You are on page 1of 1

METROPOLITAN INTERNATIONAL

UNIVERSITY
FACULTY OF EDUCATION AND HUMANITIES
DEPARTMENT OF LINGUISTICS AND
LANGUAGES

KSA 2102 KISWAHILI ORAL LITERATURE


DATE: TIME: 3 HOURS
Maagizo:
Jibu swali la kwanza na mengine mawili

1. a) Eleza nyenzo zinazosaidia katika ukusanyaji wa fasihi simulizi na fasihi. (alama 15)
b) Fafanua umuhimu wa fasihi simulizi katika jamii (alama 10)
2. Eleza kwa mifano dhana zifuatazo kama zinavyojitokeza katika fasihi simulizi: (alama 25)
i. Shairi
ii. Methali
iii. Mighani
iv. Hurafa
v. Vitendawili
3. Fafanua tofauti kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi (alama 25)
4. a) “Mtambaji mzuri anafaa kumiliki sifa kemkem”. Thibitisha kauli hii. (alama 15)
b) Eleza majukumu ya nyimbo kama kipera cha fasihi simuluzi katika jamii (alama10)
5. Jadili vipera kumi vya utanzu wa hadithi za fasihi simulizi (alama 20)
6. “Fasihi simulizi inakabiliwa na matatizo yanayotishia kesho yake”. Fafanua matatizo hayo na
upendekeze namna ya kuimarisha katika siku za usoni. (alama 25)

7. Jadili angalau methali kumi unazojua na kutoa maana ya kila methali katika jamii (alama 25)

HITIMISHO

Examination Irregularity is punishable by expulsion Page 1 of 1

You might also like