You are on page 1of 5

WAKISO MUSLIM SECONDARY SCHOOL

END OF YEAR EXAMINATIONS 2023

LUGHA YA KISWAHILI

SENIOR ONE
NOVEMBER, 2023 TIME: 2 HOURS

NAME.................................................................................................................... STREAM..........................

MAAGIZO (INSTRUCTIONS)

 Karatasi hii ina sehemu tatu; A,B, na CH

 Sehemu zote ni za lazima

KUTUMIWA NA WATAHINI TU(FOR EXAMINERS USE ONLY)

SEHEMU ALAMA
SEHEMU A

SEHEMU B

SEHEMU CH

UJUMULA

1|Page
SEHEMU A UFAHAMU (ALAMA 40)

1. Soma hadithi ifuatayo na kisha jibu maswali yatakayofuata chini yake (Read the following story and
then answer questions that will follow after it).

SARAH NA FAMILIA YAKE

Sarah ni msichana mrembo tena mpole sana. Wazazi wake; mama na baba wanampenda sana kwa
sababu ya tabia zake nzuri. Sarah anasomea shule ya upili Wakiso Muslim shule kubwa zaidi kwenye
barabara ya kuelekea Hoima. Mwalimu mkuu wake ni Hajjati Aminah Nakiganda na mwalimu wake wa
kiswahili ni mwalimu Fajir Monde Mjaliwa.

Sarah alizaliwa tarehe nane, mwezi wa tano mwaka wa elfu mbili na kumi. Ana miaka kumi na tatu na
anasoma kidato cha kwanza. Anapenda sana kusoma lugha ya kiswahili kwa sababu anataka kupata kazi
nchini Tanzania baada ya masomo yake. Sarah ni mtoto wa tatu katika familia yao. Anaishi na baba,
mama, Aisha, Sophie, Ashiraf na Bashir. Baba yake anaitwa Ahmed na mama yake anaitwa Sulainah. Yeye
hupenda sana wazazi wake na ndugu zake.

Nyumbani kwao, Sarah anapenda kusaidia wazazi wake kufanya kazi za nyumbani kama vile; Kufagia ua,
kuosha vyombo, Kupiga deki nyumba, Kupika chakula na Kuchota maji. baada ya kusaidia wazazi wake,
Sarah anasoma vitabu vyake. Yeye husema kwamba baada ya masomo yake, anataka kuwa daktari ili
atibu wagonjwa.

Babake sarah bwana Ahmed ni tajiri sana. anafuga wanyama na ndege wa nyumbani. kwa Mfano;
ng’ombe, kondoo, mbwa, farasi, kuku, bata, batamzinga na njiwa. wanyama hawa humsaidia sana baba.
Kwa Mfano; mbwa humsaidia kulinda mali yake ili isiibiwe na wizi, ng’ombe wakiuzwa sokoni, baba
hupata karo yaani pesa za kulipa shuleni, hupata nauli yaani pesa za kulipa matembezi. Ng’ombe pia
humpa baba maziwa ya kunywa kama chai na mengine ya kuuza.

Maswali (questions)

a) Kwa nini wazazi wake sarah wanampenda sana? (Why Sarah’s parents like her?) (alama 02)
..........................................................................................................................................................................
b) Sarah anasomea wapi? Where does Sarah study from?) (alama 02)
..........................................................................................................................................................................
c) Mwalimu mkuu wake Sarah anaitwa nani? (Who’s the Head teacher of Sarah?) (alama 02)
..........................................................................................................................................................................
d) Kwanini Sarah anapenda kusoma lugha ya Kiswahili? (Why Sarah likes studying Kiswahili?) (alama 02)
..........................................................................................................................................................................
e) Sarah alizaliwa lini? (when was Sarah born?) (alama 02)

2|Page
..........................................................................................................................................................................
f) Sarah anaishi na nani? taja watu wane. (Whom does Sarah stay with? list four) (alama 04)
........................................ ..................................... .................................. ......................................
g) Taja wanyama wane babake Sarah anaofuga nyumbani (mention four animals sarah’s father rears) (alama 04)
..................................... .................................... .................................... .......................................
h) Andika umuhimu tano wa wanyama wa nyumbani. (write five importances of domestic animals) (alama 10)
..........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................
i) Sarah hufanya kazi gani nyumbani? Taja mbili tu. (Which activities does Sarah do at home? Mention only two). (alama 10)
..........................................................................................................................................................................
..........................................................................................................................................................................

SEHEMU B UFUPISHO (ALAMA 20)

Chakula, watu, wangu, kazi, kiswahili, shuleni, wakili, mwalimu, mimea, ng’ombe,
ndege, batamzinga, miaka, michenza, pesa, maziwa, langu, wanyama, sekondari, tibu.

2. Jaza mapengo katika habari hii kwa kutumia maneo kwenye bokisi (fill the gaps in the story by using
words in the box)

Jina ............... ni Okello. Nina.................... kumi. Tunaishi .................. wane nyumbani. Nasomea shule ya
msingi ya Kampala. Wazazi ................... wanafanya............................mbalimbali. Mama ni mwalimu
wa............................... Anafundisha....................... Baba ni daktari katika hospitali ya Mulago. Kazi yake ni
ku.............. wagonjwa. Kila asubuhi mimi naenda........................ kusoma. Ninapenda sana kusoma kwa
sababu nataka kuwa ............................ baada ya masomo yangu. Dada yangu Jane yeye anataka
kuwa................. kama mama. Nyumbani kwetu, tunafanya kilimo cha kila aina, tunafuga...................
mbalimbali na Kulima ........................ mbalimbali. Mifano ya wanyama ni mbuzi, paka, kondoo
na...................... Tunafuga na ..................... pia. Kwa mfano Bata, kuku na............................. Mimea
tunayolima ni nyingi sana. Tunalima migomba, fenesi, parachichi, karakara, mipapai na.......................
Mimea hii na wanyama vinatusaidia sana. Kwa mfano, baba hupata.......................... hasa baada ya kuuza.
Pia, tunapata....................... cha kila siku. Ng’ombe hutupa ..................... ya kunywa kama chai. Mimi
napenda sana kula ugali kwa sababu hunifanya kuwa na nguvu mwilini

3|Page
SEHEMU B MATUMIZI WA LUGHA (ALAMA 20)

3. Katika sehemu hii, jibu maswali kulingana na maagizo utakayopewa kwa kila swali (in this chapter,
answer according to the instructions provided for each question)
a) Andika Nomino hizi katika wingi (write these nouns in plural) (alama 04)

Umoja Wingi
Mwalimu
Mpira
Mtoto
Mti

b) Tumia vitenzi hivi kujenga sentensi za kiswahili (use these verbs to construct kiswahili sentences) (alama 02)

Kitenzi Sentensi
Pika
Cheza
Piga
Andika

c) Kamilisha sentensi hizi kwa kutumia jibu sahihi kutokana na Mabano ( complete the sentences by
using word in brackets) (alama 03)
i. Mti................................ ni mkubwa (zile, ule)
ii. Mwalimu ......................ni mzuri (hizi, huyu)
iii. Mji ............... una watu wengi ( huu, ile)
d) Andika saa hizi katika maneno ya kiswahili (alama 03)
i. 1:05 asb.............................................................................................................................................
ii. 10: 45 asb...........................................................................................................................................
iii. 2: 15 jioni..........................................................................................................................................
e) Andika pesa hizi katika maneno ya kiswahili (alama 02)
i. 2,000 ugx shillings............................................................................................................................
ii. 200,000ugx shillings..........................................................................................................................
f) Andika wanyama wa porini wawili unaojua (write two domestic animals that you know) (alama 02)

i. ..................................................... ii. ......................................................

g) Andika sehemu muhimu nne katika jamii (write 4 important place in the society) (alama 04)

i. ........................................................ ii. ........................................................

4|Page
iii. ....................................................... iv. .......................................................

SEHEMU A UFAHAMU (ALAMA 40)

SEHEMU A TAFSIRI (ALAMA 20)

4. Tafsiri matini ifuatayo katika lugha ya Kiswahili (translate the following text to kiswahili language)

My name is Rita. I am in P.7 class. I study at Rwashemire primary school in Mbarara district. At our home,
we rear animals like dogs, sheep, cows, goats and a cat. My mother is a teacher. She teaches Kiswahili
language at Wakiso Muslim secondary school. My father is a doctor; he likes treating patients especially
the children and pregnant mothers. At home, we live in a nuclear family of five people. I stay with my
mother, father, my sister Reachel and our young brother Derrick.

.........................................................................................................................................................................

MWISHO

LIKIZO NJEMA

5|Page

You might also like