You are on page 1of 2

MAASAI MARA

UNIVERSITY
REGULAR UNIVERSITY EXAMINATIONS
2015/2016 ACADEMIC YEAR
FIRST YEAR SECOND SEMESTER

SCHOOL OF ARTS AND SOCIAL SCIENCES


BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)

COURSE CODE: BKS 110


COURSE TITLE: UTANGULIZI WA SARUFI YA
KISWAHILI
TAREHE: 19TH JANUARY, 2016 WAKATI: 11.00AM. – 1.00P.M
MAAGIZO
JIBU SWALI LA KWANZA NA MASWALI MENGNE MAWILI
BKS 110: Utangulizi wa Sarufi ya Kiswahili Page 1
Karatasi hii ina kurasa mbili zilizopigwa chapa. Fungua ukurasa
1 a ) Fafanua dhana ya lugha (alama, 2)
b) Fafanua dhima ya lugha (alama 6)
c) Eleza kanuni tatu za matumizi ya lugha (alama6)
d) Toa mambo matatu ambayo ujuzi wa lugha humwezesha mtu kutenda
(alama 6)
e) Fafanua dhana ya sauti (alama 2)
f) Taja makundi mawili ya sauti (alama 2)
g) Utamkaji wa kila mojawapo ya makundi ya sauti uliotaja katika
(f) hapo juu hutegemea nini? (alama 6)
Sauti A-
Sauti B-
2 a) Fafanua dhana ya ngeli (alama 2)
b) Kwa kutoa mifano mwafaka toa mgawanyo wa ngeli kisintaksia
(alama 14)
c) Mgawanyo wa ngeli kisintaksia una ubora gani dhidi ya mgawanyo
kimofolojia? (alama 4)
3 a) Fafanua miundo ya kikundi nomino na kikundi tenzi (kwa kutoa mifano
mwafaka) (alama 10)
b) Fafanua dhana ya sentensi. (alama 4)
c) Taja na ufafanue aina tatu kuu za sentensi (alama 6)

4a) Fafanua dhana hizi: (alama 4)


i. Kiima
ii. Kiarifu
b)Bainisha kwa kutoa mifano tofauti kati ya virai na vishazi (alama 4)
c) Toa aina tatu za virai (ambatanisha jawabu na mifano) (alama 6)
d) Kwa kutoa mifano mwafaka bainisha aina tatu kuu za shamirisho. (alama6)

5.Kwa kutoa mifano mwafaka, jadili aina nane kuu za maneno ya kiswahili

(alama 20)

……END…..

BKS 110: Utangulizi wa Sarufi ya Kiswahili Page 2

You might also like