalumu na uamuzi
wa Mkuu wa Chuo ni wa mwisho."
d)" Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nidhamu ya hali ya juu na
kuwaheshimu wakufunzi.
e)" Unywaji wa pombe,uvutaji wa sigara na utumiaji wa madawa ya kulevya
haviruhusiwi."
f)" Kilasiku mwanafunzi anapokuwa chuoni anatakiwa awe amebeba leseni
yake ya Learner vinginevyo hataruhusiwa kuendesha gari."
g)" Ikiwa umevaa viatu vya wazi hakikisha vinamkanda wa kufunga kwenye
kisigino nyuma (sandozi zenye mkanda nyuma).
h)" Mafunzo yatasitishwa kwa wale watakao vunja kanuni na taratibu za chuo.
Pia usipohudhuria masomo kwa kipindi cha zaidi ya siku 14(wiki mbili)
baada ya kujiunga na chuo bila idhini ya maandishi utaondolewa kwenye
orodha ya wanafunzi wa Chuo na itakubidi ujiandikishe upya na kulipia ada
upya. Sheria hii ni kwa wanafunzi wote.
i)" Wanafunzi wote baada ya kuhitimu watapelekwa kujaribiwa Polisi na
magari ya Chuo ili kupatiwa Leseni na TRA mara baada ya kufuzu mtihani.
"
Mimi________________________Nakubaliana na taarifa zilizoandikwa hapo juu."
" """""""""___________________" " __________________"
Sahihi ya mwombaji" " " " " Tarehe
""""
"
" "

Safety is our priority!"


"
3"|"P a g e "
Learn by Doing
8. MAELEKEZO MUHIMU KWA MWOMBAJI
1." Kumbuka kulipa ada yote benki kama tulivyoonyesha hapo chini na
hakikisha risiti yako mapokezi mara baada ya kuwasilisha fedha au risiti(slip) ya
benki.
2." Malipo ya ada na namba za akaunti:

4081 0089 116


"
3." Mwanafunzi tunashauri ulipe ada yako yote. Pia hakikisha ndani ya wiki ya
kwanza uwe umelipa ada yote benki ili kusiwepo usumbufu usiokuwa wa
lazima wakati wa mafunzo.
4." Vipindi na muda wa mafunzo.
Kuna vipindi vinne kwa siku vinavyoanza: Saa 2:00 asubuhi, 4:00 asubuhi,
5:00 asubuhi na 7:00 mchana. Mwanafunzi anatakiwa kufika nusu saa kabla
ya kipindikuanza .Muda wa mafunzo ni dakika 45 nadharia darasani(kwa
siku)na dakika zisizozidi 30 kwa vitendo barabarani.
5. Mwanafunzi zingatia kwamba cheti utakachopewa baada ya kuhitimu
mafunzo ni lazima kiwe na sahihi mbili (Mkuu wa chuo na Mkufunzi
mkuu).Vinginevyo cheti utakachopewa kisichokuwa na sahihi husika
kitakuwa ni batili.
6. Inashauriwa kwamba kila mwanafunzi ndani ya wiki moja mpaka mbili
baada ya kumaliza mafunzo achukue cheti chake.
7. Kama hutapendezwa na huduma zetu au una malalamiko ya aina yoyote juu
ya huduma zetu tafadhali tumia sanduku la maoni. Hii ni muhimu sana
kwetu na kwako ili kuboresha huduma zetu zaidi. Kwa malalamiko au
taarifa nyinginezo piga simu namba:"0744 690 652 au 0737 008 000.
" "

Safety is our priority!"


"

4"|"P a g e "
Learn by Doing
9. TAARIFA ZA ADA
a) Wiki nne(4)- (Wale wasiojua kuendesha gari kabisa)
Ada ya mafunzo - Tshs 200,000/=
Ada ya fomu - Tshs 3,000 /=
Jumla - Tshs 203,000/=
b) Wiki mbili (2) - (Wale wanaojua kuendesha gari kidogo)
Ada ya mafunzo - Tshs 150,000/=
Ada ya fomu - Tshs 3,000/=
Jumla - Tshs 153,000/=

c) Special/Personal Arrengements (mahitaji maalumu):


Kwa mwezi - Tshs 500,000/=
Wiki mbili - Tshs 400,000/=
10 ADA NYINGINEZO (HAZILIPWI CHUONI)
" Learner licence inalipiwa (TRA) - Tshs 10,000/=
" Test fee inalipiwa (TRA) - Tshs 3,000/=
" Driving Licence inalipiwa(TRA) - Tshs 70,000/=
" Cheti cha macho (Hosp.ya serikali) - Tshs 5,000/=
Jumla. - Tshs 88,000/=

N.B%%%%Wanafunzi wote baada ya kuhitimu watapelekwa


kujaribiwa na Polisi wa Usalama Barabarani na
magari yetu ili kufuzu kupata leseni toka TRA.%
"
"

Safety is our priority!"


"
5"|"P a g e "
Learn by Doing

You might also like