You are on page 1of 3

CHUO KIKUU CHA SAGESSE

BEWA LA KAMENGE
SHAHADA YA AWALI, MWAKA WA KWANZA (BAC 1)
MWAKA WA SHULE : 2023-2024
KOZI YA KISWAHILI I : MAZOEZI MWONGOZO
KUNDI A
I. Andikeni kwa tarakimu na maneno : alama 6
1.Mfano wa nambari witiri /alama 2
 …………………………………………………………………………………
2.Mfano wa akisami alama 2
 …………………………………………………………………………………..
3. Mfano wa asilimia /alama 2
 …………………………………………………………………………………..
II. Elezeni istilahi za afya zifuatayo katika lugha ya Kiswahili. / Alama 14
1. Riba :……………………………………………………………………………
2. Mhazini :……………………………………………………………………………………
3. Mjasiriamali :…………………………………………………………………………
4. Akaunti ya hundi :……………………………………………………………………
5. Akaunti ya akiba :……………………………………………………………
6. Akaunti ya amana: ………………………………………………………………………
7. Forodha:…………………………………………………………………………………
8.UVIKO-19 :………………………………………………………………………………..
9.UKIMWI :…………………………………………………………………………………
III. Elezeni majukumu (kazi) ya mtu aliyesoma Kitivo cha Uchumi (au Fedha na Uhasibu).
KUNDI B
I.Badilisheni sentensi zifuatazo katika kauli tajwa kwenye mabano. / Alama 5
1.Ugonjwa wa UVIKO-19(kutibu,wakati uliyopita sana, Ukubali,kauli ya kutendeka )
 ………………………………………………………………………………………………
2.Mzazi (kitenzi kushiba, wakati mtimilifu, Ukanushi, kauli ya kundesha) watoto.
 …………………………………………………………………………………..
3.Wizara ya Afya (kujenga,wakati uliopo,ukubali,kauli ya kutendea) hospitali ya rufaa kila mkoa.
 ………………………………………………………………………………………………
4.Dawa za saratani (kunywa, ukubali, kauli ya kutendwa) na wagojwa kesho.
 ………………………………………………………………………………………………
5.Ng’ombe (kuleta,wakati mtimilifu, hali yakinishi, kauli ya kutendewa) vyakula.

II. Rekebisheni dosari zipatikanazo katika sentensi. / Alama 5


a.Baba ako ku soko kutafuta mahali ya kulipa ili Juma amwoe Zainab mwakani.
b. Surua ni marazi anayosababisha kuumwa kiungo cha mwili.
Ch.Ngombe banaishi ku nyumba tofauti na mbweha inayoishi polini na batoto bake.
d. Machupa tano za dawa zimepelekwa kwenye duka la dawa leo asubuhi.
e.Mataa ya gari yake nyeupe hayawaki na hayazimi.
III. Tajeni vitu vitano (5) kuonesha umuhimu wa kusoma Kiswahili

I.Toeni mifano ya maneno yenye herufi : /10


1.th (maneno 2)
2.gh (maneno 3)
II. Sahihisheni makosa /10
a.Juma na baba wake bamesafiri Kigoma kununua ndizi zingi.
b. Surua ni marazi anayosababishwa kuumwa kiungo cha mwili.
Ch.Wanyama kama ngombe banaishi ku nyumba tofauti na mbweha inayoishi polini na batoto bake.
III. Andika kwa maneno / Alama 5
a. 1/3 :…………………………………………………………………………………….
b. 1/5 :…………………………………………………………………………………..
ch. 1/8 :…………………………………………………………………………………………
d. 1/10……………………………………………………………………………………………
e 3,453,987,246,137:………………………
f. ¾……………………………………….
g. 15/6……………………………
h. 9/7………………………………….
IV. Eleezeni umuhimu wa kusoma kitivo cha Fedha na Uhasibu

KUNDI D

I.Kanusha au kubali sentensi zifuatazo : /5


1. Kule mbinguni kwa Baba kuna raha pamoja na uzima milele.
2. Mle benkini mmekusanyika washitiri wenye mitaji mikubwa.
3. Mhazigi akiagiza dawa mapema, mgonjwa atapona wiki hii.
4. Wakala asigelikopa fedha kwenye benki, asingelipata mtaji.
5.Mhasibu alitoa fedha kwenye akaunti ya hundi akaipeleka akaunti ya akiba.
II. Sahihisheni makosa katika sentensi zifuatazo /5
1. Mjasiriamali ako anafafanya biashara ya kuuza gari nyingi nyeupe.
2. Machupa makubwa yalipasuka kesho.
3. Nyimbo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki imeandikwa katika lugha ya Kiswahili.
4. Wanachuo wa Kitivo ya Uchumi, Fedha na Uhasibu pamoja na wa Afya wamesoma masaa matano
leo.
5. Ngombe inalala kwenye zizi kubwa kuliko kuishi kwenye gorofa kama watu.
III.Tajeni sababu tano za kusoma kitivo cha kitivo cha Uchumi

KUNDI F

I. Jibu salamu zifuatazo: / Alama 5

1.Umeshindaje? Jibu:
…………………………………………………………………………………………………

2.Wanachama wenzetu, hamjambo? Jibu: ……………………………………………………..

3. U hali gani? Jibu: ……………………………………………………………………………

4. Shikamoo daktari. Jibu: ……………………………………………………………………...

5. Pole kwa kifo. Jibu: ………………………………………………………………………….

II.Nyambua vitenzi vifutavyo kwa wakati uliotajwa kwenye mabano /Alama 5

1.Ng’ombe (kula, wakati uliopita kidogo, hali yakinishi) majani leo hii.

2. Muuguzi (tibu, wakati uliopita sana, hali ya ukubali) vyema mgonjwa wa kipindupindu.

3. Nesi (kupima, wakati ujao, hali ya ukanushi) mtoto kesho kutwa.


4. Daktari wa macho (kulaza, wakati uliopo, hali ya yakinishi) mama mjamzito hospitalini.

5. Maabara, famasi, taasisi za uuguzi na maradhi ya macho (kuwa, wakati wa sasa, hali ya ukubali)
taasisi za Chuo Kikuu cha Panafricaine les Mages.

III. Jaza pengo katika methali zifuatazo / Alama 3

1………………………………..………………………........……………, utengano ni udhaifu.

2. Mke ni nguo, …………………………………………………………………………………

3. Kidole kimoja …………………………………………………………………………….......

4. ………………………………………………………………………….., sharti ainame.

IV. Toa visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari chini /alama 2

1. Mtoto mrembo ametulia.

2. Msichana mrembo amependeza.

3. Mshitiri

IV. IV. Nini umuhimu wa ujasiriamali ?

You might also like