You are on page 1of 118

FOR ONLINE USE ONLY

DO NOT DUPLICATE

Kuhesabu
Kitabu cha Mwanafunzi
Darasa la Kwanza

Taasisi ya Elimu Tanzania

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 1 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
© Taasisi ya Elimu Tanzania 2018

Toleo la Kwanza 2018


Chapa ya Pili 2021

ISBN 978 - 9976 - 61 - 710 - 8

Taasisi ya Elimu Tanzania


S.L.P 35094
Dar es Salaam, Tanzania
/
Simu: +255 735 041 170 +255 735 041 168
Baruapepe: director.general@tie.go.tz.
Tovuti: www.tie.go.tz.

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu,


kupiga chapa, kutafsiri wala kukitoa kitabu hiki kwa namna
yoyote ile bila idhini ya maandishi ya Taasisi ya Elimu Tanzania.

ii

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 2 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Yaliyomo
Utangulizi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . v
Shukurani....................................................vi

Sura ya Kwanza
Kulinganisha idadi ya vitu....................................................1

Sura ya Pili
Kuhesabu vitu na namba.......................................................3

Sura ya Tatu
Kusoma namba 1 hadi 9........................................................8

Sura ya Nne
Kuandika namba 1 hadi 9...................................................11

Sura ya Tano
Namba sifuri ......................................................................15

Sura ya Sita
Kujumlisha........................................................17

Sura ya Saba
Kutoa.....................................................................26

Sura ya Nane
Kutambua namba 10...........................................................34

Sura ya Tisa
Namba katika makumi na mamoja......................................44

iii

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 3 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Sura ya Kumi
Kusoma namba kuanzia 11 hadi 99.....................................50

Sura ya Kumi na Moja


Kuandika namba kuanzia 11 hadi 99...................................52

Sura ya Kumi na Mbili


Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 99.................54

Sura ya Kumi na Tatu


Kutoa namba isiyozidi 99.....................................................66

Sura ya Kumi na Nne


Kutambua sehemu................................................................82

Sura ya Kumi na Tano


Fedha za Tanzania...............................................................88

Sura ya Kumi na sita


Kutambua vipimo.................................................................93

Sura ya Kumi na Saba


Kutambua maumbo bapa...................................................104

Sura ya Kumi na Nane


Kukusanya na kuorodhesha vitu......................................106

Marudio...........................................................................108

iv

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 4 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Utangulizi
Katika darasa hili utajifunza kuhesabu. Hii ni pamoja na
kuhesabu vitu, kusoma na kuandika namba, kujumlisha na
kutoa namba, maumbo, kukusanya na kuorodhesha vitu.

Kitabu hiki kina kazi mbalimbali za kufanya mwenyewe pamoja


na mazoezi ya kuimarisha dhana ulizojifunza. Pia unaweza
kumshirikisha mwalimu, rafiki, mzazi au ndugu yeyote pale
unapokuwa unahitaji msaada zaidi.

Unashauriwa kusoma maelezo katika kitabu hiki na kufanya


mazoezi kadri ulivyoelekezwa katika kitabu hiki. Kwa kila kazi,
kuna mifano iliyotolewa kabla ya kila zoezi ili kukupa uelewa
juu ya dhana inayoelezewa.

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 5 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Shukurani
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini
mchango muhimu wa washiriki waliofanikisha uandishi
na maandalizi ya kitabu hiki.

TET inatoa shukurani za dhati kwa mchango uliotolewa


na wataalamu wote walioshiriki kutayarisha kitabu hiki
wakiwemo wachapaji, wasanifu, wahariri, wachoraji na
wapiga chapa. Pia, inatoa shukurani kwa shule zote
zilizoshiriki katika ujaribishaji wa maudhui na uhariri wa
kitabu hiki.

Aidha, Taasisi inatoa shukurani za pekee kwa Shirika la


“Global Partnership for Education (GPE)” kupitia Mradi
wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu
(KKK) uitwao “Literacy and Numeracy Education
Support (LANES)” kwa ufadhili wao uliofanikisha kazi
ya kutayarisha na kuchapa kitabu hiki.

Mwisho, Taasisi inatoa shukurani za pekee kwa Wizara


ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kusimamia kwa
ukaribu zoezi zima la uandishi wa kitabu hiki.

Dkt. Aneth A. Komba


Mkurugenzi Mkuu
Taasisi ya Elimu Tanzania

vi

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 6 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kwanza
Kulinganisha idadi ya vitu

Kubainisha wingi na uchache wa vitu


Mfano
Machungwa ni mengi kuliko mananasi.

Zoezi la 1
Tambua fungu lenye idadi kubwa zaidi ya vitu.

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 1 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 2

Tambua kundi lenye viumbe wachache zaidi.

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 2 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Pili
Kuhesabu vitu na namba

Kuhesabu vitu vyenye idadi isiyozidi tisa

Zoezi la 1

Tamka 1 hadi 5 na onesha kwa kutumia vidole.

moja moja

mbili mbili

tatu tatu

nne nne

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 3 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

tano tano

Zoezi la 2
Tamka 6 hadi 9 na onesha kwa vidole.

sita sita

saba saba

nane nane

tisa tisa

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 4 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 3

Hesabu vitu vilivyopo katika kila mstari.

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 5 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4

Hesabu vitu hivi, taja na tamka namba husika.

1 moja

2 mbili

3 tatu

4 nne

5 tano

6 sita

7 saba

8 nane

9 tisa

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 6 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 5
Chora mstari kuoanisha idadi ya vitu na namba.

Mfano 3

7
4

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 7 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Tatu
Kusoma namba 1 hadi 9

Kusoma namba 1 hadi 9 kwa sauti

Zoezi la 1

Soma namba hizi kwa sauti.

1 2 3 4 5
5 6 7 8 9
5 4 3 2 1
9 8 2 6 4
6 2 1 3 7
Zoezi la 2
Soma namba hizi kwa sauti.

1 2 3 4 5
6 7 8 9
8

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 8 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 3

Chora mstari kuoanisha tarakimu na namba kwa


maneno.

Mfano
mbili 6

nne 8
moja 4

tatu 5

sita 7

tisa 3
nane 2

saba 1
tano 9

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 9 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4

Soma majina haya ya namba.

tisa nane saba sita

tano nne tatu mbili

moja tano tisa nne

mbili saba nane moja

tatu sita nne tano

moja mbili tatu nne

sita saba nane tisa

10

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 10 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Sura ya Nne
Kuandika namba 1 hadi 9

Kuandika namba moja hadi tisa kwa


tarakimu Zoezi la 1
Zoezi 1
Andika namba kwa kuunganisha nukta.

1
2
3
4
5
6
7
8
9
11

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 11 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 2

Andika tarakimu zinazowakilisha maneno haya.

mbili

nne

saba

tisa

moja

tatu

sita

tano

nane

12

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 12 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 3

Andika tarakimu zinazokosekana kwa ulalo.

1 3 4

5 7 9

4 5 6

2 3 5

5 6 7 8

13

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 13 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4

Andika namba hizi kwa maneno.

3
6
1
4
7
8
5
9
2

14

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 14 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Tano
Namba sifuri

Kutambua namba sifuri


Mfano

3 2 1 0

Zoezi la 1
Soma namba hizi kwa sauti.
8 9 0 6 1
2 4 7 3 0
0 9 3 6 1
6 1 3 0 2
Zoezi la 2
Andika sifuri kwa kuunganisha nukta.

0 15

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 15 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 3

Andika idadi ya vitu vilivyowekwa kwenye


mviringo.

16

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 16 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Sita
Kujumlisha

Kuongeza vitu kupata jumla isiyozidi tisa

Mfano

ongeza jumla

Zoezi la 1

Chora jumla ya vitu hivi.

ongeza jumla

17

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 17 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

ongeza jumla

ongeza jumla

ongeza jumla

18

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 18 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kuongeza vitu na kujumlisha namba
Mfano

ongeza jumla
3 + 3 = 6

ongeza jumla
2 + 1 = 3
Zoezi la 2
Jaza jumla ya vitu kwenye visanduku.

ongeza jumla
2 + 4 =

ongeza jumla
3 + 1 =

ongeza jumla
0 + 9 =

19

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 19 7/23/21 5:04 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha namba mbili kwa ulalo kupata
jumla isiyozidi 9
Mfano 5 + 3 = 8
5 + 3 = 8
ongeza jumla

Zoezi la 3

Andika jawabu.
1 + 1 = 2 + 1 =
3 + 1 = 5 + 1 =
6 + 1 = 7 + 1 =
8 + 1 = 3 + 2 =
5 + 0 = 7 + 2 =
5 + 2 = 9 + 0 =
1 + 7 = 2 + 2 =
6 + 2 = 8 + 0 =

20

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 20 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha namba tatu kwa ulalo kupata jumla
isiyozidi 9

Mfano
Jumlisha
3+2+1=6
ongeza ongeza jumla
3 + 2 + 1 = 6

Zoezi la 4

Andika jawabu.

1 + 2 + 3 = 4 + 3 + 0 =

6+ 2 + 0 = 3 + 2 + 4 =

2+ 5 + 1 = 3 + 0 + 3 =

7+ 0 + 2 = 2 + 5 + 0 =

2+ 2 + 2 = 1 + 2 + 5 =

21

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 21 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 5

Andika jawabu.

0 + 9 + 0 = 2 +4 + 3 =

4 + 4 + 0 = 7 +1 + 1 =

2 + 3 + 2 = 3 +5 + 0 =

7 + 0 + 2 = 1 +3 + 3 =

6 + 1 + 2 = 4 +0 + 5 =

22

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 22 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujaza namba katika nafasi zilizo wazi
Mfano
8 + =9
ongeza jumla
8 + 1 = 9

Zoezi la 6 Zoezi la 7

Jaza namba katika nafasi iliyo wazi.

3 + = 7 1 + = 3
2 + = 5 0 + = 2
8 + = 8 4 + = 9
1 + = 8 5 + = 6
6 + = 9 5 + = 7
+ 6 = 7 7 + = 8
+ 2 = 5 7 + = 9
+ 0 = 7 + 4 = 6
+ 5 = 6 + 3 = 8
+ 1 = 4 + 2 = 4

23

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 23 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha namba kwa wima kupata jumla
isiyozidi 9
Mfano
Jumlisha
5
+ 2
7

Zoezi la 7

Tafuta jawabu.
1 2 7
+ 3 + 6 + 0

4 6 4
+ 4 + 1 + 2

4 9 1
+ 3 + 0 + 8

24

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 24 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

2 1 5
+ 7 + 0 + 1

2 3 8
+ 2 + 6 + 1

2 3 7
+ 5 + 5 + 2

25

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 25 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Saba
Kutoa

Kupunguza vitu kupata jumla isiyozidi 9


Mfano

punguza baki

Zoezi la 1

Chora vitu vinavyobaki.

punguza baki

punguza baki

26

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 26 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

punguza baki

punguza baki

punguza baki

27

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 27 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kupunguza vitu na kutoa namba kwa
idadi isiyozidi 9
Mfano

punguza baki

7 _ 3 = 4

Zoezi la 2

Jaza namba kwenye visanduku.


punguza baki

6 _ 4 =

punguza baki

5 _ I =

28

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 28 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

punguza baki

5 _ 2 =

punguza baki

_
5 = 2

punguza baki

88 -_ = 22

29

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 29 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kutoa namba zisizozidi 9 kwa ulalo

Zoezi la 3

Tafuta jawabu.

9 -_ 1 = 9 -_ 9 =
8 -_ 1 = 8 -_ 6 =
7 -_ 1 = 5 -_ 0 =
6 -_ 1 = 3 -_ 0 =
5 -_ 1 = 4 -_ 2 =
4 -_ 1 = 7 -_ 6 =
3 -_ 1 = 6 -_ 4 =
2 -_ 1 = 8 -_ 3 =
1 -_ 1 = 7 _- 5 =
9 -_ 5 = 8 _- 7 =
7 -_ 3 = 5 _- 2 =
9 -_ 6 = 4 _- 3 =
5 -_ 5 = 6 _- 0 =

30

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 30 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujaza namba katika visanduku

Mfano
4 _ 3 =1

Zoezi la 4

Jaza namba katika visanduku.

6 _- = 3 3 _- = 2

8 _- = 0 4 _- = 0

4 _- = 2 5 _- = 5

9 _- = 3 0 _- = 0

8 _- = 6 4 _- = 3

7 _- = 1 _- 0 = 1

2 _- = 0 _- 3 = 5

9 _- = 7 _- 2 = 4

31

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 31 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kutoa namba kwa wima

6
Mfano
_
4
2

Zoezi la 5

Tafuta jawabu.

2 7 5
_ 0 _ 1 _ 2

3 1 5
_ 0 _ 0 _ 1

5 6 7
_ 4 _ 0 _ 3

32

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 32 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

9 8 6
_ 2 _ 2 _ 5

8 6 6
_ 1 _ 6 _ 2

8 9 7
_ 7 _ 4 _ 5

33

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 33 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Nane
Kutambua namba 10

Kuhesabu vitu hadi kumi

Zoezi la 1

Soma namba hizi kwa sauti.

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
1 3 6 10 7 8 2 9 4 5
10 6 4 2 1 3 7 5 8 9
8 3 6 7 1 10 5 2 9 4
4 7 5 10 3 6 2 8 1 9

34

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 34 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 2
Tafuta namba 10 zote na kisha zizungushie duara.

1 3 4 10 7 6
3 2 8 9 6 10
10 2 1 7 5 8
6 3 4 1 10 5
8 6 10 7 3 6

Kuongeza vitu na kujumlisha namba kupata jumla 10


Mfano

ongeza jumla

5 + 5 = 10

Zoezi la 3

Hesabu na andika jumla yake.

Ongeza jumla

5 + 5 =

35

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 35 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

ongeza jumla

4 + 6 =

ongeza jumla

7 + 3 =

ongeza jumla

3 + 7 =

36

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 36 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha namba kupata jumla 10

Mfano

4 + 6 = 10

Zoezi la 4

Jaza namba sahihi kwenye kisanduku kilicho tupu.


3 + 7 = 1 + = 10
2 + 8 = 5 + = 10
6 + 4 = 3 + = 10
5 + 5 = 9 + = 10
8 + 2 = + 4 = 10
10 + 0 = + 8 = 10
7 + 3 = + 5 = 10
9 + 1 = + 6 = 10

37

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 37 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kutoa namba zisizozidi 10

Mfano
10 _ 6 = 4

Zoezi la 5

Weka jibu la kutoa namba hizi kwa ulalo.

1 0 -_ 7 = 1 0 _- 1 =

1 0 -_ 8 = 1 0 _- 0 =

1 0 -_ 9 = 1 0 _- 3 =

1 0 -_ 5 = 1 0 _- 4 =

9 -_ 4 = 7 _- 5 =

6 -_ 6 = 5 _- 4 =

38

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 38 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 6

Weka jibu la kutoa namba hizi kwa wima.

10 10 5
_ _ _
2 9 2

10 9 5
_ _ _
5 8 1

5 6 8
_ _ _
4 0 8

3 5 10
_ _ _
2 3 6

10 9 4
_ _ _
0 2 4

39

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 39 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha na kutoa namba zisizozidi 10
kwa ulalo

Zoezi la 7

Tafuta jawabu.

9 -_ 4 = 4 + 5 =
9 -_ 8 = 9 -_ 9 =
7 + 3 = 9 + 1 =
5 + 5 = 3 + 7 =
6 -_ 1 = 5 + 2 =
8 -_ 5 = 6 -_ 3 =
6 + 2 = 8 -_ 7 =
3 + 6 = 7 -_ 2 =
10 -_ 4 = 8 -_ 3 =
9 -_ 7 = 7 -_ 5 =

40

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 40 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha na kutoa namba zisizozidi 10
kwa wima

Zoezi la 8

Tafuta jawabu.

8 6 9
+ 2 _ 3 _ 8

4 3 2
+ 3 _ 3 + 7

9 6 5
_ 7 _ 6 + 5

1 0 8 10
_ 2 _ 5 _ 7

41

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 41 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

1 5 4
+ 9 _ 3 + 6

9 7 1 0
_ 5 + 2 _ 6

1 0 8 10
_ _ _
9 5 5

2 7 6
+ 8 + 3 + 4

42

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 42 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kuandika namba zinazokosekana

Mfano
Jaza namba zinazokosekana.

1 2 3 4 5
1 2 3 4 5 6 7 8

Zoezi la 9

Jaza namba zinazokosekana kwa ulalo.

1 2 3 4 6 7 6 5 4 2 1

1 2 4 5 9 8 7 6 5

1 2 3 4 5 1 2 4 5 7
2 3 4 5 6 7 1 2 3 7
10 9 8 6 5 3 4 5 6
7 6 5 7 6 5 4
3 4 6 8 5 3

43

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 43 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Tisa
Namba katika makumi na mamoja

Kusoma makumi
Zoezi la 1

Soma idadi ya makumi kuanzia 10 hadi 90.

kumi 10 kumi
moja

makumi 20 ishirini
mawili

makumi 30 thelathini
matatu

makumi 40 arobaini
manne

44

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 44 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

makumi 50 hamsini
matano

makumi 60 sitini
sita

makumi 70 sabini
saba

makumi 80 themanini
nane

45

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 45 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

makumi 90 tisini
tisa

Zoezi la 2
Soma na hesabu namba katika makumi na
mamoja.

makumi mamoja

2 2 22

makumi mamoja
1 0 10

makumi mamoja

3 0 30

46

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 46 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

makumi mamoja

6 1 61

makumi mamoja

8 0 80

makumi mamoja

2 7 27

makumi mamoja

5 1 51

makumi mamoja

4 6 46

47

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 47 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kuandika makumi na mamoja ya namba
hadi 99

Mfano
Jaza visanduku vilivyo wazi.

makumi mamoja
32
3 2

makumi 3 mamoja 2 = 32

Zoezi la 3

Jaza namba za makumi na mamoja katika


visanduku.
makumi mamoja
14 =

makumi mamoja
6 =

48

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 48 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4
Jaza namba za makumi na mamoja katika visanduku.
34 = makumi mamoja
73 = makumi mamoja
5 = makumi mamoja
29 = makumi mamoja
90 = makumi mamoja
66 = makumi mamoja
87 = makumi mamoja
Zoezi la 5
Jaza namba katika visanduku.
makumi 2 mamoja 5 =
makumi 4 mamoja 8 =
makumi 1 mamoja 7 =
makumi 5 mamoja 9 =
makumi 4 mamoja 6 =
makumi 9 mamoja 9 =
makumi 1 mamoja 5 =
makumi 0 mamoja 6 =
makumi 2 mamoja 0 =
makumi 6 mamoja 4 =

49

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 49 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi
Kusoma namba kuanzia 11 hadi 99
Kusoma namba kuanzia 11 hadi 99 kwa
maneno
Zoezi la 1

Soma namba hizi.

11 kumi na moja 52 hamsini na mbili


17 kumi na saba 56 hamsini na sita
23 ishirini na tatu 60 sitini
25 ishirini na tano 64 sitini na nne
33 thelathini na tatu 73 sabini na tatu
38 thelathini na nane 79 sabini na tisa
45 arobaini na tano 82 themanini na mbili
49 arobaini na tisa 81 themanini na moja
96 tisini na sita 98 tisini na nane

50

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 50 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kusoma namba kuanzia 11 hadi 99

Zoezi la 2

Soma namba hizi.


11 12 13 14 15 16 17 18 19 20
21 22 23 24 25 26 27 28 29 30
31 32 33 34 35 36 37 38 39 40
41 42 43 44 45 46 47 48 49 50
51 52 53 54 55 56 57 58 59 60
61 62 63 64 65 66 67 68 69 70
71 72 73 74 75 76 77 78 79 80
81 82 83 84 85 86 87 88 89 90
91 92 93 94 95 96 97 98 99

51

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 51 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi na Moja


Kuandika namba kuanzia 11 hadi 99
Kuandika namba kwa tarakimu na kwa
maneno
Mifano
Andika namba zifuatazo kwa maneno.
28 = ishirini na nane
71 = sabini na moja
Zoezi la 1

Nakili namba zifuatazo.


52 33 74 48 19 91 54 61 39 14
28 77 88 57 11 81 90 27 50 22

Zoezi la 2
Andika namba hizi kwa maneno.
37 ____________________________
22 ____________________________
74 ____________________________
48 ____________________________
88 ____________________________
19 ____________________________
51 ____________________________
52

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 52 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kuandika namba za maneno kwa tarakimu

Mfano
Andika kwa tarakimu.
Kumi na mbili 12
Zoezi la 3
Andika kwa tarakimu.
Ishirini na tisa
Thelathini na tatu
Kumi na nane
Hamsini na saba
Tisini na mbili
Sitini na moja
Themanini na sita
Sabini na saba
Tisini na nane
Themanini
Sabini na moja
Arobaini na nne
Thelathini na nane
Kumi na saba
Ishirini na moja
Thelathini na tano

53

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 53 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi na Mbili


Kujumlisha namba kupata jumla
isiyozidi 99
Kujumlisha namba kwa ulalo kupata
jumla isiyozidi 99
Mfano
Jumlisha kwa ulalo.
53 + 36 =
Njia
53 + 36 = 89

Hatua
1. Jumlisha mamoja, 3 + 6 = 9
2. Jumlisha makumi, 5 + 3 = 8
53 + 36 = 89

54

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 54 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 1
Jumlisha namba hizi kwa ulalo.
1. 30 + 8 =
2. 61 + 7 =
3. 28 + 11 =
4. 72 + 14 =
5. 31 + 35 =
6. 85 + 11 =
7. 8 + 91 =
8. 21 + 63 =
9. 75 + 13 =
10. 30 + 17 =
11. 25 + 22 =
12. 36 + 13 =
13. 90 + 7 =
14. 42 + 35 =
15. 20 + 42 =
16. 80 + 10 =

55

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 55 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 2

Tafuta jawabu.

1. 26 + 71 = 10. 52 + 33 =

2. 16 + 82 = 11. 70 + 11 =

3. 76 + 23 = 12. 20 + 54 =

4. 78 + 0 = 13. 53 + 22 =

5. 73 + 4 = 14. 81 + 8 =

6. 63 + 6 = 15. 33 + 33 =

7. 12 + 84 = 16. 23 + 54 =

8. 17 + 80 = 17. 25 + 30 =

9. 66 + 2 = 18. 14 + 60 =

56

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 56 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha namba kwa wima kupata jumla
isiyozidi 99
Mfano
Jumlisha kwa wima.
Njia
Jumlisha mamoja Jumlisha makumi
43 4 3
+ 21 + 21
4 64
Jawabu ni 64
Zoezi la 3

Jumlisha namba hizi kwa wima.

1. 17 4. 70 7. 80 10. 13
+ 62 + 25 + 14 +15

2. 33 5. 90 8. 7 7 11. 21
+ 33 + 8 + 2 + 46

3. 87 6. 16 9. 8 6 12. 44
+ 1 2 + 50 + 11 + 22

57

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 57 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4

Jumlisha namba hizi kwa wima.


1. 32 7. 8 0 13. 31 19. 13
+ 5 + 15 + 15 + 20

2. 25 8. 7 0 14. 1 7 20. 34
+ 14 + 26 + 32 + 13

3. 32 9. 1 1 15. 4 3 21. 87
+14 + 31 + 51 + 11

4. 15 10. 1 6 16. 90 22. 19


+21 + 20 + 7 + 30

5. 30 11. 2 0 17. 1 2 23. 50


+ 20 + 21 + 67 + 30

6. 18 12. 4 0 18. 5 0 24. 14


+ 60 + 39 + 14 + 60

58

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 58 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha kwa ulalo namba zenye jumla
ya mamoja inayozidi 10
Mfano
Jumlisha kwa ulalo, 46 + 38 =
Njia 46 + 38 = 84
1
1. Jumlisha mamoja, 46 + 38 = 4
Andika 4 katika nafasi ya mamoja. Peleka 1 kwenye makumi.
1
2. Jumlisha makumi, 46 + 38 = 88 44
Jawabu ni 84.

Zoezi la 5
Jumlisha kwa ulalo namba hizi.
1. 46 + 9 = 11. 73 + 7 =
2. 35 + 5 = 12. 35 + 49 =
3. 74 + 8 = 13. 38 + 42 =
4. 26 + 44 = 14. 23 + 39 =
5. 63 + 28 = 15. 66 + 28 =
6. 79 + 19 = 16. 44 + 27 =
7. 38 + 48 = 17. 38 + 43 =
8. 56 + 37 = 18. 45 + 49 =
9. 43 + 49 = 19. 59 + 19 =
10. 17 + 9 = 20. 78 + 13 =

59

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 59 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 6

Tafuta jawabu.

1. 5 + 17 = 15. 9 + 23 =
2. 66 + 6= 16. 24 + 7 =
3. 8 + 48 = 17. 17 + 6 =
4. 8 + 18 = 18. 35 + 7=
5. 21 + 9= 19. 64 + 17 =
6. 28 + 57 = 20. 26 + 36 =
7. 15 + 79 = 21. 63 + 27 =
8. 57 + 18 = 22. 69 + 26 =
9. 15 + 49 = 23. 75 + 19 =
10. 29 + 29 = 24. 49 + 38 =
11. 27 + 39 = 25. 48 + 34 =
12. 67 + 15 = 26. 16 + 14 =
13. 39 + 41 = 27. 17 + 39 =
14. 45 + 46 = 28. 19 + 79 =

60

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 60 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha kwa wima namba zenye jumla
ya mamoja inayozidi 10
Mfano
Jumlisha kwa wima.
Njia 77
+ 19
96

Hatua
1. Jumlisha mamoja, 7 + 9 = 1 6 1
77
Andika 6 katika nafasi ya mamoja. + 19
Peleka 1 kwenye nafasi ya makumi. 6

2. Jumlisha makumi, 1 + 7 + 1 = 9. 1
77
Andika 9 katika nafasi ya makumi. + 19
96
Jawabu ni 96.

Zoezi la 7

Jumlisha kwa wima namba hizi.


1. 74 3. 25 5. 49
+ 18 + 67 + 38

2. 34 4. 67 6. 45
+ 48 + 14 + 18

61

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 61 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
7. 4 9 11. 35 15. 22
+ 49 + 35 + 69

8. 19 12. 17 16. 29
+ 19 + 38 + 39

9. 33 13. 45 17. 56
+ 37 + 26 + 28

10. 37 14. 65 18. 78


+ 49 + 27 + 13

Zoezi la 8

Jumlisha kwa wima namba hizi.


1. 65 3. 19 5. 38
+28 + 77 + 49

2. 26 4. 17 6. 9
+47 + 28 +74

62

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 62 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

7. 19 25 16
+ 7 12. + 8 17. + 17

8. 36 45 77
+34 13. + 39 18. + 8

9. 59 89 47
+ 9 14. 19. + 47
+ 1

10. 55 88 57
+ 8 15. + 4 20. + 13

11. 58 77 19
+ 22 16. + 22 21.
+ 29

63

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 63 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kufumbua mafumbo ya kujumlisha kupata
jumla isiyozidi 99
Mfano
Asha aliuza ndizi 25
Beti aliuza ndizi 14
Jumla waliuza ndizi ngapi?
Njia
ndizi 2 5
+ ndizi 1 4
39
Jumla waliuza ndizi 39.

Zoezi la 9

Tafuta majibu ya maswali haya ya kujumlisha.

1. Pili alikuwa na mayai 36. Akaongezewa mayai


22. Jumla alikuwa na mayai mangapi?

2. Fatu alikuwa na kalamu 51. Akaongezewa


kalamu 19. Jumla alikuwa na kalamu ngapi?

64

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 64 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

3. Kaka alikuwa na mbuzi 47. Akanunua mbuzi


wengine 30. Jumla anao mbuzi wangapi?

4. Juma na Sara walipeleka maembe sokoni.


Juma alipeleka maembe 60. Sara alipeleka
maembe 37. Jumla walipeleka maembe
mangapi?

5. Wasichana 23 wanaimba. Wavulana 28


wanaimba pia. Jumla ya waimbaji ni
wangapi?

6. Darasa lina wasichana 55 na wavulana 25.


Jumla ni wanafunzi wangapi?

7. Dada alipanda miche 59. Kaka nae alipanda


miche 32. Jumla walipanda miche mingapi?

8. Baba alipanda mbegu 44 za mahindi. Mama


pia akapanda mbegu 45 za mahindi. Jumla
walipanda mbegu ngapi?

65

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 65 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi na Tatu


Kutoa namba isiyozidi 99

Kutoa namba isiyozidi 99 kwa ulalo


Toa namba kwa ulalo.
Mfano
_
83 21 = 62
Hatua
Toa mamoja Toa makumi
83 _ 21 = 2 83 _ 21 = 6 2
Jawabu ni 62
Zoezi la 1
Toa namba hizi kwa ulalo.
1. 26 _ 20 = 11. 15 _ 3 =
2. 19 _ 12 = 12. 49 _ 24 =
3. 44 _ 11 = 13. 60 _ 40 =
4. 29 _ 24 = 14. 87 _ 15 =
5. 95 _ 5 = 15. 77 _ 6 =
6. 66 _ 60 = 16. 83 _ 70 =
7. 64 _ 24 = 17. 33 _ 22 =
8. 48 _ 7 = 18. 68 _ 21 =
9. 98 _ 82 = 19. 47 _ 13 =
_ _
10. 92 20 = 20. 79 15 =

66

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 66 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 2

Toa namba hizi kwa ulalo.

1. 14 _ 3 = 11. 19 _ 9 =

2. 21 _ 1 0 = 12. 2 8 _ 21 =

3. 33 _ 3 2 = 13. 11 _ 0 =

4. 33 _ 22 = 14. 30 _ 10 =

5. 48 _ 2 4 = 15. 27 _ 21 =

6. 43 _ 12 = 16. 19 _ 8 =

7. 47 _ 4 6 = 17. 41 _ 31 =

8. 50 _ 0 = 18. 60 _ 60 =

9. 9 0 _ 4 0 = 19. 61 _ 1 =

10. 65 _ 41 = 20. 4 6 _ 40 =

67

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 67 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kutoa namba isiyozidi 99 kwa wima
Kutoa namba kwa wima.
Mfano Hatua
Njia Toa mamoja Toa makumi
65 65 65
_ 30 _ 30 _ 30
35 5 35
Jawabu ni 35.
Zoezi la 3
Toa namba hizi kwa wima.
1. 1 6 5. 29 9. 68
_ _ _
3 11 8

2. 4 4 6. 39 10. 47
_2 2 _ 15 _ 24

3. 3 3 7. 12 11. 46
_ _ _
2 1 10 15

4. 2 7 8. 38 12. 48
_ _ _
1 4 4 28

68

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 68 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4

Tafuta jawabu.
1. 17 7. 4 9 13. _ 2 8
_ _
4 1 8 1 8

2. 40 8. 2 9 14. _ 4 9
_10 _ 8 1 5

3. 80 9. _ 9 2 15. _ 7 9
_60 1 3 4

4. 66 10. _ 8 2 16. 8 4
_30 5 2 _7 0

5. 59 11. _ 9 6 17. _ 7 8
_19 8 1 4 5

6. 62 12. _ 4 9 18. 9 8
_32 2 0 _6 0

69

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 69 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kutoa namba kwa ulalo kwa kubadili makumi
Mfano wa 1
Toa namba hizi.
23 _ 19 =

Njia 23 _ 19 = 4

Hatua
1. Toa mamoja, 3 _ 9 haitoshelezi. 23 _ 19 =
Haitoshelezi

2. Chukua kumi 1 kutoka kwenye


makumi 2, badili kuwa mamoja 10. 1 13
Limebaki kumi 1, mamoja 23 _ 19 =
yamekuwa 10 + 3 = 13.

3. Toa mamoja, 13 _ 9 = 4.
Andika 4 katika nafasi ya
23 _ 19 =
1 13
mamoja. 4

4. Toa makumi, 1 _ 1 = 0.
Acha nafasi wazi katika makumi. 1 13
Jawabu ni 4. 23 _ 19 = 4

70

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 70 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Mfano wa 2
Toa namba hizi.
80 _ 44 =

Njia 80 _ 44 = 36

Hatua
1. Toa mamoja, 0 _ 4 haitoshelezi. 80_ 44 =
Haitoshelezi

2. Chukua kumi 1 kutoka kwenye


makumi 8, baki makumi 7. 7 10
Badili kumi 1 kuwa mamoja 10. 80 _ 44 =
Mamoja yanakuwa
10 + 0 = 10.

3. Toa mamoja, 10 _ 4 = 6.
80 _ 44 =
7 10
Andika 6 katika nafasi ya 6
jawabu ya mamoja.

4. Toa makumi, 7 _ 4 = 3. 7 10
Andika 3 katika nafasi ya makumi. 80 _ 44 3 6
Hivyo jawabu ni 36.

71

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 71 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 5

Toa namba hizi kwa kubadili.

1. 47 – 18 = 8. 3 3 – 27 =

2. 24 – 7 = 9. 80 – 8 =

3. 5 2 – 17 = 10. 36 – 18 =

4. 8 0 – 12 = 11. 54 – 29 =

5. 36 – 9 = 12. 91 – 3 3 =

6. 72 – 28 = 13. 23 – 14 =

7. 4 3 – 19 = 14. 70 – 19 =

72

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 72 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 6

Tafuta jawabu.

1. 12 _ 6 = 10. 2 4 _ 15 =

2. 17 _ 8 = 11. 4 0 _ 12 =

3. 26 _ 9 = 12. 4 6 _ 27 =

4. 24 _ 16 = 13. 3 7 _ 9 =

5. 40 _ 7 = 14. 3 2 _ 19 =

6. 87 _ 29 = 15. 6 3 _ 14 =

7. 40 _ 4 = 16. 6 0 _ 16 =

8. 71 _ 2 6 = 17. 9 1 _ 46 =

9. 81 _ 1 8 = 18. 7 0 _ 24 =

73

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 73 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kutoa namba isiyozidi 99 kwa wima, kwa
kubadili makumi
Mfano
Toa namba hizi.
72
_ 38
34
Hatua
1. Toa mamoja, 2 – 8 haitoshelezi.
_
7 2
3 8

2. C
 hukua kumi 1 kutoka makumi 7,
6 12
baki makumi 6. 7 2
Badili kumi 1 kuwa mamoja 10. _3 8
Jumlisha mamoja, 10 + 2 = 12.

6 12
3. Toa mamoja, 12 – 8 = 4. 7 2
Andika 4 katika nafasi ya mamoja.
_ 3 8
4

6 12
4. Toa makumi, 6 – 3 = 3. 7 2
_3 8
Andika 3 katika nafasi ya makumi.
Jawabu ni 34. 3 4

74

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 74 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 7

Tafuta jawabu.
1. 66 7. 61 13. 72
_ 47 _ 45 _33

2. 78 8. 93 14. 73
_ 59 _ 84 _65

3. 84 9. 94 15. 9
_ 45 _ 37 _ 4

4. 35 10. 20 16. 40
_ 18 _ 12 _ 8

5. 61 11. 77 17. 84
_ 19 _ 38 _ 8

6. 31 12. 70 18. 61
_ 18 _ 25 _28

75

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 75 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 8

Tafuta jawabu.
1. 10 8. 30 15. 20
_ 7 _ 18 _ 14

2. 35
_ 1 9. 50
_ 3 16. _ 26
9 7 7

3. 70
_ 1 10. _ 6 0 17. 40
_ 2
9 15 6

4. 73 11. 52 18. 90
_ 25 _ 7 _ 9

5. 57
_ 3 12. _ 7 7 19. 30
_ 1
9 64 8

6. 50
_ 2 13. _ 46 20. _ 3 1
4 9 16

7. 58 14. 97 21. 80
_ 19 _ 48 _ 79

76

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 76 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kufumbua mafumbo ya kutoa kupata
baki isiyozidi 99
Mfano
Kuku walitaga mayai 32. Mayai 17
yalivunjika. Yalibaki mayai mangapi?
Njia 2 12
Mayai 3 2
_ Mayai 1 7
1 5

Yalibaki mayai 15

Zoezi la 9
Fumbua mafumbo haya.
1. Bakari alikuwa na maembe 31. Alitupa
maembe 12 yaliyooza. Alibaki na maembe
mangapi mazima?

2. Boni alipanda miche 46 ya matunda.


Miche 26 ilinyauka. Alibaki na miche
mingapi isiyonyauka?

77

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 77 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
3. Neema alikuwa na vikombe 51. Alitupa
vikombe 15 vilivyopasuka. Alibaki na
vikombe vingapi vizima?

4. Doto alikuwa na chupa za soda 90. Aliuza chupa


61. Alibaki na chupa ngapi?

5. Watoto walikuwa na chupa 96 zenye juisi.


Walikunywa juisi chupa 47. Zilibaki chupa ngapi
zenye juisi?

6. Saida alikuwa na machungwa 66. Aliwapatia


wadogo wake machungwa 37. Alibaki na
machungwa mangapi?

7. Kulwa alikuwa na kalamu 75. Alimpatia rafiki


yake kalamu 25. Alibaki na kalamu ngapi?

8. Baba alikuwa na vitabu 88. Vitabu 11 vilipotea.


Alibaki na vitabu vingapi?

78

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 78 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha na kutoa namba hadi 99 kwa
ulalo
Zoezi la 10

Tafuta jawabu.

1. 12 + 4= 15. 33 _ 18 =
2. 9 _ 6= 16. 90 + 6+ 1 =
3. 26 + 31 = 17. 88 _ 77 =
4. 58 _ 7= 18. 43 + 47 =
5. 16 _ 6= 19. 68 + 11 =
6. 24 + 12 = 20. 58 + 40 =
7. 80 + 10 = 21. 60 + 16 + 11=
8. 26 _ 11 = 22. 90 _ 53 =
9. 92 + 7= 23. 96 _ 65 =
10. 95 _ 75 = 24. 65 + 34 + 0 =
11. 21 + 9= 25. 59 + 35 + 3 =
12. 34 + 64 = 26. 70 _ 42 =
13. 95 _ 56 = 27. 91 _ 18 =
14. 79 _ 79 = 28. 84 _ 14 =

79

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 79 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha na kutoa kwa wima namba
hadi 99
Zoezi la 11

Tafuta jawabu.

1. 15 5. 1 7 9. 24
+ 5 _ 3 _ 13

2. 6.
6 6 10.
3 3 88
+ 21 + 44 _1 0

3. 2 5 7. 5 1 11. 70
_ 3 + 15 + 28

4. 80 8. 12.
5 9 35
+1 0 _ 4 9 + 45

80

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 80 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 12

Tafuta jawabu.

1. 72 5. 30 9. 99
_ 23 + 15 _ 93

2. 61 6. 99 10. 55
+ 19 _ 9 _ 38

3. 8 1
7. 3 0 11. 28
_ 18 _ 2 5 + 65

4. 8.
5 9 12.
8 8 68
+ 27 _ _
9 27

81

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 81 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi na Nne


Kutambua sehemu

Kutambua nusu ya vitu halisi


Nusu ni kipande kimoja kati ya vipande viwili
vinavyolingana.
Zoezi la 1

Soma.
Kizima Nusu Nusu

Chungwa zima nusu chungwa nusu chungwa

nanasi zima nusu nanasi nusu nanasi

nyanya nzima nusu nyanya nusu nyanya

82

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 82 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kuandika nusu au 1
2
Nusu huandikwa 1 na husomwa nusu.
2

Zoezi la 2

Andika nusu au 1 katika nafasi zilizo wazi.


2
1.
1
nusu 2

2.

nusu ............
3.
1
2
nusu
4.

nusu ............

83

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 83 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

5. 1
2
.........

6.
nusu ..............
7. 1
......... ......... 2

Zoezi la 3

Andika ndiyo kama sehemu iliyotiwa kivuli ni


nusu. Andika hapana kama sehemu iliyotiwa
kivuli siyo nusu.

1. 4. 7.

2. 5. 8.

3. 6. 9.

84

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 84 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kutambua robo ya kitu kizima
Robo ni kipande kimoja kati ya vipande vinne
vinavyolingana.
Zoezi la 4
Soma
Kizima Robo Robo Robo Robo

Duara zima robo robo robo robo

Kitu kizima robo robo robo robo

Kitu kizima robo robo robo robo

85

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 85 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kuandika robo au 1
4
Robo huandikwa 1 na husomwa robo.
4
Zoezi la 5

Andika robo au 1 kwenye nafasi iliyoachwa wazi.


4
1. 1
robo
4

2. 1
4
.................

3. robo .................

4.
robo .................

5.
................. 1
4

86

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 86 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 6

Andika 1 au 1 kwenye sehemu zilizotiwa kivuli.


2 4

1. 4. 7.

................. ................. .................

2. 5. 8.

................. ................. .................

3. 6. 9.

................. ................. .................

87

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 87 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi na Tano


Fedha ya Tanzania

Kutambua sarafu za Tanzania


Zoezi la 1
Angalia picha za sarafu hizi na usome thamani zake.

Shilingi 5 Shilingi 20

Shilingi 10 Shilingi 50

Shilingi 100

88

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 88 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kuandika majina ya sarafu
Zoezi la 2
Andika thamani ya sarafu chini ya kila picha.

Shilingi ......... Shilingi ..........

Shilingi ............ Shilingi ............

Shilingi ...............

89

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 89 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Kujumlisha fedha kwa ulalo

Mfano
Shilingi 10 ongeza shilingi 20 jumla ni shilingi 30

+ = 30
Zoezi la 3

Jumlisha.
1. Shilingi 5 ongeza shilingi 50 jumla shilingi__
2. Shilingi 50 ongeza shilingi 20 jumla shilingi_
3. Shilingi 50 ongeza shilingi 50 jumla shilingi__
4. Shilingi 20 ongeza shilingi 5 jumla shilingi__
5. Shilingi 50 ongeza shilingi 10 jumla shilingi__

6. Shilingi 5 ongeza shilingi 50 jumla shilingi__

7. Shilingi 5 ongeza shilingi 20 jumla shilingi___


8. Shilingi 10 ongeza shilingi 5 jumla shilingi___

90

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 90 7/23/21 5:05 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Jumlisha fedha kwa wima.

Mfano
Shilingi 1 5
+ Shilingi 50
Shilingi 65

Shilingi 5 Shilingi 10
9. + Shilingi 5 12. + Shilingi 50
Shilingi Shilingi

Shilingi 20 Shilingi 10
10. + Shilingi 10 13. + Shilingi 10
Shilingi Shilingi
Shilingi 20 Shilingi 20
11. + Shilingi 50 14. + Shilingi 20
Shilingi Shilingi

Kutoa fedha
Mfano
Shilingi 50 toa shilingi 10 baki shilingi 40
50 _ 10 = 40.

91

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 91 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4
Toa.
1. Shilingi 50 toa shilingi 5 baki Shilingi ____
2. Shilingi 10 toa shilingi 5 baki Shilingi ____
3. Shilingi 20 toa shilingi 5 baki Shilingi ____
4. Shilingi 5 toa shilingi 5 baki Shilingi ____
5. Shilingi 20 toa shilingi 10 baki Shilingi ____

6. Shilingi 50 toa shilingi 10 baki Shilingi ____


7. Shilingi 50 toa shilingi 50 baki Shilingi ____
8. Shilingi 100 toa shilingi 5 baki Shilingi ____

Shilingi 100 Shilingi 100


9. _ Shilingi 10 11. _ Shilingi 50
Shilingi Shilingi

Shilingi 100 Shilingi 100


10. _ Shilingi 20 12. _ Shilingi 100
Shilingi Shilingi

92

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 92 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi na Sita


Kutambua vipimo

Kujua nyakati za siku


Katika siku kuna asubuhi, mchana, jioni na usiku.

Zoezi la 1

Eleza tukio kutokana na nyakati za siku pichani.

93

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 93 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

94

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 94 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 2

Kwa kila tukio andika wakati


linapofanyika.
Tukio Wakati
1. Kuamka
2. Kunywa chai
3. Kulala
4. Kusoma
5. Kupiga mswaki
6. Kwenda shule
7. Kusalimu wazazi
8. Kucheza
9. Kurudi nyumbani
10. Kula chakula

Umbali
1. Kuna vitu vilivyo mbali na vilivyo karibu.
2. Unaweza kupima umbali kwa kutumia
hatua au kamba.

95

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 95 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Chunguza mfano wa picha hizi.

Musa Ana Tatu


Ana yupo karibu na Musa.
Ana yupo mbali na Tatu.

Zoezi la 3

Jaza nafasi kwa neno karibu au mbali.

Mpira upo ___________ na chupa.


Mpira upo ___________ na kiti.
Kiti kipo _____________ na mpira.
Kiti kipo _____________na chupa.

96

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 96 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 4

Jaza nafasi.

1. Kitabu kipo karibu na ____________.

2. Kitabu kipo mbali na _____________.

3. Umbali upi ni mrefu zaidi? Kitabu hadi


kikombe au kikombe hadi kalamu?
___________.

4. Darasani kuna madawati, meza na ubao.


Kipi kipo karibu zaidi na dawati lako?
_____________.

5. Kipi kipo mbali zaidi na dawati?______.

97

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 97 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Urefu na Ufupi
Katika mazingira, kuna vitu virefu na vifupi.
Mfano
Mlango ni mrefu kuliko kiti.

Zoezi la 5

Andika jina la mtu au kitu kirefu zaidi.

Ana Juma

kikombe chupa

pipa ndoo

98

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 98 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

rula kalamu

mti ua

simu chupa

dirisha mlango

99

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 99 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Uzito
Kitu chenye uzito mdogo au mkubwa katika
mazingira
Mfano
Tofali ni zito kuliko chupa.

Zoezi la 6

Kwa kila kundi andika kitu chenye uzito zaidi.

gari pikipiki

jembe kijiko

panya paka

100

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 100 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

nanasi chungwa

mbuzi ng’ombe

meza kiti

ndizi papai

101

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 101 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Ujazo
Kuna vitu vyenye ujazo mkubwa na ujazo
mdogo.
Mfano
Kikombe kina ujazo mdogo kuliko ndoo.

Zoezi la 7

Kwa kila kundi andika jina la kitu chenye ujazo


mdogo.

pipa ndoo

jagi gilasi

bakuli sufuria

102

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 102 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

kikombe birika

pipa tanki

ndoo chupa

pipa mtungi

103

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 103 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya Kumi na Saba


Kutambua maumbo bapa

Kubaini maumbo bapa

Pembetatu, mstatili, mraba na duara ni maumbo bapa.

Mfano
Ubao na sarafu ni vitu vyenye umbo bapa.

Zoezi la 1

Kusoma maumbo bapa

pembetatu mstatili

mraba duara

104

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 104 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 2

Andika neno pembetatu, mraba, mstatili au


duara kwa kila umbo.

105

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 105 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Sura ya kumi na nane


Kukusanya na kuorodhesha vitu

Vitu halisi katika mazingira yetu

106

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 106 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Zoezi la 1

Chora picha tano tano za vitu vinne tofauti


unavyovijua.
Mfano

Zoezi la 2

Kukusanya vitu mbalimbali


1. Kusanya vitu mbalimbali.
2. Taja na andika majina ya vitu ulivyokusanya.
3. Panga vitu vinavyofanana kwa pamoja.

107

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 107 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE

Marudio
Jaribio la 1

Andika namba zifuatazo


kwa maneno. 12. _ 86
1. 5 ________
2. 16 ________ 13. _ 64 51
Andika namba
inayokosekana.
14. 83 + 9 =
3. 1, 2, 3, , 5, 6.
15. 6 + 18 =
4. 10, 20, 30, 40, , ,70
16. 28
5. 5 + 3 = + 3
6. 8 + 2 =
63
7. 3 + 6 + 0 = 17. + 2 4
8. 7
+ 3 18. 30 _ 25 =
19. 90
9. 20 +1 2
+ 18
20. 54
10. 13 _ 7 = +38
11. 9 _ 5 =

108

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 108 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Jaribio la 2
Andika namba zifuatazo 14. Ishirini na saba ___
kwa maneno.
Andika majina ya sehemu
1. 16 _________ zilizotiwa kivuli kwa
2. 47 __________ maneno.
3. 69 __________
15.
Tafuta jawabu.
4. 82 + 0 =
5. 31 + 4 =
6. 48 _ 18 = 16.
7. 87 _ 49 =
8. 79
+12 17.
9. _ 26 98

10. 64 18.Umbo hili linaitwaje?


+16
11. _ 5 4
11
19. Shilingi 60 + Shilingi
Andika namba zifuatazo 30 = Shilingi ngapi?
kwa tarakimu.
20. Kati ya kiti na
12. Tisini na tisa ____
13. Themanini na nne mlango kipi kirefu?
____

109

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 109 7/23/21 5:06 PM


FOR ONLINE USE ONLY
DO NOT DUPLICATE
Jaribio la 3

Andika namba inayokosekana. 12. 86


1. 3, 4, 5, , 7, , 9 _ 46

Andika makumi na mamoja.


13. 43
makumi mamoja + 25
2. 26
3. 9 Andika sehemu iliyotiwa
4. 61 kivuli kwa namba.
5. 93 14.

6. 35 _ 31 =
7. 72 + 19 = 15.

8. 26 _ 6 =
9. 48 _ 21 = 16.

10. 34
+25
17. Andika jina la umbo
hili.
11. 76
+ 9

110

Kuhesabu Std 1 PB (rePrint 2021).indd 110 7/23/21 5:06 PM

You might also like