You are on page 1of 12

EPREUVES TYPES DE KISWAHILI 9eme ANNEE FONDAMENTALE

EXERCICE 2022

Ecole:

Nom et Prénom:
Classe :

KISWAHILI
EPREUVE-TYPE 1

MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA

MWAKA WA 2022/ 10 pts
I. CHAGUA JIBU SAHIHI KWA KUTIA MSTARI CHINI /2,5PTS

Kwa mfano :Wafanyabiashara wanaomba mkopo kwenye …

a. benki b. soko c. duka

1° Kuna faida nyingi za kuishi katika …/0,5pts
a. mashirika b. pori c. vijiji vya kisasa
2° Nahimana anahitaji … nguo sokoni /0,5 pts
a. kununua b. kufua c. kuvaa
3° Kanyange alifukuzwa shuleni kwa sababu alikuwa … /0,5pts
a. mgonjwa b. anachelewa c. mjamzito
4° Inatubidi tulinde mazingira pembeni ya ziwa Tanganyika ili tupate … wa kutosha. /0,5pts
a. ndege b. kuku c. samaki
5°Simu ya mkononi, kompyuta, gazetini : /0,5pts
a.vifaa vya kuandika b. vyombo vya mawasiliano c. vifaa vya shule

II. NYAMBUENI VITENZI VIFUATAVYO /2,5PTS

1° Karire …………… maziwa. (kunywa, wakati wa sasa) /0,5 pts
2° Kesho, timu ya Muzinga na timu ya Vital’o …….mpira.(kucheza, wakati ujao) /0,5 pts
3° Wazazi wake wote ……….. .(kusafiri, wakati ujao) /0,5pts
4° Mwalimu mkuu ………. nyumba nzuri. (kujenga, wakati uliopita) /0,5pts
5° Misago ……….. ng’ombe wa kisasa. (kufuga, wakati wa sasa) /0,5pts

III. BADILISHENI SENTENSI ZIFUATAZO KATIKA KAULI YA KUTENDA /5PTS

Kwa mfano : Wali umeliwa na watoto : Watoto wamekula wali.
1° Chakula kitapikwa na mtumishi………………………… /1 pt
2° Maswali yaliulizwa na wanafunzi : ………………….. /1 pt
3° Mpira unachezwa na watoto: …………………………../1 pt
4° Magonjwa yanaambukizwa na wadudu:……………./1 pt
5° Nguo zimekusanywa na Nicayenzi : …………………../1 pt

KISWAHILI
EPREUVE-TYPE 1 / GRILLE DE CORRECTION

MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA

MWAKA WA 2022 /10 pts

I. CHAGUA JIBU SAHIHI MSTARI KWA KUTIA CHINI /2,5PTS

Kwa mfano :Wafanyabiashara wanaomba mkopo kwenye …
b. benki b. soko c. duka
1° Kuna faida nyingi za kuishi katika … /0,5 pts
b. mashirika b. pori c. vijiji vya kisasa
2° Nahimana anahitaji … nguo sokoni /0,5 pts
b. kununua b. kufua c. kuvaa
3° Kanyange alifukuzwa shuleni kwa sababu alikuwa … /0,5pts
b. mgonjwa b. anachelewa c. mjamzito
4° Inatubidi tulinde mazingira pembeni ya ziwa Tanganyika ili tupate … wa kutosha. /0,5pts
b. ndege b. kuku c. samaki
5°Simu ya mkononi, kompyuta, gazeti ni : .../0,5pts
a.vifaa vya kuandika b. vyombo vya mawasiliano c. vifaa vya shule

II. NYAMBUENI VITENZI VIFUATAVYO /2,5PTS

1° Karire anakunywa maziwa. /0,5 pts
2° Kesho, timu ya Muzinga na timu ya Vital’o zitacheza mpira. /0,5 pts
3° Wazazi wake wote watasafiri. /0,5pts
4° Mwalimu mkuu alijenganyumba nzuri. /0,5pts
5° Misago anafuga ng’ombe wa kisasa. /0,5pts

III. BADILISHENI SENTENSI ZIFUATAZO KATIKA KAULI YA KUTENDA /5PTS

Kwa mfano :
Wali umeliwa na watoto : Watoto wamekula wali.

1° Mtumishi atapika chakula. /1 pt

2°Wanafunzi waliuliza maswali. /1 pt
3° Watoto wanacheza mpira. /1 pt
4° Wadudu wanaambukiza magonjwa. /1 pt
5° Nicayenzi anakusanya nguo. /1 pt

Ecole:

Nom et Prénom:
Classe :

EPREUVES-TYPE 2

KISWAHILI /10 pts

MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA

MWAKA WA 2022

I. CHAGUA JIBU SAHIHI KWA KUTIA MSTARI CHINI. /2,5 (0,5 pt par bonne réponse)

Kwa mfano :Shangazi yake na Ncuti ….wiki ijayo.

a. ataenda shuleni b. atafunga ndoa c. atasafiri Kenya

1° Ni lazima mwanamke ….. aende zahanati ili apewe ushauri. /0,5 pt

a. mnene b. mjamzito c. mkulima

2° Kazi za wanavianda zinachafua maji ya …../0,5 pt

a. nyumbani b. sokoni c. ziwa Tanganyika

3° Ni vizuri kwa wananchi kujikusanya ndani ya … ili wajiendeleze kiuchumi. /0,5 pt

a. nyumba b. kanisa c. mashirika

4° Adela alimtumia barua pepe ndugu yake anaishi Nairobi kwa kutumia …./0,5 pt
a. Kompyuta b. posta c. ndege

5° … za Muzinga na Vitalo zitacheza kesho. /0,5 pt

a. timu b. mpira c. michezo

II. Tungeni swali kwa kulenga maneno yanayopigwa mstari chini. /2,5pts (0,5 pt par
bonne réponse)
Kwa mfano:Mjomba wangu anaishi Gitega. /Mjomba wangu anaishi wapi ?
1° Mtoto anakula maharagwe. ……………………………………………………………..
2° Atamwandikia barua shangazi yake. ………………………………………………………
3° Tutaenda sokonikesho. …………………………………………………………………
4° Suzana ana watoto watatu. ……………………………………………………………….
5° Mamaanauza matunda sokoni. ……………………………………………………………
III. Nyambueni vitenzi vifuatavyo./5 (1 pt par bonne réponse)
1° Mjomba ……………………. (kuja, wakati wa sasa).
2° Wazazi wao ………………(kufa, wakati uliopita).
3° Mgonjwa…………………..maziwa (kunywa, mtimilifu).
4° Mbuzi ………………… majani ( kula, wakati wa sasa).
5° Jirani yangu ………………kesho (kuja, wakati ujao).

KISWAHILI
EPREUVE-TYPE 2 / GRILLE DE CORRECTION
SAHIHISHO

MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA

MWAKA WA 2022 /10 pts

1. CHAGUA JIBU SAHIHI KWA KUTIA MSTARI CHINI. /2,5 pts ( 0,5 pt par bonne réponse)

Kwa mfano : Shangazi yake na Ncuti ….wiki ijayo.

a.ataenda shuleni b. atafunga ndoa c. atasafiri Kenya

1° Ni lazima mwanamke ….. aende zahanati ili apewe ushauri. /0,5 pt

a.mnene b. mjamzito c. mkulima

2° Kazi za wanavianda zinachafua maji ya …../0,5 pt

a. nyumbani b. sokoni c. ziwa Tanganyika

3° Ni vizuri kwa wananchi kujikusanya ndani ya … ili wajiendeleze kiuchumi. /0,5 pt

a. Nyumba b. kanisa c. mashirika

4° Adela alimtumia barua pepe ndugu yake anaishi Nairobi kwa kutumia …./0,5 pt
a. Kompyuta b. posta c. ndege

5° … za Muzinga na Vitalo zitacheza kesho. /0,5 pt

a. timu b. mpira c. michezo
II. Tungeni swali kwa kulenga maneno yanayopigwa mstari chini. /2,5pts (0,5 par
bonne réponse)
Kwa mfano:Mjomba wangu anaishi Gitega. ……………………………
Mjomba wangu anaishi wapi ?
1° Mtoto anakula maharagwe./ Mtoto anakulanini ?
2° Atamwandikia barua shangazi yake. / Atamwandikia barua nani ?
3° Tutaenda sokonikesho. / Tutaenda sokoni lini?
4° Sindakira ana watoto watatu. / Sindakira ana watoto wangapi?
5° Mama anauza matunda sokoni./Nani anauza matunda sokoni?

III. Nyambueni vitenzi vifuatavyo./5 (1 pt par bonne réponse)

1° Mjomba anakuja.
2° Wazazi wao walikufa
3° Mgonjwaanakunywa maziwa
4° Mbuzianakula/wanakula majani
5° Jirani yangu atakuja kesho

KISWAHILI
EPREUVES-TYPE 3

MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA

MWAKA WA 2022 /10 pts

I. CHAGUA JIBU SAHIHI KWA KUTIA MSTARI CHINI /2,5 pts

Kwa mfano : … wanavaa sare nyeusi na nyeupe.
a) Wanafunzi b) Askaripolisi c) Askarijeshi

1. Butoyi ni …. katika timu ya Muzinga. /0,5

a) mwalimu b) mchezaji c) mwanafunzi
2. …… walipiga makofi mengi baada ya ushindi wa timu ya Vitalo./0,5
a) wanafunzi b) wanaume c) watazamaji
3. Ndikuriyo alipewa ……. kwa sababu alifanya makosa mengi. /0,5
a) mpira b) kadi nyekundu c) goli
4. Hongera kwa Butoyi kwa sababu aliingiza …. mengi./0,5
a) Magoli b) makofi c) maziwa
5. Suzana ni ….wa timu ya mpira wa miguu ya wasichana. /0,5
a) mwanafunzi b) mchezaji c) mfugaji

II. JAZA PENGO KWA KUANDIKA KIUNGANISHI SAHIHI KATIKA MANENO

YAFUATAYO : na, ili, kwa sababu, lakini, au /2,5 pts
Kwa mfano : Vaa nguo … viatu.
Vaa nguo na viatu.

a) Warundi wanapenda kulima mihogo … maharage. /0,5

b) Ntore alipatwa na ugonjwa wa kipindupindu ….. alikunywa maji machafu. /0,5
c) Msaidizi wa timu anakusanya wachezaji … awape ushauri./0,5
d) Ntore alifanya mazoezi ya marudio mengi … hakufaulu mitihani. /0,5
e) Utakwenda Nairobi kwa gari …kwa ndege ? /0,5

III. BADILISHENI SENTENSI ZIFUATAZO KATIKA KAULI YA KUTENDWA /5 pts

Kwa mfano : Mjomba anatuma uumb
Ujumbe u…… … mjomba.
Ujumbe unatumwa na mjomba.
a) Mama analeta chakula. Chakula ki……. … mama. /1
b) Dereva anaendesha gari. Gari li……. … dereva. / 1
c)Mwanafunzi anasoma kitabu. Kitabu ki……. … mwanafunzi./1
d) Niyonkuru anajenga nyumba. Nyumba i……. … Niyonkuru. /1
e) Uhaba wa miti unasababisha mmomonyoko wa ardhi.
Mmomonyoko wa ardhi u….. … uhaba wa miti./1

KISWAHILI

EPREUVE-TYPE 3 /GRILLE DE CORRECTION

SAHIHISHO
MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA
MWAKA WA 2022 /10 pts

I. CHAGUA JIBU SAHIHI KWA KUTIA MSTARI CHINI /2,5 pts

Kwa mfano : … wanavaa sare nyeusi na nyeupe.

b) Wanafunzi b) Askaripolisi c) Askarijeshi

1.Butoyi ni …. katika timu ya Muzinga. /0,5

a) mwalimu b) mchezaji c) mwanafunzi

2.. …… walipiga makofi mengi baada ya ushindi wa timu ya Vitalo./0,5

a) wanafunzi b) wanaume c) watazamaji

3. Ndikuriyo alipewa ……. kwa sababu alifanya makosa mengi. /0,5

a) mpira b) kadi nyekundu c) goli

4. Hongera kwa Butoyi kwa sababu aliingiza …. mengi./0,5

a) magoli b) makofi c) maziwa

5. Suzana ni ….wa timu ya mpira wa miguu ya wasichana. /0,5

a) mwanafunzi b) mchezaji c) mfugaji

II. JAZA PENGO KWA KUANDIKA KIUNGANISHI SAHIHI KATIKA MANENO YAFUATAYO :
lakini, na, ili, kwa sababu, au /2,5 pts

Kwa mfano : Vaa nguo … viatu.

Vaa nguo na viatu.
1. Warundi wanapenda kulima mihogo na maharage. /0,5

2. Ntore alipatwa na ugonjwa wa kipindupindu kwa sababu alikunywa maji

machafu. /0,5

3. Msaidizi wa timu anakusanya wachezaji iliawape ushauri./0,5

4. Ntore alifanya mazoezi ya marudio mengi lakini hakufaulu mitihani.

/0,5

5. Utakwenda Nairobi kwa gari au kwa ndege ? /0,5

III. BADILISHENI SENTENSI ZIFUATAZO KATIKA KAULI YA KUTENDWA /5 pts

Kwa mfano : Mjomba anatuma ujumbe.

Ujumbe u…… … mjomba.
Ujumbe unatumwa na mjomba.
a) Mama analeta chakula. Chakula kinaletwa na mama. /1
b) Dereva anaendesha gari. Gari linaendeshwa na dereva. / 1
c) Mwanafunzi anasoma kitabu. Kitabu kinasomwa namwanafunzi./1
d) Niyonkuru anajenga nyumba. Nyumba inajengwa na Niyonkuru. /1
e) Uhaba wa miti unasababisha mmomonyoko wa ardhi.
Mmomonyoko wa ardhi unasababishwa na uhaba wa miti./1

KISWAHILI EPREUVE TYPE 4

MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA
MWAKA WA 2022 /10 pts
I. WEKA MSALABA MBELE YA JIBU SAHIHI / 5PTS

Kwa mfano : Gatore anaishi…..

a) pamoja na Kana b) katika kijiji cha kisasa cha Maramvya

c) sehemu za Gisaka

1. Kanyange alisimamisha masomo yake kwa sababu …

a)Ntavyo alimpiga b)mama yake alimkataza c)alikuwa na

mimba
2. Ntavyo alimwarifu Kanyange ili …

a)wafanye zoezi la kiswahili b) wafue sare za shule

c)wafurahi
3. Ni lazima tulinde ziwa Tanganyika ili …

a)samaki wa kutosha b) tuwe na hewa safi

c)tupate mvua nyingi

4. Uhaba wa samaki katika ziwa Tanganyika unasababishwa na …

a)mvua nyingi b)uchafuzi wa ziwa Tanganyika

c) uhaba wa miti

5. Ntore anachelewa shuleni kila siku kwa sababu …

a)anatoka mbali b)anaumwa c)hataki kusoma

II. TUNGA SWALI KWA KULENGA MANENO YANAYOPIGWA MSTARI CHINI / 2,5 pts

Kwa mfano: Yohani alifika jana. Yohani alifika lini?

1. Anjela anapenda kula matunda ………………………………………………
2. Watoto wanaenda shuleni. ……………………………………………………
3. Shangazi atakuja kesho. …………………………………………………………
4. Mjomba ana watoto watatu. …………………………………………………
5. Gahungu anacheza na Karori. …………………………………………….
III.Weka msalaba mbele ya jibu sahihi / 2,5 pts

Kwa mfano: Mjomba (kuja) nyumbani kesho kutwa.

a) Anakuja b)Alikuja c)Atakujax

1. Jana mtoto ( kunywa) maji mengi.

a) anakunywa b) alikunywa c)atakunywa

2. Binamu yangu (kuja) nyumbani sasa hivi.

a) anakuja b)atakuja c)alikuja

3. Babu ( kufa) mwaka jana.

a) Atakufa b)Anakufa c)Alikufa

4. Ngo’mbe (kula) majani kila siku.

a) wanakula b)walikula c)wamekula

5. Juzi mganga (kutibu) wagonjwa wengi.

a) alitibu b) atatibu c) anatibu

KISWAHILI EPREUVE-TYPE 4 /GRILLE DE CORRECTION

SAHIHISHO
I. WEKA MSALABA MBELE YA JIBU SAHIHI / 5PTS

Kwa mfano : Gatore anaishi…..

a)pamoja na Kana b) katika kijiji cha kisasa cha Maramvya

c) sehemu za Gisaka

I. Kanyange alisimamisha masomo yake kwa sababu …

a)Ntavyo alimpiga b)mama yake alimkataza c)alikuwa na

mimba
2. Ntavyo alimwarifu Kanyange ili …

a)wafanye zoezi la kiswahili b) wafue sare za shule

c)wafurahi x
3. Ni lazima tulinde ziwa Tanganyika ili …

a)tupate samaki wa kutosha x b) tuwe na hewa safi

c)tupate mvua nyingi

4. Uhaba wa samaki katika ziwa Tanganyika unasababishwa na …

a)mvua nyingi b)uchafuzi wa ziwa Tanganyika x

c) uhaba wa miti
5. Ntore anachelewa shuleni kila siku kwa sababu …

a)anatoka mbali x b)anaumwa c)hataki kusoma

II. TUNGA SWALI KWA KULENGA MANENO YANAYOPIGWA MSTARI CHINI / 2,5 pts

Kwa mfano: Yohani alifika jana. Yohani alifika lini?

1. Anjela anapenda kula matunda. Anjela anapenda kula nini ?

2. Watoto wanaenda shuleni. / Watoto wanaenda wapi ?

3. Shangazi atakuja kesho./ Shangazi atakuja lini ?

4. Mjomba ana watoto watatu./ Mjomba ana watoto wangapi ?

5. Gahungu anachezana Karori./ Gahungu anacheza na nani ?

III.Weka msalaba mbele ya jibu sahihi / 2,5 pts

Kwa mfano: Mjomba (kuja) nyumbani kesho kutwa.

a) nakuja b)Alikuja c)Atakuja x

1. Jana mtoto ( kunywa) maji mengi.

a) anakunywa b) alikunywa x c)atakunywa

2. Binamu yangu (kuja) nyumbani sasa hivi.

a) anakuja x b)atakuja c)alikuja

3. Babu ( kufa) mwaka jana.

a).atakufa b) anakufa c)Alikufa x

4. Ngo’mbe (kula) majani kila siku.

a) wanakula x b)walikula c)wamekula

5. Juzi mganga (kutibu) wagonjwa wengi.

a) alitibu x b) atatibu c) anatibu

KISWAHILI

EPREUVE-TYPE N0 5

MAZOEZI YA KISWAHILI YA KUJIANDALIA MTIHANI WA DARASA LA TISA

MWAKA WA 2022 /10 pts
Badili sentensi zifuatazo katika kauli ya kutenda au ya kutendwa / 5 pts
1. Mganga anatibu wagonjwa
2. Mama amechagua nguo nyeupe.
3. Miti inakatwa na mkulima.
4. Mzazi anasamehe makosa ya watoto.
5. Chakula kinapikwa na jirani.
II. Tungeni maswali kulingana na maneno yanayopigwa mstari chini / 2,5 pts
1. Mama atafika saa sita.
2. Mtoto huyu amekunywa maji mengi.
3. Wanafunzi wamezungumza na Gaidi.
4. Msichana huyo anakimbia mbio.
5. Darasa hili lina wanafunzi kumi.
III. Nyambueni vitenzi vifuatavyo katika wakati unaofaa /2,5 pts
1. Mwalimu wetu (kununua) nguo kila mwaka.
2. Kijana huyo (kunywa) chai asubuhi.
3. Mimi (kuona) ratiba hivi sasa.
4. Mama (kuchemsha) maji ya kuoga jioni.
5. Sisi sote (kubaki) shuleni.
EPREUVE-TYPE N0 5 GRILLE DE CORRECTION / 10 pts SAHIHISHO
I.a)Magonjwa yanatibiwa na mganga. /5pts
b) Nguo nyeupe imechaguliwa na mama.
c) Mkulima anakata miti.
d) Makosa ya watoto yanasamehewa na wazazi.
e) Jirani alipika chakula.
II.1. Mama alifika lini ? /2,5pts
2. Mtoto huyo amekunywa nini ?
3. Wanafunzi wanazungumza na nani ?
4. Msichana huyo anakimbiaje ?
5. Darasa hili lina wanafunzi wangapi ?
III. 1. Hununuwa /3,5pts
2. amekunywa
3. ninaona
4. amechemsha
5. tulibaki

You might also like