Professional Documents
Culture Documents
Tafadhali jaza fomu hii kwa herufi kubwa kisha irudishe chuoni au tuma kwa barua pepe
afatanzania2023@gmail.com Mwombaji anapaswa kulipia fomu hii kwa shilingi 10,000/= tu
Chuoni au kupitia benki ya CRDB, jina la akaunti ANNA COLLECTIONS, namba ya
akaunti ni 015C652125400. Mwombaji anatakiwa kuambatanisha kivuli cha cheti cha
kumaliza elimu ya msingi au sekondari. Mwombaji ambaye atashindwa kuambatanisha
vielelezo tajwa maombi yake hayatafanyiwa kazi.
Ndugu wa Karibu
Majina yake yote Simu Anuani ya posta
3. SIFA ZA MUOMBAJI
Tarehe 26/02/2024
MUHIMU
Baada ya kulipa benki utatakiwa kuwasilisha risiti ya malipo chuoni Kwa uthibitisho
huo na utapewa stakabadhi ya chuo.
Malipo yote yafanyike kupitia benki ya CRDB, jina la akaunti ANNA COLLECTIONS,
namba ya akaunti 015C652125400. Malipo yafanyike kwa awamu mbili tu (awamu ya
kwanza shilingi 620,000/= na awamu ya pili shilingi 420,000) kwa Beginner na advanced
class.
Bridal master class (awamu ya kwanza 620,000/= na awamu ya pili shilingi 520,000/=)
6. MAHITAJI YA WANAFUNZI
a) Vifaa vifuatavyo vinapatikana chuo kwa Gharama ya Tsh 50,000 tu.
i. Chaki za ushonaji
ii. Karatasi ngumu (sewing pattern paper)
iii. Pini (sewing pins)
iv. Kipima nguo (tape measure)
v. Uzi (sewing thread)
vi. Mkasi (Tailor scissor)
vii. Daftari la kuchorea ( Drawing sketch book)
7. MALAZI
Chuo kina hosteli kwa wanafunzi wa kozi zote wanaotoka mbali. Gharama za malazi
kwa kila mwanafunzi ni shilingi 450,000/= kwa miezi 3. Mwanafunzi anapaswa kulipa
kiasi chote cha ada ya hosteli kulingana na muda atakaokaa hosteli (Mfano: kozi ni
miezi mi tatu sh. 150,000 x 3 = shilingi 450,000/-).
Chumba kimoja wanakaa Wanafunzi 4.
Wanafunzi wa hosteli watapata MALAZI, UMEME, MAJI (chakula unajitegemea).
Malipo yote ya hostel yafanyike moja kwa moja kupitia benki ya CRDB.
Jina ……………………………………………sahihi………….……….
Tarehe………………….
Jina ……………………………..………cheo……………….
Sahihi…………….….. Tarehe………………..