2015/2016 ACADEMIC YEAR SECOND YEAR SECOND SEMESTER
SCHOOL OF ARTS & SOCIAL SCIENCES
B.ED (ARTS)
COURSE CODE: KIS 221
COURSE TITLE: KISWAHILI MORPHOLOGY
DATE: 13TH MAY,, 2016 TIME: 8.30 – 10.30AM
MAAGIZO
Jibu maswali matatu. Swali la kwanza ni la lazima
1. Eleza aina tatu za lugha kimofolojia huku ukizitolea aina hizo mifano. (alama 30) 2. Eleza uhusiano na tofauti zilizopo kati ya dhana za mofu, alomofu na mofimu. Tumia mifano katika maelezo yako. (alama 20) 3. Eleza mofolojia kama kiwango cha lugha huku ukionyesha upeo wake. (alama 20) 4. Eleza mbinu zozote nane zinazotumiwa kuundia maneno katika lugha ya Kiswahili. (alama 20) 5. Eleza aina tano za ugeuzaji maumbo kwa mujibu wa nadharia ya sarufi